PABLO retweeted
Hii Starehe noma sana !!
Ndo maana haya majani walipiga marufuku Tanzania 🇹🇿 starehe moja ya gharama sana
Gomba zoruba 50,000/=
Pk za Tsh 2500
Pakti la embassy 1 Tsh 7000-10000
maji na soda 2000
Halafu ukishatema kuna kutafuta KITEMEO uchangamshe damu hata kimoja cha mkwezi
PABLO retweeted
Here Are 5 Places to Visit in Zanzibar This Holiday Season! 🧵
Visit Safarigateway.co.tz for booking
1. Mnemba Atoll
PABLO retweeted
Gari la Kina Sativa na Taivina Limeshawaka Kiukwelii Hakuna wa kulizuia Tajiri alijaribugi akashindwa sasa itakua kwa Baraka atulie
PABLO retweeted
Moja Ya Kitu Cha Kushukuru ni Kumuona Tundu Lissu Live nahisi watoto wa watoto wetu watasimuliana sana Habari Zake
Moja Ya Kitu Cha Kushukuru ni Kumuona Tundu Lissu Live nahisi watoto wa watoto wetu watasimuliana sana Habari Zake




















