Learner✝️🛐✝️🕊👑 (@ProLearner77) header
Learner✝️🛐✝️🕊👑 (@ProLearner77) profile picture

A Real Human. Being // Reposts≠endorsements

Ponta do Ouro
Joined April 2015
Photo by Learner✝️🛐✝️🕊👑 (@ProLearner77)Photo by Learner✝️🛐✝️🕊👑 (@ProLearner77)Photo by Learner✝️🛐✝️🕊👑 (@ProLearner77)Photo by Learner✝️🛐✝️🕊👑 (@ProLearner77)Photo by Learner✝️🛐✝️🕊👑 (@ProLearner77)Photo by Learner✝️🛐✝️🕊👑 (@ProLearner77)Photo by Learner✝️🛐✝️🕊👑 (@ProLearner77)Photo by Learner✝️🛐✝️🕊👑 (@ProLearner77)Photo by Learner✝️🛐✝️🕊👑 (@ProLearner77)Photo by Learner✝️🛐✝️🕊👑 (@ProLearner77)
Replying to @Mwitah_tz
Ukiwa na madaraka na pesa unaweza kujitahidi sana kwa kila HALI, kuchonga stori unavyotaka, kuua watu, kutupa jela na kusingizia kila unachoweza. Ila UKWELI ni UKWELI na haujawahi KUJIFICHA MILELE yote.
1
4
2
21
4,729
Learner✝️🛐✝️🕊👑 retweeted
They wanted him dead by all means. Mungu alivyo wa ajabu, the very person who ordered his killing is now the one lying 6 feet underground.
SINGIDA: Mkurugenzi wa taasisi ya The Women Wake Up Foundation, Dkt. Veronica Alexander, amesema hayo Novemba 10, 2026, alipokuwa akizungumza katika mazishi ya Alute Mughwai Lissu, kaka wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Zaidi jamii.app/VeroSiogopiKutekwa #JamiiForums #Utawala
6
5
58
1,608
Learner✝️🛐✝️🕊👑 retweeted
Big mkubwa hajaomba hela wala hana shida ila watu wazuri kama hawa inabidi tuwape fadhila za kilimwengu nipo tayari kuchangia chochote kitu Bi mkubwa ni mtu mwema sana Mungu aendele kumpa nguvu. 🙏
5
30
79
1,051
Learner✝️🛐✝️🕊👑 retweeted
VIDEO: Mkurugenzi wa taasisi ya The Women Wakeup Foundation, Dkt. Veronica Alexander, ametoa ushuhuda mzito kuhusu jinsi alivyofukuzwa kazi baada ya kumpokea na kumpatia huduma ya kwanza mwanasiasa Tundu Lissu aliposhambuliwa kwa risasi mkoani Dodoma. Dkt. Veronica amebainisha hayo leo alipokuwa akizungumza na kutoa ushuhuda wake katika msiba wa marehemu Mzee Alute Mughwai Lissu mkoani Singida. “Lakini nilifungua hii NGO kwa ajili ya kusaidia watu wasiotendewa haki na nilisema kazi sio riziki, riziki inatoka kwa Mungu," amesema Dkt. Veronica Dkt. Veronica amesisitiza kuwa haogopi vitisho kwasababu ya kusimamia ukweli na haki, huku akiwasihi wananchi na Wakristo kuendelea kusimamia haki bila woga wowote.
8
43
2
227
11,464
Learner✝️🛐✝️🕊👑 retweeted
Siku tukikomboa hii nchi, watu kama hawa lazima MAJINA yao yaandikwe kwa wino wa dhahabu na YAINGIZWE kwenye historia wakumbukwe VIZAZI NA VIZAZI.
20
180
3
1,012
18,260
Learner✝️🛐✝️🕊👑 retweeted
🗣️ MWAMBUKUSI 🔥🙌🏾
7
92
2
419
22,090
Tundu Lissu ANATESWA. Tundu Lissu AMEUMIZWA kwa RISASI, kunyimwa MATIBABU, Tundu Lissu alinyimwa Haki za KIBUNGE. Tundu Lissu amesingiziwa na kufungwa kwa UONGO. Haya yote anafanyiwa mtu asiye na HATIA yoyote. MADHABAHU za KUZIMU zinaitaka DAMU yake kwa nguvu kubwa sana.
