Kitima analivua nguo kanisa hotuba aliyo itoa inaonyesha wazi kabisa lengo la hiyo misa ni kubomoa na siyo kujenga.
Link yake hiyo hapo yuko IG instagram.com/reel/De2P3Vpt1…
PrettyGhost👸 retweeted
Wanaharakati bila uongo hawawezi kutoboa kabisa! Hapa ni Nyakijoga, Mugana, katika Hija ya Mt. Maria iliyofanyika Jumapili, tarehe 25 Oktoba 2025. Tukio hili halihusiani na maombolezo yoyote. Tunaweza kuwaombea marehemu wote wapumzike kwa amani bila kupotosha umma kwa maslahi ya kisiasa.
Dini si jukwaa la kupandikiza propaganda. Epuka utapeli na upotoshaji! 😂😂😂
PrettyGhost👸 retweeted
Kwahiyo wanaharakati uchwara baada ya kuona ishu yenu imebuma mmeona muitumie hii video kujifariji eti😆😆
PrettyGhost👸 retweeted
TANZANIA KUFUNGUA UBALOZI WAKE NCHINI ANGOLA - RAIS SAMIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza uamuzi wa Tanzania kufungua tena ubalozi wake nchini Angola, hatua inayolenga kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na kuongeza ushirikiano...
PrettyGhost👸 retweeted
Hakika, Serikali yetu ya Chama Cha Mapinduzi, chini ya uongozi wa Mwenyekiti wetu, Dkt. @SuluhuSamia, imeupiga mwingi kweli kweli! 👏 Ndoto ya Dodoma kuwa makao makuu ya Serikali imetekelezwa kwa vitendo. Huu ni ushahidi wa uongozi wenye maono na dhamira ya kuleta maendeleo.
PrettyGhost👸 retweeted
Maono ya Taifa, utekelezaji wa vitendo! 🔥 Mji wa Serikali, Mtumba, ni taswira ya Tanzania inayojenga, inayopanga na inayotazama mbele. Hongera Serikali ya Dkt @SuluhuSamia kwa kuendeleza ndoto ya Dodoma kuwa kitovu cha utawala wa nchi yetu. 🇹🇿
PrettyGhost👸 retweeted
Hii ndiyo Dodoma yetu, hii ndiyo Tanzania yetu! 🇹🇿 Majengo ya kisasa, mandhari ya kuvutia na Mji wa Serikali unaoipa nchi yetu sura mpya. Hakika, maendeleo yanaonekana kwa vitendo!
PrettyGhost👸 retweeted
Hatuwezi kusahau jinsi Dodoma ilivyokuwa pori, Asante sana Rais Samia Suluhu Hassan leo Dodoma ni jiji! Karibuni Mtumba. #KaribuMtumba
PrettyGhost👸 retweeted
Wahaini wanapenda kulisha watu matango pori ili mambo yao yaende. Wanapanga kila hila kutugawa na haiwezekani.






















