
| Creative designer | [email protected]
Dar es Salaam, Tanzania
Joined June 2014
- Tweets25.4K
- Following1.7K
- Followers897
- Likes56.6K
Proje retweeted
The holiday in Tanzania is officially over!
Davido and Chioma are now returning to Nigeria on their private jetπ₯Άπ©οΈ
Proje retweeted
I donno man, maybe im a hater. But it gives me joy the coolest kid in the country is a commoner from the streets. Not some politicians son, diaspora, an entitled rich kid or some arab.
Proje retweeted
Davido went out today in Tanzania and agreed to donate desks and school bags to students in Kigoma town, Tanzaniaβ¦OBO too good β€οΈ
Proje retweeted
Nimejifunza mambo haya matatu kwenye tour ya Davido na mkewe Chioma hapa bongo.
Hereβs my POV: π§ΆππΎ
Proje retweeted
Someone should not lie to you siasa sio vita bongo. Just look at how tired Hecheβs face is. He even seems to have lost weight :(
VIDEO:
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche amesema wajibu wa serikali si kukomoa wananchi kwa vitisho, kukamata au kuwafanyia vitendo vya ukandamizaji, bali ni kuhakikisha sheria na taratibu zinafuatwa katika kuendesha nchi.
Akizungumza leo Novemba 9, 2026, kanisani katika ibada ya kuuaga mwili wa mzee Alute Mughwai Lissu, Heche amesema anafahamu familia inapitia maumivu makubwa kutokana na hali inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, pamoja na msiba wa kuondokewa na Mzee Alute Mughwai Lissu.
Amesema pamoja na changamoto hizo, chama kitaendelea kusimamia na kusema kile kinachoamini ni sahihi, akisisitiza kuwa wajibu wa viongozi ni kuzungumza kwa maslahi ya wananchi na kuhakikisha nchi inaendeshwa kwa kufuata sheria na utaratibu.
Proje retweeted
In 2008, my late mzee summoned me, akanitemea mate then gave me his safari boots and a hero jet bicycle as a blessing to take care of my 12 siblings. Nimestruggle with these disciples but finally, wa mwisho anagraduate this year. A win for me. I know mzee will be proudπͺ


































