
Idhaa ya kiswahili ya @RFI (Radio France Internationale) ipo kwa kukuhabarisha habari za kimataifa
Nairobi, Kenya
Joined July 2011
- Tweets39.7K
- Following304
- Followers7K
- Likes236
Takriban watu 100,000 waliokimbia makazi yao wako katika hali mbaya Mambasa www.rfi.fr/sw/afrika/20261122-takriban-watu-100-000-waliokimbia-makazi-yao-wako-katika-hali-mbaya-mambasa
41
CAF imeonyesha mshikamano na kumuunga mkono Gianni Infantino dhidi ya Philippe Diallo www.rfi.fr/sw/michezo/20261122-caf-imeonyesha-mshikamano-na-kumuunga-mkono-gianni-infantino-dhidi-ya-philippe-diallo
52
Mali: Wanajihadi wa JNIM washambulia jeshi na wasaidizi wake katika eneo la Ségou www.rfi.fr/sw/afrika/20261122-mali-wanajihadi-wa-jnim-washambulia-jeshi-na-wasaidizi-wake-katika-eneo-la-s%C3%A9gou
62
Senegal: Mashirika yasiyo ya kiserikali yatoa wito wa kufanyiwa marekebisho ya sera ya uhamiaji www.rfi.fr/sw/afrika/20261122-senegal-mashirika-yasiyo-ya-kiserikali-yatoa-wito-wa-kufanyiwa-marekebisho-ya-sera-ya-uhamiaji
37
Baada ya Sahel, Algeria yaanzisha ushirikiano wa nishati Côte d'Ivoire na Kongo-Brazzaville www.rfi.fr/sw/afrika/20261122-baada-ya-sahel-algeria-yaanzisha-ushirikiano-wa-nishati-c%C3%B4te-d-ivoire-na-kongo-brazzaville
1
72
DRC-Kenya: Marais Tshisekedi na Ruto wanatarajiwa Brazzaville kujaribu kuanza tena mazungumzo www.rfi.fr/sw/afrika/20261122-drc-kenya-marais-tshisekedi-na-ruto-wanatarajiwa-brazzaville-kujaribu-kuanza-tena-mazungumzo
Kenya: Kuporomoka kwa majengo kunaangazia hitaji la dharura la mageuzi ya sekta ya ujenzi www.rfi.fr/sw/e-a-c/20261122-kenya-kuporomoka-kwa-majengo-kunaangazia-hitaji-la-dharura-la-mageuzi-ya-sekta-ya-ujenzi
27
Burundi: Agathon Rwasa amewasilisha faili lake la kugombea kiti cha urais www.rfi.fr/sw/e-a-c/20261122-burundi-agathon-rwasa-amewasilisha-faili-lake-la-kugombea-kiti-cha-urais
Israel: Marsharti ya chama cha Netanyahu kuunda serikali ya umoja www.rfi.fr/sw/mashariki-ya-kati/20261121-israel-chama-cha-likud-chaweka-marsharti-ya-kuunda-serikali-ya-umoja
Wakulima wa Afrika Mashariki na Kati waapa kutetea mbegu za kiasili www.rfi.fr/sw/afrika/20261120-wakulima-wa-afrika-mashariki-na-kati-waapa-kutetea-mbegu-za-kiasili
Kenya: Uhaba wa maziwa wafichua changamoto katika uzalishaji wa chakula cha mifugo www.rfi.fr/sw/afrika/20261120-kenya-uhaba-wa-maziwa-wafichua-changamoto-katika-uzalishaji-wa-chakula-cha-mifugo
43
Siku ya Mtoto: Wito wa kuimarisha ulinzi na haki za watoto Kenya www.rfi.fr/sw/afrika/20261120-siku-ya-mtoto-wito-wa-kuimarisha-ulinzi-na-haki-za-watoto-kenya
Hii leo dunia imeadhimisha siku ya watoto duniani wakati huu watoto wengi wakiendelea kushuhudia unyanyasaji waki zao,kutosikilizwa katika jamii na hata kukumbwa na majanga mbalimbali kama vile njaa,mafuriko na migogoro ya vita.
#security #children #WorldChildrens
1
54
Sudan: Shinikizo laongezeka kwa afisa wa zamani wa utawala wa al-Bashir kukabidhiwa kwa ICC www.rfi.fr/sw/afrika/20261120-sudan-shinikizo-laongezeka-kwa-afisa-wa-zamani-wa-utawala-wa-al-bashir-kukabidhiwa-kwa-icc
42
Mashambulizi ya Urusi dhidi ya Kyiv: Ufaransa yaitisha mkutano wa UNSC www.rfi.fr/sw/ulaya/20261120-mashambulizi-ya-urusi-dhidi-ya-kyiv-ufaransa-yaitisha-mkutano-wa-unsc
57
DRC yalaani makubaliano kati ya Rwanda na nchi tano za EU kuhusu mradi wa kituo cha wahamiaji www.rfi.fr/sw/afrika/20261120-drc-yalaani-makubaliano-kati-ya-rwanda-na-nchi-tano-za-eu-kuhusu-mradi-wa-kituo-cha-wahamiaji
47
Wakati mkutano wa tabianchi COP31 nchini Uturuki ukielekea ukingoni, mjadala wa mataifa kuenda katika matumizi ya nishati jadidifu yamekuwa sehemu ya majadiliano katika mkutano huo.
#COP31 #RenewableEnergy #WindEnergy #ClimateAction #GreenEnergy #RFIKiswahili
48
Ndugu wa wahamiaji waliopotea baada ya boti iliyokuwa ikielekea Ulaya kupinduka katika pwani ya Senegal wamekusanyika ufukweni kutafuta taarifa za wapendwa wao. Ajali hiyo ilitokea alfajiri ya Jumatano karibu na mji wa Yenne, kusini mwa mji mkuu Dakar.
#Senegal#Migration #Canary
61
Vikosi vya usalama nchini Iraq vimeanza kuingia katika mji wa Jurf al-Sakhar, ngome ya kundi lenye silaha la Kataib Hezbollah, kufuatia makubaliano yanayolenga kupunguza mvutano kati ya serikali na kundi hilo lenye uhusiano wa karibu na Iran.
#Iraq #KataibHezbollah #Iran
1
95














