Nkole Rooney retweeted
Leo Ben mporipori ( mtekaji ) yuko group la watu ( Ngurumo) analalamika usalama wakati alimfanyia kitu mbaya @Sativa255
Hili ni tekaji mnakaa nao comfortable vipi ?
Anyway mimi hakuna group ambalo sipo , tunaishi wote, mpaka jamaa yenu wa UKi tuko naye kigogo media, na matoto yake majinga , mateso anayofanya kwa mke, namna anavyopokea pesa kutoka Tanzania kwa kutumia card , ametesa mke amenenepa
Mnamshukuru sana Kigali kwa kijichanganya na kuacha print, huko matombo kuna ndugu wema wengi, yeye aendelee kumrecord Abdul na watumishi wa umma, ila mwisho wa siku hizo record tunazitaka , na ako kagorofa kako uza mapema kuna maCCM ayajapenda kabisa ujenge kwa kuwafanyia umbea
Ndani ya CCM mwanaume ni Makamba tu ulimfanyia umbea akakulima kesi akashinda ukaanza lialia , sasa jipange
Hakuna mbwa tutaacha deal naye , huruma imekwisha
Uwezi dhalimisha mke na dada zetu tukakuacha Salama,
Kuna kijana tulianzisha naye taasisi zamani, wakati furani akachivi, nilijua mjanja sasa imekuwaje umerecodiwa kiboya hivyo? Kwamba ulifikiria unapendwa na hiyo ng’ombe ? Amrecordi mapete wewe ndio akuache salama ?
Halafu namba za Ikulu zinapatikanaje kizembe hivyo mpaka namna ya mkuu wa usalama ?
Kibanda kitenge na hii ng’ombe atakuingiza kwa shida kubwaaaaaa
John wa Jambo ameshapewa mpango wa kina Samia
-- Kwanza Samia amepanga kutokuwa na CHADEMA kwenye maridhiano, na wote wasio na ushirika naye anawaita CHADEMA, ina maana kuna vita kali anaendesha Samia pamoja na hii anaita maridhiano
-- Samia anajaribu kuchonganisha wananchi/wanaharakati na baadhi ya viongozi wenye msimamo sawa na wananchi
-- Tume ya maridhiano ni ya mchongo, imelegwa kuweka watu watiifu kwa Samia
-- John anajua hiyo Tume wananchi awaitaki na Samia anajua hivyo
-- John anampachika Father Kitima majukumu ya TEC, anataka fanya kama vile msimamo wa TEC ni wa mtu mmoja
kwa nini mnatengeneza Drama nyingi namna hii na kuziandalia mazingira ya propaganda namna hii ?
Mmekuwa na vijana wajinga wajinga sana
Abdul amerekodiwa sana na kibakawao/chawa ambaye yuko UK, anayetesa mke na watoto, shule watoto wamekuwa wajinga wajinga, ugomvi na majirani na wapangaji wenzie mwanzo mwisho
Nyie wote ni wajinga sana, kwamba mlifikiria kumwekea mtu fedha kwenye account Tanzania kisha anatumia UK itakuwa siri ? hao mnaowatuma kuweka wanataka nchi iliyo huru, huyu mnayemwekea pesa ni mpumbavu anakomaa kukusanya ushahidi dhidi yetu na kimeshawalamba, mlifikiria anaweza ishi vipi kama sio kuuza siri zenu na maujinga mnafanya kimataifa? mabiashara yenu, wenyewe mlimkaribisha ndani sasa anaongea na kila mtu aliyekwenye ofisi zenu, tena wewe Mafwele, George na Mahita nyie ni wafungwa watarajiwa, mmejishajichanganya, labda mpande ndege kwenda UK , mtaweza?
Hizi team zenu za propaganda ndio raha yenyewe sasa, mtu kama Zack anatoa matako atashindwa toa siri zenu?
