
#π·πππππππππ»π #BongoHipHopLyrics #πΊππππππππ―πππ―ππ
Earth
Joined December 2020
- Tweets2.8K
- Following504
- Followers1.3K
- Likes601
#HipHop βπΏ
π·ππππππππ π»π βͺ retweeted
Huku watu sio watu ni wanyama mpaka kero,
Usishangae ukala kisu sababu ya Jero,
Sikuhizi hata wadada wanatembea na mabero,
Ma-role model wetu wako Sero.
#MombasanaMzizima Ndugu wa Mbali hawa ππΎπ₯
"Kuna wengi wanajiuza kucha kutwa wapo club,
Juu ya uraibu, wakiulizwa wanasema ni (vibe) vaibu."
-Kaa la Moto #NduguwaMbali Joseph na Johnny
268
π·ππππππππ π»π βͺ retweeted
"Eti tusivute na mnavuta ushuru wa rizla"
#Waambieni #KalaJeremiah
Sikua mchafu japo vitu nilivyonyuka ni kuu kuu/
Life tough sikuweza nunua nguo mpya hadi sikukuu/
Na jirani akinunua vya bei ya juu/
Sisi tunaingia dukani kununua vya bei nafuu/
#Familia - Fid Q
9
235
Lengo ni kuoa rich guy au mtoto wake,
Ili nimsaidie kuzitimiza ndoto zake,
Ndoto zangu nimepima sio muhimu sana,
Mama kasema kuolewa heshima, namuheshimu mama.
#Mwanasesere #AFFAlbum #Dizasta
π·ππππππππ π»π βͺ retweeted
Replying to @PunchlinesTz
Probably best rap love song kwny history ya hip hop TanzaniaπUno alitick kila box beatβ
flow β
lyrics β
voiceβ
"Wanasema na rhyme kali, ila hizi conversation huwaga Manight kali" @onetheincredibl π
π·ππππππππ π»π βͺ retweeted
Replying to @PunchlinesTz
Uno wa duke tachezπβοΈ
Maza kanifunza nisiwe mnoko wa maarifa,
Nibakie msiri asie na dhambi kama choo cha kanisa,
#MokoWaMiujiza
Me ni msichana sina nyenzo kuhimili,
sina elimu talent sina uwezo wa kufikiri,
Sihitaji ubongo kujaza salio langu,
Zaidi ya sura nzuri kiuno kidogo kalio langu,
#Mwanasesere
Dada baki shule bila elimu utateseka/
Kutegemea urembo, ipo siku utazeeka/
Kama ukiweka mwili wako hisani/
Ukizeeka hatutajali ulichonacho kichwani/
#MascularFeminist - @dizastavina
Urembo na uzuri upo ndani kwa nje mnajiongopea../
Muuza sura usikose amani makunyanzi yakikutokea.../
#PunchlineTz #FidHop #IeleweMitaa
π·ππππππππ π»π βͺ retweeted
Happy Men's Day
#MtotoWaKiume π₯ We all know that it's not easy. May your ground stay fertile forever ππ½
Leo mna nyumba mna mashamba mna viwanja mna viwanda/
Mi nasaga na rhumba na mshahara wangu haujapanda/
Yule traffic maisha magumu aaah muogopeni Mungu/
Nikisema it is not fair mnataka mnifunge pingu/
#MrPresident #Roma2030
1
106








