Tumefurahi kutembelewa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Jerry Silaa kwenye eneo letu ndani ya JNICC katika Tanzania Annual ICT Conference.
Tunashukuru kwa maoni yake na muongozo aliotoa kuhusu huduma za Mtabe 📚
In commemoration of Nyerere Day, we reflect on his view on the importance of education in the development and growth of a society.
Happy Nyerere Day 🇹🇿
Jinsi ya Kucopy Kwenye Microsoft Word.
📹📚Kozi nzima ya Microsoft inapatikana kupitia mtabe.co/c/word. Ni vipindi 15 vya video, na vyote ni 10,000 TZS
Fursa ya kufundisha na Mtabe.
🔗 Link ya kujisajili: forms.gle/9gxbU4QkGTwtreqN8
Tumerahisisha pia upatikanaji wa cheti. Sasa utaweza kupata cheti papo hapo kwa kubonyeza “Pata Cheti” pindi utakapomaliza masomo.
Sasa ni rahisi kuweza kuona umepiga hatua kiasi gani kwenye kila kozi unayosoma kupitia ukurasa wa Kozi Zangu.
Kwa masaa 12 yajayo, Mtabe ina ofa kwa ajili yako:
Kozi utakazoweza kununua kwa bei hii ya leo ni:
⁃Jifunze Kiingereza - nenda mtabe.co/c/english
⁃Microsoft Excel - nenda mtabe.co/c/excel
⁃Microsoft Word - nenda mtabe.co/c/word
Karibu 🚀
2
380









