RAIS SAMIA: MIRADI MIKUBWA SI MAJENGO TU, NI UCHUMI
Rais Samia amesema kukamilika kwa SGR, EACOP na Mradi wa Umeme wa Julius Nyerere ni kichocheo kikubwa cha uchumi wa taifa. Amesema hayo Ikulu Chamwino alipokutana na Mabalozi.
78
MATWEBE ASHAURI SERIKALI MAKUNDI YA BODABODA, WAMACHINGA NA MAMA LISHE YAWEZESHWE KIUCHUMI.
Akizungumza mbele ya Waziri Mkuu, Shaban Matwebe amesema makundi haya ni mhimili wa uchumi wa wananchi wa kipato cha chini na yanahitaji mifuko maalum ya maendeleo.
117
MABADILIKO MAKUBWA SERIKALI YA AWAMU YA SITA
Mhe. Patrobas Katambi ameteuliwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Prof. Palamagamba Kabudi Waziri wa Nchi Ikulu, huku Paul Makonda akiteuliwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.
70
UCHUMI WA BULUU KUINUA AJIRA ZANZIBAR
“Kwa upande wa Zanzibar, uchumi wa buluu ni nguzo muhimu katika kukuza pato na kuongeza fursa za ajira.”
Rais Samia Suluhu Hassan
#Zanzibar #UchumiWaBuluu #AjiraKwaWote
54
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Desemba, 2025.
36
RAIS SAMIA AKUTANA NA BALOZI WA KENYA
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na Balozi wa Kenya anayemaliza muda wake, Mhe. Isaac Njenga, Ikulu Dar es Salaam, kujadili kuimarisha uhusiano wa kibiashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Kenya.
#Tanzania #Kenya #Uwekezaji
27
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefungua rasmi Mkutano wa 9 wa CDF na Makamanda uliofanyika SKUA, Tanga, tarehe 15 Desemba 2025.
#CDF #JWTZ #SKUA #Tanga #UsalamaWaTaifa #SamiaSuluhu
23
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Shule ya Kijeshi ya Ulinzi wa Anga (SKUA) mkoani Tanga kwa ajili ya kufungua mkutano wa 9 wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Makamanda, tarehe 15 Desemba, 2025.
25
GUTERRES: TANZANIA IMEVUKA MTIHANI WA UCHAGUZI.
Katibu Mkuu wa UMOJA WA mataifa UN amesema licha ya matukio ya vurugu wakati wa Uchaguzi wa 2025, Tanzania ilifanikiwa kudumisha umoja na amani ya taifa.
#Uchaguzi2025 #Amani
31
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Slovakia hapa nchini Mhe. Ivan Lancaric, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 11 Desemba 2025.
1
36
RAIS SAMIA: “TUMEJIPANGA WAKIJA WAKATI WOWOTE
akizungumza na wazee wa Dar es Salaam Rais Samia amesema amesikia mmoja wa waandaaji wa nje akitaka maandamano ya Desemba 9 yaahirishwe hadi Krismasi kwa kuwa tumejipanga Amesisitiza: “Wakati wowote wakija, tumejipanga.”
24
RAIS SAMIA: “HAYA SI MAANDAMANO, NI VURUGU ZILIZOPANGWA"
Akiwa akizungumza na wazee wa Dar es Salaam JNICC, Rais Samia amesema vitendo vya kuunguza miradi ya Serikali, vituo vya polisi na mali za wananchi si maandamano halali bali ni vurugu zilizoandaliwa kwa makusudi.
48
RAIS SAMIA AHOJI MADAI YA KUZUIA UCHAGUZI
Akiwa na wazee wa Dar es Salaam JNICC, Rais Samia amesema madai ya wapinzani kuzuia kushiriki uchaguzi hayana msingi, akisisitiza kuwa walijiondoa wenyewe. Amesema walipanga vurugu Oktoba 29 wakijua CCM ingeshinda kwa nguvu kubwa.
32
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Leo amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro KIA ambapo kesho November 22, 2025 anatarajiwa kuwatunuku Kamisheni Maafisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ kwenye Chuo cha Kijeshi Monduli.
32
MABADILIKO MAPYA IKULU
Rais Samia amefanya uteuzi: Tido Mhando Mshauri wa Rais (Habari), Bakari Machumu Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Lazaro Nyalandu Balozi.
1
86
SAMIA AITISHA KIKAO KAZI CHA SERIKALI KUU
Rais Samia ameongoza Kikao Kazi na Mawaziri, Manaibu Mawaziri na Makatibu Wakuu Ikulu Chamwino, Novemba 19, 2025.
29
RAIS SAMIA AUNDA TUME YA UCHUNGUZI WA MATUKIO YA OKT 29.
Rais Samia ameunda Tume Huru kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani ya Oktoba 29, 2025. Jaji Mstaafu Chande Othman ataongoza tume hiyo yenye wajumbe kutoka sheria, diplomasia na ulinzi.
23
RAIS SAMIA: TUTAANZA MIRADI KWA FEDHA ZETU
Rais Samia amesema Serikali inaanza kutekeleza miradi ya kimkakati kwa fedha za ndani ili kuharakisha maendeleo. Ametoa kauli hiyo Ikulu Chamwino wakati akiwaapisha Mawaziri wapya, akisisitiza matokeo ya kazi yaonekane kwa wananchi.
22




















