Nduli v7.03 (@Nduli_10) header
Nduli v7.03 (@Nduli_10) profile picture

Security System Expert IT Solutions Wireless & Wired technologies Dsm📍

Tanzania
Joined June 2015
Photo by Nduli v7.03 (@Nduli_10)Photo by Nduli v7.03 (@Nduli_10)Photo by Nduli v7.03 (@Nduli_10)Photo by Nduli v7.03 (@Nduli_10)Photo by Nduli v7.03 (@Nduli_10)Photo by Nduli v7.03 (@Nduli_10)Photo by Nduli v7.03 (@Nduli_10)Photo by Nduli v7.03 (@Nduli_10)Photo by Nduli v7.03 (@Nduli_10)Photo by Nduli v7.03 (@Nduli_10)
Cha kuongezea hapo jamaa hawana mirado yoyote ile za ya kuhack tu balaa 🙌🙌
Kumbe ni Hackers wa North Korea ndio wamesepa na $6bilion za Crypto
41
Kitu ambacho @azamtvtz angepata mashabiki wengi angecanya jambo Kwenye chumong na land of wind angechukua upepo sio poa unasemaje @BarakaMaviatu
Hadi Sasa nimeangalia historical movie zote za korea akuna inayofikia level za Jumong
1
1
163
Hawa madrid mnawaangalia ndungu zangu kweli
26
⚡ Another Solar Power System Successfully Completed! ☀️🔋 📍 Bwejuu, Zanzibar ⚙️ 8 kW Inverter 🔋 10 kWh Battery Storage Reliable, clean, and efficient energy—built to power the future. 🌞💪 System installed and ready to go! ✅
1
40
They never make movies like this anymore for sure
Replying to @everymovieplug
They don't make movies like this anymore
44

2
1
14
1,775
Say No to Religious Discrimination. Say No to Religious Hatred. Say No to Religious Division. Say No to Religious Intolerance. #KataaUdini📌
1
35
Mkubwa pale umeteleza sanaaa
31
Ego sio nzuri kbsaa udini sio kitu wala sababu ya ujinga huu kutokea tumekuwa na marais wangap wa dini tofauti ego sio nzuri
Huyu ni moja ya influencer mkubwa wa CHADEMA, mawazo yake hayatokani na yeye tu, bali itikadi na imani ya chama chake. Ukitaka kujua anaungwa mkono na CHAMA CHAKE, hakuna aliyetoka kwenye chama chake kukemea kitendo hiki cha kidini. Tunarudia tena, shida sio serikali, ni DINI.
43
Nduli v7.03 retweeted

65
30
15
84
15,841
Mzee maradona ili andiko umetishaaa sanaa
Vijana wengi wasio na wake wanapaswa kuwa na mafanikio zaidi kuliko walivyo sasa, Lakini kwa sababu wanatumia pesa nyingi kwa wanawake ambao sio wake zao, ndio maana hawafanikiwi. Bro unajua mapenzi yanaweza kukurudiasha nyuma kama usipoingia kwa akili? Ila mapenzi ni matamu sometimes lakini mpaka upendwe kwa dhati. Unaamini demu wako anawezakuwa drawback yako katika maendeleo? Sa skia mwanangu, usiruhusu mwanamke akutengenezee failure. Kuna maoni mengi potofu kuhusu pesa na mahusiano kwa baadhi yetu vijana. Vijana tunapaswa kudhibiti uwezo wetu wa kutaka kuaminisha upendo kwa kuwapatia wanawake ambao sio wake zetu pesa. Je, huna Mama, Baba, ndugu wanaohitaji? Hao ndio unapaswa kuwasaidia na sio mpenzi wako na familia yake. Hautosonga mbele Mungu hatakubariki kwa kile unachofanya. Utabarikiwa na Mungu pale tu unapowasaidia wenye uhitaji, wazazi wako, mke wako na watoto wako. Je, mpenzi wako ni mtu mwenye uhitaji maalum? Je, ulikutana nae kwenye nyumba ya watoto yatima? Ulikutana nae mitaani? Je, alikuwa akiishi vipi kabla ya kukutana nae? Nyote mnahitaji kuwa waangalifu juu ya jinsi mnavyojaribu ku'show love kwa mademu wenu. You also have to know that women are more loyal to their feelings than your sacrifices. Ni bora mkewako akuulize kwamna "what have you ever done for me?" Kuliko akuulize dem hilo sio jukumu lako we sio baba yake. Wanawake wanapenda pesa, na ukitaka kuwapa kwa sana, hawatazikataa. Lakini usifikiri kwamba matumizi yako juu yake, yatakuhakikishia chochote. Tumeona mara ngapi jinsi wanaume wanavyolipia ada mademu chuo, Na mwisho wake waliwaacha?? Unatakiwa kumpa nini mpenzi wako? Zawadi za hapa na pale, kulipa bili unapoenda maeneo ya starehe, na mara chache unaweza kumsaidia kwa fedha kidogo pale tu inapohitajika. Na hata sio inshu ya kufanya wiki chache baada ya kukutana nae. Lazima uchukue muda kumjua ni mtu wa aina gani. Pesa yoyote unayotumia kwa demu sio investiment, haijalishi ni kidogo kiasi gani. So, fanya kidogo unachopaswa kufanya where necessary, Lakini usije kuingia kwenye deni kwa sababu yake. Usikope pesa kwa sababu ya mpenzi wako. Usilipe ada zake Usimlipe kodi. Ngoja nikuambie. Unachodaiwa na mpenzi wako ni yeye kukuona ukiendelea. Acha akuite bahili lakini akiona maendeleo unayoyapata katika maisha atalazimika kuendana na mifumo yako kwa sababu anajua unajenga maisha yajayo. Kama hataki kuwa na subira, mwache aende zake. Yeye hatokulisha wewe. Wewe ndiye utamlisha. Kumpa pesa sana, unajiweka kwenye hali ya kushindwa kufanya maendeleo yako Hutakuwa na akiba na hutapata baraka zozote kutoka kwake Utakachopata ni usaliti, majuto na machozi. Mnapopigiwa mademu hamuumii kisa kutombewa Mnaumizwa na pesa na muda mliopoteza kwa watu ambao sio sahihi Nimemaliza.

66
56
14
306
29,972
Mie simlaumu mchizii alikuwa anatafuta sababu za kuacha kujitombaa kwahvo safii tu ajari kazini😂
2
49
Nduli v7.03 retweeted
Thanks Everibadi hii tweet imefanya nisilale njaa leo 😁😁😁
1
10
1
69
4,934
Nduli v7.03 retweeted
Hisense RD35 264L 930,000 ~Dar free delivery malipo ukipokea ~Mikoani unatumiwa Call/Whatsapp-0625965198
14
21
892
6
75
1,644
14,083
Nduli v7.03 retweeted
No Excuse for Salah!
8
140
1
1,939
14,778
RT @godbless_lema: Acha UPUMBAVU wewe. Unatuona watoto sisi.
4
3
Nduli v7.03 retweeted
Mimi sina Mengi, naomba repost zenu tu hapa.🫡
1
27
68
1,986
Ngoja nikusaidie camera haikamayi mwizi lakin inakusaidia pale kunapokuwa kuna stofahamu mfano cheki hii video hapo chini
Faida ya camera maeneo ya kazi ni nini? Ukimjua mwizi na kashaiba inasaidia nini? Na sahivi wanavaa vitu usoni Hakuna camera zenye ving’ora yani mazingira yakiwa hayaeleweki tu zipige kelele!!!🤦‍♀️
1
1
164