Nkole Rooney retweeted
Sweden's worst foreign minister ever exploring new avenues with representative of a government that has stolen a 97% election win, killed thousands of Tanzanians, abducted, tortured, raped, violently stolen Maasai land etc, etc. Shame, shame, shame!
🇸🇪🇹🇿 Sweden and Tanzania are strengthening economic ties!
Foreign Ministers Maria Malmer Stenergard & Mahmoud Thabit Kombo met to explore new avenues for trade and investment, from driving the green and digital transition to advancing sustainable transport.
#MadeWithSwedenInTZ
Nkole Rooney retweeted
Unafundishwa kilimo cha ngano Burma na Canada wakati hujui chochote kuhusu kilimo cha ngano Basutu na West Kilimanjaro.
Unafundishwa kilimo cha matunda Italia wakati hujui chochote kuhusu machenza kule Tanga au mananasi kule Pwani.
Unakaririshwa kilimo cha mbao Canada wakati hujui chochote kuhusu mbao pale Iringa.
Mwepesi kujibu maswali ya samaki wa Norway halafu hujui chochote kuhusu dagaa wetu kule Kigoma pamoja au sato na sangara kule Mwanza.
Upo busy na miwa ya Cuba wakati hujui chochote kuhusu miwa yetu kule Turiani na Kilombero.
Cha ajabu ni kwamba unaishi kwenye hayo mazingira usiyoyajua na pengine hutokaa ukanyage huko unakokujua.
Unajiuliza, elimu ya aina hii ina tofauti gani na ile ya mkoloni tunayoilaumu kila uchwao?
Au ndio taarifa for taarifa’s sake?
Wakufunzi Mamboleo @EduTalkTz @bwaya, naona mada yenu pendwa imegusiwa hapo.
Enhe, dunia kubwa ndiyo ipi hiyo — ya kujua kilimo cha “Buni-Brazil” na “Mpira-Malaya”?
Enzi zile ambazo hatukuwa na mtandao, hili somo lilitusafirisha wengi dunia nzima aisee!
Nkole Rooney retweeted
CHAMA kimetangaza LISSU awe huru ili aongoze hayo wanayoita "MARIDHIANO".
Kuna kundi la watu wanaojiita VIONGOZI wa CDM wanataka CHAMA kiende kwenye MARIDHIANO bila LISSU.
Hii inamaanisha kuna viongozi wa CDM wanafaidika na LISSU kuwa ndani. Hasa hawa wanaotaka MARIDHIANO bila LISSU kuwa nje.
Nkole Rooney retweeted
Njoo tushindane kwa hoja mtaa wananchi waamue nani anawasemea haya masuala ya kutumia pesa za serekali kununua watu au kuwatuma police hakuwajengi kunawabomoa mtakuja jikuta peke yenu, hii ni people power #katibampya
#noreformnoelection
#freeLisuu
Nkole Rooney retweeted
Aisee tena mtu kagongewa akiwa kwenye zebra mwenyewe alihisi ndio sehemu salama ya yeye kuweza kuvuka.💔
Ni huzuni kwakweli. Rip😭🕊️
Nkole Rooney retweeted
"Humphrey, where are you? Where are you?"
These are the words of Humphrey's 76-year-old mother, who has been waiting for answers since her son was forcibly disappeared on 6 October 2025.
On his birthday, 25 November, these words carry even greater weight.
Nkole Rooney retweeted
SHANGWE YOU ARE A BIG LIER. THOSE VIDEOS WERE NOT AI. UNTIL YOU WILL BE KILLED LIKE OTHERS THEN YOU WILL UNDERSTAND THAT THAT ILLEGITIMATE GVT KILLED OUR TANGANYIKAN PEOPLE AND IT IS STILL ABDUCTING AND KILLING TANGANYIKAN TILL NOW
Nkole Rooney retweeted
Same money we will be used to kill Tanzanians
You are funding terror Government, you know how to betray they people of Africa for our resources
By fund illegitimate Governments
Later you will pretend to be civilized , you are funding killers
🇸🇪🇹🇿 Sweden and Tanzania are strengthening economic ties!
