Small Business Elevator (@SB_Ladder) header
Small Business Elevator (@SB_Ladder) profile picture

Supporting small businesses with expert insights, practical resources, and growth strategies. Your partner in entrepreneurial success. #SmallBusinessMatters

Joined November 2024
Photo by Small Business Elevator (@SB_Ladder)Photo by Small Business Elevator (@SB_Ladder)Photo by Small Business Elevator (@SB_Ladder)Photo by Small Business Elevator (@SB_Ladder)Photo by Small Business Elevator (@SB_Ladder)Photo by Small Business Elevator (@SB_Ladder)Photo by Small Business Elevator (@SB_Ladder)Photo by Small Business Elevator (@SB_Ladder)Photo by Small Business Elevator (@SB_Ladder)Photo by Small Business Elevator (@SB_Ladder)
Kama wewe ni mtu unayependa haya mambo hapa πŸ‘‡ umefika nyumbani! - Business - Marketing - Branding - Sales - Growth Mindset - Personal Development Follow account yetu sasa hivi, maana hii ndiyo community yako sahihi! Ukiiona tweet hii, retweet kisha tufollow β€” tusonge pamoja!
7
43
1
162
12,211
Sio kwa ubaya, lakini nenda ukajifunze kwa nini baadhi ya watu waliofanikiwa huweka mipaka na hata kujitenga na wanafamilia zao. Na hata wanapowapa nafasi, si lazima wawaruhusu kuhusika kwa asilimia 100 kwenye biashara zao. Kuna sababu za msingi zinazowafanya wafanye hivyo.
5
404
Moja ya tabia nzuri zaidi unazopaswa kujifunza ni kujizoeza kutokuzungumza sana. Matatizo mengi na makosa mengi tunayofanya huanzia kwenye maneno yetu. Jifunze kunyamaza pale ambapo si lazima kuzungumza, maana si kila jambo linahitaji maoni yako.
1
3
14
510
Umeshawahi kujiuliza kwa nini benki nyingi zinapenda kusubcontract huduma badala ya kujenga internal capacity? Kwa mfano, badala ya kuajiri wafanyakazi wao wa usafi, zinahire kampuni maalumu kwa ajili ya cleaning services. More: πŸ‘‡
1
6
794
Kwa mtazamo wa haraka, unaweza kusema kuajiri mfanyakazi moja kwa moja ni cheaper kuliko kulipa kampuni. Lakini ukiangalia gharama za mishahara, mafao, vifaa, usimamizi na majukumu ya mwajiri, unaweza kugundua kuna hesabu nyingine nyuma ya uamuzi huo. 🫰
1
164
Njia rahisi na ya haraka kwa mwanaume kuharibu maisha yake ni kumtegemea mwanamke. Never put your trust in a woman, sio kwa sababu wanawake ni watu wabaya, ila mood swings zao zinaweza kukushangaza siku moja na kukuacha kwenye hali ambayo hukuitarajia.
1
7
519
Lengo la maisha sio kufurahia tu, bali kupitia changamoto pia, kwa sababu vyote viwili ndivyo vinavyofanya maisha yawe na ukamilifu. Haijalishi upo kwenye phase gani ya maisha kwa sasa, just win or lose with grace and dignity.
1
7
463
Kuna mtu aliniambia, β€œIli kutoka kwenye umaskini, lazima ukosane na mmoja kati ya hawa watatu, Mungu, serikali au wazazi.” How truthful is this?
2
9
657
Unamwambia mtu kazi yako anakujibu ''ila ni angalau kuliko kukaa nyumbani'' πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
8
882
Kilimo kinaweza kukuhumble mapaka utake kujimaliza.
2
4
42
4,569
Kama fundi, epuka mambo haya: - Kupenda lift kutoka kwa mteja hata kama mnaelekea njia moja. - Kula chakula au kupokea zawadi yoyote kutoka kwa mteja. - Kuzungumze masuala yako binafsi na mteja. Husiano wako na mteja ubaki purely professional, hakuna zaidi, hakuna pungufu.
3
3
1
13
1,689
Kwa nini Wakenya wanatumia conduit pipes nyeusi badala ya nyeupe au kuna technical requirements?
8
3
1
50
7,411
πŸ’ͺπŸ’ͺβš‘πŸ™
Watu wengi mnaonekana kuwa watulivu kwa nje. Lakini ndani yenu mna mizigo ya familia, bili ambazo hazijalipwa, na ndoto ambazo bado hazijakamilika. Nawaombea wiki hii na mwezi huu uwalete matokeo ya jasho lenu.
8
460
Small Business Elevator retweeted
Watu wengi mnaonekana kuwa watulivu kwa nje. Lakini ndani yenu mna mizigo ya familia, bili ambazo hazijalipwa, na ndoto ambazo bado hazijakamilika. Nawaombea wiki hii na mwezi huu uwalete matokeo ya jasho lenu.
1
6
2
45
1,690
Small Business Elevator retweeted
Maisha hubadilika. Unapoteza upendo. Unapoteza marafiki. Unapoteza sehemu ya nafsi yako ambavyo hukuwahi kudhani vitatoweka. Halafu, bila hata kutambua, vipande hivyo hurudi. Upendo mpya huingia. Marafiki bora huja. Na toleo lako lililo imara na lenye hekima zaidi huja.
1
6
28
930
Ukijifunza zaidi, unakua zaidi. Ukikua zaidi, unakuwa bora zaidi. Ukikuwa bora zaidi, unapata kipato zaidi.
2
8
1
55
1,329
Kwa nini baadhi ya watu wana maisha rahisi hata kama hawaombi sana au hawaendi kanisani, wakati wengine wanaomba kila siku lakini hawaoni matokeo?
36
10
2
161
11,143
Ilinichukua muda kuelewa kuwa siwezi kusaidia familia yangu kabla sijajiinua mwenyewe. Nikijaribu kuwavuta bila kusimama imara, nitabaki palepale kwa muda mrefu zaidi.
1
9
2
63
1,891
Hakuna mtu aliyekua na ndoto ya kukua awe mfagiaji, keshia, mlinzi, dereva wa teksi, msafisha magari, mhudumu wa baa au mfanyakazi wa kawaida dukani. Sote tulikuwa na ndoto kubwa. Lakini maisha yakabadilika. Heshimu kazi ya mtu.
1
15
87
2,123
Huyu fundi alitaka kumlipua mteja na familia yake nzima. Hii bwana it goes beyond kutokujua!
9
5
2
44
8,281