Necto Kitiga (@NectoKitiga) header
Necto Kitiga (@NectoKitiga) profile picture

Makamu Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa 2025/2029.

Iringa, Tanzania
Joined August 2018
Photo by Necto Kitiga (@NectoKitiga)Photo by Necto Kitiga (@NectoKitiga)Photo by Necto Kitiga (@NectoKitiga)Photo by Necto Kitiga (@NectoKitiga)Photo by Necto Kitiga (@NectoKitiga)Photo by Necto Kitiga (@NectoKitiga)Photo by Necto Kitiga (@NectoKitiga)Photo by Necto Kitiga (@NectoKitiga)Photo by Necto Kitiga (@NectoKitiga)Photo by Necto Kitiga (@NectoKitiga)
Mithali 9:11 Maana, kwa msaada wangu siku zako zitazidishwa; Na miaka ya maisha yako itaongezwa. Amina 🙏 Happy Birthday 🎂 To Me 🙏
18
32
244
Necto Kitiga retweeted
Ghasia za Uchaguzi Tanzania: Mwaka mmoja baadaye, familia bado zinatafuta haki bbc.in/4iJATA2
12
208
2
658
7,233
Watu walikufa kwa kwa mateso na maumivu makubwa mno💔29.10.2025 🕯️🕊️
37
241
9
727
21,026
Necto Kitiga retweeted
Leo ni siku ya sita bado hatujui Twaha Mwaipaya kapelekwa wapi, tkumpazia sauti huenda sauti zetu zikasaidia. #FreeTwahaMwaipaya
4
32
1
71
1,410
“Mungu atuhurumie,lakini kama kuna wengine waliofanya makosa ambao wanashikiliwa kwasababu za siasa hawapaswi kuuwawa” Askofu Wolfang Pisa.
3
5
91
Necto Kitiga retweeted
Ndugu yangu Twaha Mwaipaya BADO hatujampata. Tuendelee kuweka #FreeTwahaMwaipaya au kurepost bila kuchoka kama ambavyo alikuwa mtu asiechoka juu ya kupambania nchi yake. #FreeTwahaMwaipaya REPOST 200
3
142
346
3,241
Roho za wote waliouawa katika zile siku tano za majonzi, kuanzia tarehe 29 Oktoba 2025 zipumzike kwa amani ya milele. Bwana azifariji familia zinazoomboleza, hasa zile ambazo bado zinawatafuta wapendwa wao waliopotea. Awaponye waliojeruhiwa na kuwaimarisha wote wanaoendelea kubeba uchungu wa siku zile za maafa. Ee Bwana, uwajalie pumziko la milele, na mwanga wa milele uwaangazie. Wapumzike kwa amani. Amina.
18
233
2
797
7,015
Siku kama ya leo tarehe 29 Oktoba 2025 kuanzia majira ya saa tano asubuhi,maandamano ya kuikataa @ccm_tanzania na Mwenyekiti wake yalianza.Maandamano hayo yalifanyika kwa kuwa wananchi walijiridhisha kwamba maoni yao yakudai mabadiliko ya kiuchaguzi na katiba Mpya hayasikiliswi kwa njia za kawaida. Maelfu ya wananchi walitoka majumbani mwao kwa wingi wao na kuonesha hali ya kumkataa Samia waziwazi.Waliimba “Samia Must Go” na “hatumtaki Samia” kwa sauti kubwa huku wakitembea kuelekea Ikulu,wakionesha azma yao ya kudai haki,mabadiliko na utawala bora. Kiichofuata ni ukurasa wa giza kwenye hiatoria ya nchi yetu. Kwa hofu ya nguvu ya umma na uwezekano wa wananchi kufanikiwa kuonesha wazi kukataa kwao uongozi uliopita, vyombo vya dola viliingia barabarani. Maandamano yakageuka kuwa maafa makubwa, yaliyosababisha vifo vya Watanzania wengi katika kile kinachokumbukwa leo kama mauaji ya Oktoba 29, 2025 (29th October Massacre). Hofu ya dola kwa nguvu ya wananchi ikageuka kuwa maumivu kwa taifa zima. Serikali ikazima intaneti, mawasiliano yakakatika na familia nyingi zikakosa taarifa za wapendwa wao. Wazazi wakawapoteza watoto wao, wanawake wakabaki wajane na watoto wakabaki yatima. Familia nyingi zikaachwa na majeraha ambayo hayatafutika kirahisi. Baada ya hapo bado watawala wakamuapisha mtu wao,na sasa nchi inatawaliwa na Serikali haramu isiyotakiwa na wananchi wake. Tanzania imekuwa nchi ya