8
15
637
Learner✝️🛐✝️🕊👑 retweeted
SINGIDA: Mkurugenzi wa taasisi ya The Women Wake Up Foundation, Dkt. Veronica Alexander, amesema hayo Novemba 10, 2026, alipokuwa akizungumza katika mazishi ya Alute Mughwai Lissu, kaka wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Zaidi jamii.app/VeroSiogopiKutekwa #JamiiForums #Utawala
37
203
25
899
61,152
Learner✝️🛐✝️🕊👑 retweeted
At #UPR53, 🇨🇭recommended #Tanzania🇹🇿 to: ➡️Investigate #humanrights violations linked to the 2025 elections. ➡️Protect freedom of expression, association and assembly. ➡️Abolish the #deathpenalty and protect Indigenous peoples’ land rights. 🗒️mission-geneve.dfae.admin.ch…
5
66
2
127
4,241
Kujidhalilisha tu, kwasababu ya nauli ya buku.
GenZ mnapoipeleka hii nchi 😅😅
7
12
1
94
6,360
Learner✝️🛐✝️🕊👑 retweeted
Kivulini Talks—Machinga, Panga Pangua Miji, Ukosefu wa Ajira: Tunapambana na Umasikini au na Masikini? youtu.be/RgW7EQcaDpU?si=2XWk…
1
3
5
529
CCM has been replaced by kleptocracy due to rewarding LOYALTY, NEPOTISM, and CORRUPTION. As it's facing intensifying opposition, that can't be handled by its small-minded loyalists, they have resorted to excessive use of cruelty to protect that power. nitter.gq/fichuahub/status/21186…
62
Learner✝️🛐✝️🕊👑 retweeted
Nimetoka Gereza la Ukonga, kumtembelea Mhe Tundu Antiphas Mghwai Lissu mfungwa mwenye namba 623/2026, yuko salama ameanza maisha mapya. Mhe lissu ametupatia ridhaa Mawakili wa Chama, chini ya Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Dr Rugemeleza Nshalla kumwakilisha kwenye rufaa inayokusudiwa kusajiliwa na mambo yote yanayohusiana nayo, kufuatia uamuzi uliotolewa tarehe 6 November 2026 na Mahakama kuu, Masijala ya Dar Es Salaam. Mhe Lissu amepokea nakala ya taarifa ya kukata Rufaa (Notice of Appeal) ambayo imesajiliwa Mahakamani, pamoja na nakala ya hukumu iliyosomwa November 06, 2026. Aidha, hatua nyingine za kisheria zinaendelea kwa uratibu wa mawakili wake.
42
315
6
1,270
34,830
DRC hakuna vyama vya siasa vya KURA. Kuna POLITICAL-MILITARY FRONTS, kwasasa ni FRN ambayo ni COALITION chini ya Joseph Kabila (Former President) na AFC ya Corneille Nangaa aliyekuwa M/kiti wa Tume ya Uchaguzi. Ukitaka madaraka, unaanzisha chama unajiunga M23 wenye BUNDUKI.
Mda wote nipo Google Natafuta Namna ya Kujoin Al-shabab au M23 🥺 nakosa 🥺
97
Learner✝️🛐✝️🕊👑 retweeted
Botswana President Duma Boko has called for the word ‘diamond’ to be reserved exclusively for naturally mined stones, arguing that laboratory grown alternatives should not be marketed under the same name. instagram.com/reel/DffbgISOK…
9
50
12
167
16,668
Learner✝️🛐✝️🕊👑 retweeted
The Oppenheimer family owns a 65 000 hectare cattle ranch in Zimbabwe with 10 000 heads called Shangani Holistic. Oppenheimer family are Zionists based in South Africa with power to launch missiles deep into the region. Elections are just a mere formality in Afrika.
The Delamare family still owns a 45,000 acre ranch in Kenya, with a 990 year lease. That's why elections will never change anything in Africa.
47
961
21
3,895
87,589
Learner✝️🛐✝️🕊👑 retweeted
"Nature does not punish the evil, it punishes the weak." — Nietzsche
166
1,900
73
13,762
236,306
Learner✝️🛐✝️🕊👑 retweeted
Rwanda is Africa's second most densely-populated nation so a totally inappropriate place to send migrants. Kigali only signed up for this deal because it knows the Western govts involved will repay the favour by ignoring its occupation of eastern DRC. nytimes.com/2026/11/06/world…
19
122
10
265
13,031