Saa 24 (@Saa24_digital) header
Saa 24 (@Saa24_digital) profile picture

Habari | Taarifa | Nukuu | Matukio | Trends | Dunia Kutoka Jicho la ki-Tanzania 馃嚬馃嚳

Tanzania
Joined August 2024
Photo by Saa 24 (@Saa24_digital)Photo by Saa 24 (@Saa24_digital)Photo by Saa 24 (@Saa24_digital)Photo by Saa 24 (@Saa24_digital)Photo by Saa 24 (@Saa24_digital)Photo by Saa 24 (@Saa24_digital)Photo by Saa 24 (@Saa24_digital)Photo by Saa 24 (@Saa24_digital)Photo by Saa 24 (@Saa24_digital)Photo by Saa 24 (@Saa24_digital)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akitangaza taarifa ya kifo cha Mhe. Hafidh Ameir Hassan ambaye ni mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan #Saa24
32
Msanii wa muziki Feko Amadan A.K.A London Boy anaelezea jinsi Nyarugusu town ilivyojengeka. #saa24
1
6
Tunakumbushwa kuwa na kiasi, hasa katika unywaji maji kwani maji yanaweza kuwa sumu. Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani kanda ya Afrika, Prof. Mohamed Janabi alizungumza haya Machi 2, 2026 katika Msikiti wa Mtoro, katika Mazungumzo ya Busati la Mtoro Video: Dua TV #saa24
13
Sauti hii umeisikia wapi? Huyu ni dada Mary Chizi mwenye sauti maarufu zaidi katika ulimwengu wa watumia simu za mkononi. #saa24
8
Mafuriko makubwa yameharibu mali na miundombinu mbalimbali katika jiji la Nairobi kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha tangia mapema hapo jana. Serikali ya Kenya imeagiza jeshi la Ulinzi (KDF) kusaidia na shughuli za uokoaji katika kipindi hiki cha dharura. #saa24
66
Mwanamke mmoja atuhumiwa kumuuzia mzazi dawa ya ngozi badala ya dawa ya macho, ili akampake mtoto wa mzazi huyo kwenye macho mara tano kwa siku, kitendo ambacho kimwpelekea upofu kwa mtoto huyo. #saa24
1
7
Katika tamko lililotolewa na Chama cha Wafamasia nchini Kenya, Rais wa Chama hicho Wairimu Njuki amesema mtuhumiwa huyo ambaye video yake imesambaa mtandaoni, siyo mwanachama wao, na amewaasa waKenya kuwa makini na watumishi wanaojitambulisha kuwa wafamasia.
5
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Robert Chalamila akizungumzia tatizo la foleni mkoani humo. #saa24
1
42
Mwanamke mmoja wa ki Israel aliyejulikana kwa jina la mtandaoni Noya Zion amelazimika kutoa tamko baada ya kuona picha yake katika kituo kimoja cha habari nchini Izraeli kama mmoja kati ya waliofariki duni katika maandamano yanayoendelea nchini Iran. #saa24
1
29
Bao la Simba Sports Club lililokataliwa na mwamuzi Nassoro Mwinychui kutoka Tanga baada ya kibendera kilichoashiri Off-side kupandishwa hewani. Video: Azam Tv #saa24
14
Kutana na jeshi mahiri linaloulinda msikiti ntakatifu wa Makkah na mahujaji wanaozuru kuhiji katika msikiti huo. Jeshi hili la ki Saudi linatumia vifaa vya hali ya juu ikiwemo kamera zenye uwezo wa kutambua matukio mbalimbali kutokea angani. #Saa24
15
Kundi kubwa la nzige limeonekana maeneo ya kati ya Mauritania na Morocco likiharibu mazao na kuzua taharuki miongoni mwa watu. Kwa mujibu wa Shirika la FAO, nzige hao wanasemekana kusababishwa na joto kali lililosababisha uwepo wa masalia ya nzige hao. Video: Accuweather #saa24
11
Rais Salva Kiir Mayardit mwenye Makamu wa Rais watano. Je wajua ni kwa nini? Katika South Sudan, tangu Februari 2020, nchi imekuwa na makamu watano wa rais kufuatia mkataba wa amani wa mwaka 2018 uliolenga kumaliza vita na kuleta muundo wa ushirikiano. Je ulijua hili? #saa24
12
Shabiki wa Yanga @YoungAfricansSC bwana Jimmy Mafufu ameahidi kutoa Milioni 10 endapo timu ya @SimbaSCTanzania itatoka sare na Yanga, na pia atatoa Milioni 20 endapo Simba itaifunga Yanga katika mechi yao ya derby inayotegemewa kufanyika Zanzibar tarehe 1 March 2026. #saa24
12
Video ya mwananchi ambaye nyumba yake iliingiliwa na mafuriko hapo jana ime trend ikimuonesha mtu huyo akijaribu kutoa maji hayo kwa kutoboa matundu katika ukuta wake. Video: Weblog.rw #saa24
9
Mtanzania 馃嚬馃嚳 Gerald Geay ameibuka mshindi wa kwanza, kwa mara ya pili mfululizo; wakati Mtanzania mwingine Emmanuel Dinday amekuwa mshindi wa tatu katika Mbio Ndefu za Daegu (Daegu Marathon) 2026 zilizofanyika nchini Korea Kusini. #DaeguMarathon2026 #saa24
11
Katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhan, watoto waishio katika vijiji mbalimbali nchini Kosovo wamekuwa na utamaduni maarufu wa kushangilia pindi waonapo taa ya msikiti wa kijiji ikiwashwa; tukio hilo huwa na maana ya kuanza kwa Sala ya Magharibi inayoashiria kukamilika kwa mfungo wa siku. #saa24
5
Director maarufu wa video za muziki Hanscana ameonesha mfano wa kuigwa baada ya kuanzisha challenge ya Kujenga Nyumba isiyozidi kiasi cha Shilingi Milioni 15. Kwa mujibu wa Director Hanscana, nyumba ya kwanza ni sehemu muhimu sana ya maisha ya kijana ingawa sio lazima iwe na kila kitu kilicjo katika nyumba ya ndoto ya kijana. Hanscana ametoa maelezo yote jinsi alivyopata vifaa na ufundi wa nyumba yake, na kutangaza challenge kwa vijana wengine wa Ki Tanzania kujaribu challenge hiyo kama wataiweza. Unaionaje hii? #saa24
1
11
Shabiki maarufu wa timu ya Yanga, Mzee wa Utopolo amewaasa Simba Sports Club kutokimbia mechi ya derby itakayofanyika tarehe 1 Machi katika kiwanja cha Amani Complex Zanzibar #saa24
23
Miaka ya hivi karibuni, jiji la Mbeya limepata mabadiliko makubwa ya kiuchumi kutokana na mazingira rafiki ya uwekezaji na uboreshwaji wa miundombinu unaoendelea. Miongoni mwa mabadiliko hayo ni uwepo wa jengo jipya la kisasa la AH City Mall lenye ngazi za umeme, ambalo limekuwa kivutio kikubwa kwa wakazi wa jiji hilo na viunga vyake wakienda kutalii na kupiga picha mahali hapo. Video: @azamtvtz #saa24
17