kidikteta/kiimla ambayo haifuati utawala wa sheria wala kudhamini haki za binadamu.Utekaji,mauaji na kesi za kubambikiana zimekuwa jambo la kawaida.Mamlaka zinazo husika zinatazama na kukaa kimya,kwa kuogopa kuvuliwa nyadhifa zao. Mpaka nani afe ndio mambo ya badilike?Je watakao kufa kwenye nchi hii ni Chadema peke yao kwa kudai haki,uwajibikaji,na utawala bora? Damu za Watanzania haziwezi kamwe kumwagika bure,na mambo yakaendelea kuwa business as usual. IT IS IMPOSSIBLE Leo, tarehe 29 Oktoba 2026 tunawakumbuka na kuwaombea wote waliopoteza maisha yao katika matukio ya Oktoba 29, 2025. Tunazikumbuka familia zilizopoteza wapendwa wao, manusura wanaoendelea kuishi na majeraha ya kimwili na kisaikolojia, pamoja na Watanzania wote walioathiriwa na mauaji hayo. Tunawaahidi kwamba kumbukumbu zao zitaendelea kuwa sehemu ya mapambano yetu ya kudai taifa lenye haki, uhuru, demokrasia na utawala bora. HATUTASAHAU NA HATUWEZI KUNYAMAZA. #Freedomiscomingtomorrow #Hatutasahau #FreeTunduLissu #FreeJohnPambalu #FreeTwahaMwaipaya #KatibaMpyaNiSasa #VivaChademaViva.
10
144
1
570
6,132
Today, the U.S. Embassy community joined me to honor the memory of all those who lost their lives in the violence surrounding Tanzania’s October 2025 general elections. We remember them, and the families who still grieve and seek answers. As I said to the U.S. Senate during my confirmation hearing, this will not be swept under the rug.
237
1,223
63
3,244
93,392
Necto Kitiga retweeted
VIDEO: Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) @THRDCOALITION , Wakili Onesmo Olengurumwa @OlengurumwaO amesisitiza kuwa taifa linapaswa kutibu majeraha, kuwajibika, na kukaa mezani kutafuta ukweli kuhusu matukio ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, badala ya kusahau yaliyotokea. Wakili Olengurumwa ameyasema hayo leo, Oktoba 29, 2026, mkoani Dar es Salaam wakati wa Ibada maalum ya kuwakumbuka waliopoteza maisha, waliopotea, na majeruhi wa matukio ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania. Akimulika haja ya kukabiliana na ukweli badala ya kupuuza changamoto zilizojitokeza, Wakili Olengurumwa amerejea methali za Kiswahili akionya kuwa kuweka kichwa chini kama mbuni hakutatui matatizo ya nchi. “Waswahili wanasema taifa lisilokumbuka misiba yake ni taifa lisilokumbuka furaha zake. Maana yake tukijidanganya kana kwamba hatukupata msiba maana yake tunakuwa tuko tayari kuendelea kuwa katika eh changamoto... Sisi kama taifa hatupaswi kufikiri kwamba kwa kuweka kichwa chini kama anavyofanya mbuni basi kila kitu kinakuwa salama”, ameeleza Olengurumwa. Olengurumwa amebainisha kuwa vitabu vitakatifu vya dini zote mbili za Uislamu na Ukristo kwa maana ya Qurani na Biblia vinafundisha kuwa haki, rehema, msamaha, amani, na ulinzi wa uhai ndio msingi mkuu wa jamii yenye mshikamano. Ameeleza kuwa Qurani inasisitiza kujibu uovu kwa namna iliyo bora zaidi ili uhasama ubadilishwe kuwa ukaribu, huku vitabu vya Kikristo vikihimiza kuondoa uchungu na hasira na badala yake kujenga huruma na msamaha.
1
22
1
131
2,871
BAVICHA iko imara. Ushawishi mkubwa kwa Wenyeviti wa Kanda 3 & Mikoa 11 tunaufuatilia kwa makini na safari zinazoandaliwa. Tutawatahadharisha kuhusu hizo Biashara haramu. Udalali hautaruhusiwa miongoni mwetu Vijana. BAVICHA sio kichaka cha kuhubiri Maridhiano ya Ulaghai.
