HONGERA AFANDE MULIRO KWA KUSEMA UKWELI ๐:
Halafu anaibuka mtu mwingine na kusema; โDAR ES SALAAM KUNA UHAINIโ. Tuwakatae WAZUSHI. Msema KWELI ni MPENZI wa MUNGU.
HAKI YA TUNDU LISSU KUSIKILIZWA KIKAMILIFU:
Kwa kuwa MAHAKAMA KUU YA TANZANIA tayari imetamka kwamba; ilikuwa ni MAKOSA kwa Magereza KUMNYIMA Tundu Lissu, HAKI YA FARAGHA NA MAWAKILI WAKE, maana yake ni kwamba; HAKUSIKILIZWA KIKAMILIFU. Yote yajayo yatakuwa ni BATILI.
NAKWENDA KUJIPIGIA TENA:
Nitatumia Kesi ya: PETER MICHAEL MADELEKA vs. REPUBLIC [2024] TZCA 356 (14 MAY 2024) kujipigia hao jamaa. Maana, HAWAJUI kwamba mimi ndiye BINGWA wa โCRIMINAL REVISIONโ.๐
Siku nikichafukwa nitawataja MCHICHA MWIBA wote ambao wana VISEBENGO vya KUBEZA mapambano ya kudai HAKI. Hivi kwa nini wanaume wanakuwa na MAMBO YA KISICHANA?
Unawezaje KUSIMAMISHWA UWAKILI KWA MIEZI 6 halafu UKAUFYATA MKIA huku unatuma watu wsko WASIOJUA KUPIGA MSWAKI waje WABEZE Rekodi yangu iliyotukuka ya KUIBONDA Kamati ya MAADILI? Acheni CHUKI ZENU ZA KISICHANA.
BREAKING NEWS:
MAHAKAMA YA RUFANI YAIONDOA RUFAA YA KAMATI YA MAADILI DHIDI YA MADELEKA
Leo tarehe 27 Oktoba 2026 Mahakama ya Rufani ya Tanzania IMEONDOA Rufaa ya KAMATI YA MAADILI YA MAWAKILI dhidi ya PETER MADELEKA baada ya Rufaa hiyo KUFUNGULIWA NJE YA MUDA.
HAKUNA KUITA POLISI MAHAKAMANI:
Leo SITARAJII kuona jamaa WAKIITA POLISI ili WANIKAMATE nikiwa MAHAKAMANI. Maana, jamaa ndiyo zao, NIKIWASHINDA TU MAHAKAMANI, wanakimbilia KUITA POLISI.๐๐
SHULE YA MAADILI BILA ADA:
Leo tarehe 27 Oktoba 2026 nitakuwa Mahakama ya Rufani ya Tanzania-Dar es Salaam, nikitoa SHULE YA MAADILI BILA ADA, kwa WOTE WASIOJUA SHERIA. Chakula na Vinywaji vitatolewa BURE kama KAWAIDA. Wahi SITI yako MAPEMA.๐
HONGERA RAIS:
Tanzania tuna kila sababu ya KUJIVUNIA kwa kuwa nchi yenye UTAWALA WA SHERIA chini ya UONGOZI MADHUBUTI wa Rais SAMIA SULUHU HASSAN. Mambo ya UTEKAJI na MAUAJI ni PROPAGANDA ZA MABEBERU.๐
ILA MSIGWA๐๐๐๐
Watu wakidhani EL NINO ni MVUA. Imekula kwao. EL NINO ni JUA KALI.๐๐
HAKI KWA TWAHA MWAIPAYA:
Hakuna sababu yoyote ile inayoweza KUHALALISHA KUTEKWA kwa Twaha Mwaipaya. Mamlaka za KENYA zinawajibika KUELEZA alipo na KUHAKIKISHA Twaha Mwaipaya ANAPATIKANA akiwa HAI. Kwa pamoja, TUPINGE UTEKAJI.
MWAMPOSA KIBOKO YA BENKI KUU:
Benki Kuu ya Tanzania (B.O.T) IMESALIMU AMRI kwa MWAMPOSA na kumuwekea PESA muumini mmoja, baada ya KUFANYIWA MAOMBI NA MWAMPOSA๐๐๐