Foreign Ministers Maria Malmer Stenergard & Mahmoud Thabit Kombo met to explore new avenues for trade and investment, from driving the green and digital transition to advancing sustainable transport.
#MadeWithSwedenInTZ
Nkole Rooney retweeted
#HABARI Mahakama Kuu nchini Kenya imemwita Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Mohamed Amin, kufika mahakamani Desemba 1, 2026, kutoa taarifa mpya kuhusu uchunguzi wa kupotea kwa mwanaharakati wa Tanzania, Twaha Mwaipaya.
Mwaipaya, ambaye ni mwanaharakati na mratibu wa vijana wa CHADEMA, anadaiwa kutekwa eneo la Ruai, Nairobi, Kenya, Oktoba 25, 2026, na hadi sasa hajulikani alipo, hali inayokaribia kutimiza mwezi mmoja.
Katika uamuzi wa Novemba 23, Jaji Alexander Muteti amesema DCI Amin ni shahidi mwenye uwezo wa kutoa maelezo kuhusu uchunguzi unaoendelea, baada ya Inspekta Jenerali wa Polisi, Douglas Kanja, kueleza kuwa afisa wa upelelezi wa Ruai ndiye anayefanya uchunguzi wa tukio hilo.
Jaji Muteti amesisitiza kuwa suala hilo linahusu uhuru wa Mwaipaya, haki ya kuishi kwa mujibu wa Ibara ya 26 ya Katiba na haki ya usalama chini ya Ibara ya 29, akieleza kuwa serikali ina wajibu wa kuchunguza madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu kwa haraka na kwa umakini.
Hii ni baada ya awali mahakama kuagiza Mwaipaya aletwe akiwa hai au amefariki, huku Mkuu wa Polisi Douglas Kanja akikanusha polisi kumteka au kumshikilia, lakini akithibitisha kuwa timu maalum ya DCI inachunguza taarifa hiyo.
#EastAfricaRadio #TogetherTunawakilisha
Nkole Rooney retweeted
The corruption criminal machine the CCM has NO clue to usher in private sector reforms for that starts with reforming the corrupt judiciary and the CCM adhering to the rule of law!
As it stands, when the CCM/Samia stole the election, the (whatever) constitution was left, it was suspended.
The URTZ Constitution has been suspended since decades when the TZ AG Chambers under Chenge subverted it and chose law fare, weaponization!
Rule of Law is non existent in Tanzania.
TZ judiciary collapsed decades ago!
ALL CCM does is engage in fraudulent activities in the courts under their corrupt judges, and injustice is their cash cow!
Tanzania needs to accelerate private sector reforms, increase investment in education and improve revenue mobilisation to sustain economic growth & ensure that its benefits translate into better-paying jobs and improved living standards, the IMF has said. thecitizen.co.tz/tanzania/bu…
Kuna bar moja inagonga ngoma za @Roma_Mkatoliki tu hapa DJ amefika kwenye afande teremsha bunduki wakuda wakamfuata.
Nkole Rooney retweeted
#BREAKING: WASIWASI WAIBUKA KENYA KUHUSU KUDIDIMIA KWA DEMOKRASIA
Utafiti mpya wa Afrobarometer umeibua wasiwasi kuhusu kudidimia kwa nafasi ya kidemokrasia nchini Kenya, huku asilimia 63 ya wakenya wakisema serikali haisikilizi kabisa au husikiliza kwa kiwango kidogo tu masuala yanayoibuliwa kupitia maandamano ya umma.
ZAIDI: youtu.be/7SfKsv1EUk8
Nkole Rooney retweeted
Can the immigration officers, Atwine and Lydia Ochung, that intercepted @AloikinOpoloje at the airport more than 12 hours ago tell us what crime she committed and where she is being held?? Why do we have to deal with this impunity on a daily basis??! #FreePraiseAloikin


