3
9
1
34
1,567
Leo umetimia mwaka mmoja tangu mauaji yaliyofanywa kwa makusudi na vyombo vya dola vya Tanzania dhidi ya Watanzania wasio na hatia. Endeleeni kupumzika kwa amani wote mliouwawa kikatili na kibabe, poleni majeruhi na wahanga wote Haki inaweza kuchelewa Lakini haki haipotei kamwe
1
9
16
250
Necto Kitiga retweeted
Mdogo wetu Coletha Ntindyicha bado anashikiliwa na vyombo vya dola, Leo niliingia Mahakamani kuungana na Wakili Mahinyila na Mvanda kupambania uhai wa mdogo wetu baada ya govt kuweka mapingamizi, Mahakama imepiga chini mapingamizi na kesi itakuja ijumaa kusikilizwa. #FreeColetha
13
164
1
705
12,410
Necto Kitiga retweeted
Leo umetimia mwaka mmoja tangu mauaji yaliyofanywa kwa makusudi na vyombo vya dola vya Tanzania dhidi ya Watanzania wasio na hatia. Mauaji ya October 2025 yalikua yanaweza kuepukika na uchaguzi ukafanyika kwa amani na usalama. Kwasababu ya kiburi na uchu wa madaraka watawala waliamua kupuuza wito wa mda mrefu wa viongozi wa dini, vyama vya siasa, mashirika yasiyo ya kiserikali na hata watu maarufu ya kutaka mabadiliko ya katiba na sheria za uchaguzi ili kuwezesha uchaguzi huru na haki. Mpaka sasa mwaka mmoja baadae Nchi iko kwenye mkwamo mkubwa wa kisiasa, watu wanaendelea kutekwa, kuuawawa na kupotezwa. Kila anaetoa sauti ya kukemea uovu na kutaka maridhiano na uwajibikaji wa kweli anakabiliwa na kifo au mashitaka ya uongo. Inaonekana hawa watawala wameshindwa kujifunza kwa yale mabaya yaliyotokea, Inaonekana wanafurahia kuendeleza utawala wa mkono wa chuma, udikteta na ubabe, mauaji, utekaji na kunyamazisha badala ya kushawishi na kutatua matatizo. Kwa kutumia njia hizi mbele ni giza tupu, hakuna sehemu ambayo utawala wa kibabe Umefanikiwa kunyamazisha watu wote, Nchi hii ina watu zaidi ya milioni 70, hakuna siku watu wote hawa watanyamazishwa kwa uongo na kikundi kidogo cha watu kwa kutumia ubabe. Njia pekee ya kutatua mkwamo huu ni. 1. Kumuachia Mwenyekiti Lissu na kufuta kesi za uongo dhidi ya wanachama wetu wote. 2. Kuachia mateka wote na kusitisha utekaji na mauaji ya kiholela. 3. Kuruhusu msuluhishi huru (mediator) kuleta watu pamoja na kuzungumza kwa ukweli na uwazi. 4.Uwajibikaji bila upendeleo kwa wahusika wa mauaji, kulipa fidia familia za wahanga, kutibu majeruhi wote na kuwapa fidia. 5. Kuruhusu Uchunguzi huru na kuomba radhi mbele ya Watanzania kwa makosa makubwa yaliyofanywa na vyombo vya dola dhidi ya raia wake. 6. Kuandika katiba mpya ya Nchi na sheria za uchaguzi ambazo zitarudisha umoja na haki kwa kila mtu. 7. Kutamka kwa uwazi kwamba makosa kama yale hayatajirudia tena kwenye Nchi yetu. 8. Kuhakikisha familia zinapata miili ya wapendwa wao na kufanya maziko ya heshima, kiafrika na kidini. Kuendelea kutumia ubabe ni kuchochea chuki, uhasama na visasi kwa siku zinajazo… Watawala badala ya kutumia chawa na ubabe kujaribu kuhujumu Chadema na uongozi wa Chadema, Tumia busara kufanya jambo sahihi la kuponya Nchi hii. Tunajua mipango yenu dhidi yetu, lakini haki haijawahi kushindwa. Endeleeni kupumzika kwa amani wote mliouwawa kikatili na kibabe, poleni majeruhi na wahanga wote. Haki inaweza kuchelewa Lakini haki itapatikana tu.
79
712
12
2,100
26,650
TANGAZO: IBADA YA KUMBUKUMBU Habari Wanajumuiya! TCA inaandaa Ibada ya Kumbukumbu Jumamosi, 31 Oktoba 2026, kuwakumbuka na kuwaenzi ndugu waliopoteza maisha 29–30 Oktoba 2025 nchini Tanzania. 📍 TUMAINI SWAHILI CHAPEL 6740 W. North Avenue, Chicago, IL 60707 📅 31 Oktoba 2026 | Muda: 3:00 PM – 7:00 PM Mnakaribishwa kushiriki. Tushirikiane kuwakumbuka wapendwa wetu. Ahsanteni. Mungu awabariki.
