Yu upande wangu anahuisha nafsi yangu
Ni baba yangu niko nae sina shaka 🥳🥳
They really cooked in this sing been jamming it since morning
5
108
Unakuja kunistalk afu unjisahau unaacha foot prints za like
Sis get a life 🤣🤣🤣💔
Its been a year don't you have something to do??!!
Sitaki hata kujua idadi ,nataka kujua kwanini sisi tuliugua surua,polio na tete kuwanga afu hawa watoto wanaozaliwa sahivi wanakua na usonji and sometimes they look mental retarded nielewesheni kama vile nilienda med school kukua
Najua huu ni mjadala mgumu, lakini ningependa kusikia maoni na uzoefu wenu.
Je, idadi ya watoto wenye usonji (autism) hapa Tanzania inaongezeka? Kama ndiyo, nini kinachangia? Au ni kwamba uelewa na utambuzi wa hali hii umeongezeka?
2
99
Mo bere mo jo
F'Eledumare
Gba'yin gb'ope
Baba gba'yin gb'ope
Mo bere mo jo
F'Eledumare
Oya tun fun fere yen o ye
Okan mi yin Oba orun
O m'ore wa s'odo re o
'wo t'a wosan t'a dariji
Ta l'a ba yin bi re o
Gbe Oluwa ga pelu mi
Eyin eyan re o
Wo'sss!
Mo wa ni🥳🥳🙌🏾
3
121
I must have been ab FBI agent in my past life
😒😒😒
Anyways PI for hire my chargers ziko crime friendly 😎
3
95
Melanin🍫🤎 retweeted
Replying to @Ms__wealthy @Spazzzie
Ushawahi kuona watu walio olewa wakiwa wadogo , wakakulia kwenye ndoa na mahusiano , fanya research! Uyo binti anatakiwa aachwe akue kwanza , asikimbilie mambo sababu jamaa kashajipata, na Uyo jamaa akatfte mtu ambae yuko tayari ku settle asisumbue watoto na paragraph ndefu hivyo
Melanin🍫🤎 retweeted
Replying to @Ms__wealthy @Spazzzie
🤣🤣🤣🤣🤣 hivi 21 Uyo mtu anaweza kubeba majuku ya familia kweli ?? Uyo Mume wake atapanga nae mipango gani! Shida sio advise…. Shida ni umri na priorities
Melanin🍫🤎 retweeted
i can handle a busy man. i'm just not going to deal with a man who can figure out how to make time for everything BUT me.
Yani the moment nikipata Christmas breakfast nakimbia kijijini kwetu
Nkapate pumzi ya eucalyptus trees and sweet melodies from birds
Melanin🍫🤎 retweeted
mwanaume anatamba sehemu ambayo ana nyota nayo kama sio nyota yako lazima akushinde 👋 – at Dar es Salaam, Tanzania
Depends na gym unayoenda
I go to heroes fitness Magomeni or Victoria branch i pay 120k or 180k
But i prefer ya magomeni cause ni karibu na nyumbani natembea dk 10 packages includes sauna ,trainers and bathroom
And wako top notch
This is why I’m scared of going back to Dar because I feel I won’t be able to afford it. I’ve been complaining about paying 60 euros for a gym here and y’all paying more than that in Dar?? 😭
1
2
200
















