Msafiri retweeted
Maisha ni neema, pumzi ni zawadi, afya ni baraka na Mungu pekee ndiye chanzo cha yote.
Tuanze na Mungu kwanza 🙏🏽
Msafiri retweeted
Bro, usiwe na Kinyongo wala chuki kwa watu
waliotuzidi kimafanikio.
kwa sababu tuna imani kwamba MUNGU humletea riziki kila mtu kwa wakati wake sahihi.
Kila siku mpya inapoanza huanza na nafasi nzuri ya kumshukuru Mungu na kujikabidhi mikononi mwake👏👏
GOOD MORNING👏
Msafiri retweeted
Kumshukuru Mungu ni kukiri kwamba maisha yangu si matokeo ya juhudi zangu pekee, bali pia ni ushuhuda wa neema zake.
Good morning wasakatonge wenzangu
Msafiri retweeted
Messing up with nature always comes with a sacrifice,a big one.
Doing things just to satisfy another human being is like telling God,you made a mistake.
Body shaping,gays and lesbians.Take a closer look how they end up,it's tragedy.
Good morning fam.
Msafiri retweeted
Kila siku mpya ni ushahidi kwamba simulizi ya maisha yetu bado inaendelea. Tusikate tamaa kwa sababu ya ukurasa mmoja mgumu katika kitabu kizima.
Msafiri retweeted
Ikumbuke siku ya Bwana na kuitakasa 🙏🏻.Ikawe Jumapili njema kwetu sote,.
Good morning to everyone.
Msafiri retweeted
Good morning Usikasirike kwa sababu hujafanikiwa leo Hasira iweke pembeni ongeza juhudi omba Mungu akupe afya na nguvu Maisha bado yana nafasi ya kukushangaza
Msafiri retweeted
"Azizi ki kawa mzito, azizi ki hachezeshi kule mbele, aziz ki hamlishi mipira shasha man, azizi ki hana msaada kwenye timu, azizi ki hachezi kama mchezaji"
Binafsi nasimama na azizi ki ataendelea kuwepo yanga na ana kadi ya uwanachama lolote baya nitamtetea kwa wivu sana🤝
Watu wa medicine bana unakuta namba ya mteja wake kaisave kwa jina la dawa utasikia amoxicillin kanipigia😁😁
Msafiri retweeted
Sasa sisi mashabiki wa man U tumemkosea nini muumba?au laana juu yetu!! FVCK YOU CHELSEA & ARSENAL FANS






