1
47
116
1,801
Necto Kitiga retweeted
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kimewasilisha barua rasmi kwa Rais wa Kenya, William Ruto ya kumuomba kuingilia kati suala la madai ya kutekwa kwa Mwanaharakati Twaha Mwaipaya. Akizungumza na Waandishi wa Habari, leo Oktoba 27, 2026 Jijini Dar es salaam, Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema barua hiyo imewasilishwa leo katika Ofisi za Ubalozi wa Kenya Nchini Tanzania, ikiwa na kichwa cha habari kinachosomeka “Urgently Appeal for Your Personal Intervention in the Abduction of Twaha Mwaipaya and Protection of Democratic Activists in East Africa.” Kupitia barua hiyo, CHADEMA imemuomba Rais Ruto kutumia nafasi yake kuingilia kati suala hilo, huku kikisisitiza umuhimu wa kulinda usalama wa Wanaharakati wa Demokrasia katika Ukanda wa Afrika Mashariki. #MillardAyoUPDATES
2
28
1
339
19,834
Necto Kitiga retweeted
Asasi za kiraia nchini Kenya zimeungana kupaza sauti kuhusu tukio la kutekwa Twaha Mwaipaya wakati huo Asasi za kiraia nchini Tanzania zimejikausha kimya as if hakuna kilichotokea. Wanaogopa kumkwaza Nduli Idd Amin Mama, eniwei acha tuendelee kumpazia sauti ndugu yetu #TwahaMwaipaya
6
143
508
9,727
Necto Kitiga retweeted
Pumbavu nyie chawa wa ccm. Mmeniweka kwenye list ya wanaotakiwa kutekwa mnadhani nitaogopa niache kutetea haki? Kwa sasa nipo nabeba box hapa Carmel, Indiana kwenye county ya Hamilton. Njooni mniteke mbwa nyie 📌SITISHIKI NA SITANYAMAZA KAMWE MPAKA UONEVU UISHE TANZANIA 🇹🇿 📌
19
54
3
287
18,884
Necto Kitiga retweeted
#BREAKING: LISSU ASITISHA MGOMO WA KULA BAADA YA KUKUTANA NA NDUGU YAKE NDANI YA GEREZA Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amesitisha mgomo wa kula aliouanza Jumanne baada ya kuruhusiwa kukutana faraghani na mdogo wake, wakili wake mkuu Rugemeleza Nshala amethibitisha. Awali, taarifa zilizotolewa Jumamosi zilieleza kuwa Lissu alikusudia kuanza mgomo huo Jumatatu akipinga vizuizi vya mashauriano ya siri na mawakili wake. Hata hivyo, aliahirisha hatua hiyo baada ya kuahidiwa kupata fursa ya kukutana nao. Baada ya ahadi hiyo kutotekelezwa, Lissu alianza kugoma kula Jumanne asubuhi. Akizungumza na shirika la habari la The Associated Press, Nshala alisema tayari Lissu alikuwa amekataa , kifungua kinywa na chakula cha mchana kabla ya kuhitimisha mgomo huo baada ya mkutano wa kifamilia. Lissu, ambaye alinusurika jaribio la mauaji mwaka 2017 kwa kupigwa risasi mara 16 na baadaye kuishi uhamishoni kutokana na vitisho vya usalama, anakabiliwa na kesi ya uhaini inayoweza kumpelekea hukumu ya kifo. Amekuwa mahabusu kwa zaidi ya miezi 18, huku hukumu ya mwisho ikitarajiwa kutolewa Novemba 6.
7
38
1
175
10,035
Necto Kitiga retweeted
WHERE IS TWAHA MWAIPAYA? MEDIA INVITE: FILING OF HABEAS CORPUS WRIT APPLICATION FOR THE PRODUCTION OF TWAHA MWAIPAYA. Twaha Mwaipaya is a human rights defender,youth organizer and political activist who has spent years mobilizing for democracy, justice, human rights, civic freedoms and accountability in Tanzania. He has been a prominent youth leader within Tanzania's main opposition party, CHADEMA, serving as national mobilization coordinator of it's youth wing. Twaha was abducted in Kenya on Sunday afternoon and his whereabouts are yet to be known. We are calling upon Human Rights Defenders,Active Citizens and Civic Voices to join us for a press briefing tomorrow Wednesday at the Milimani Law Courts, Nairobi. #FreeTwahaMwaipaya #EndAbductionsEA #PASNet
66
202
4,656
Muda wa Maridhiano ulishapita, Huu ni Muda wa uwajibikaji. #FreeTwahaMwaipaya
8
26
2
99
1,712