
⚽ SPORTS ANALYST | 🎙️ CONTENT CREATOR 📊 Sports Analysis | 🎮Gamer 🏆 Forbes-Recognized | 👑 Founder @SamalenTV | @SamalenTips 🤝 Philanthropist
SAMALEN TV
Joined February 2023
- Tweets36.1K
- Following93
- Followers18.7K
- Likes70.4K
Pinned Tweet
Anko wangu alinitembelea kidogo tukazungumza mambo mengi sana , Sijutii kuwa na anko kama yeye ✌️🙌
App imerudi hewani tunaendelea tulipoishia
MKEKA WA LEO NI FREE KWA WOTE UTAKUWA HAPA KWENYE APP
Android users: bit.ly/SAMALENTIPS2026
Iphone users nicheki dm nikupe link
1
585
Ile option ya droo dakika 5 za kwanza au chini ya goli 1 mbona siioni?? Kuna kitu nilikuwa nataka niandae hapa imeshaondolewa nini??
1
3
1,022
Samalen Tips🤴 retweeted
Ila wewe mpotoshaji.
Sasa caretaker si ndo mda wake umeisha?
Huyo mpinzani wake akiunda serikali nani atakuwa PM?
Replying to @Samalentips @bajabiri
Si kweli kabisa. Rais Isaac Herzog amempa Gadi Eisenkot (mshindani wa Netanyahu) jukumu la kuunda serikali mpya baada ya uchaguzi. Netanyahu bado ni Waziri Mkuu wa muda (caretaker) na hajastaafu. Eisenkot ana siku 28 (au zaidi) kujaribu kuunda serikali.
Odds 600+ aisee hongereni sana mlioshinda , hii imenipa moyo sana kuwa na mimi ipo siku huenda nikashinda hivyo 👊
12
1,222
Kuna mashg humu, Mwanaume huwezi ku screenrecord mwanaume mwenzako alaf unamsave kwenye simu yako ili baadae uje u post , time will tell nilisema hata kama itachukua miaka 10 lakini kuna watu humu lazima mtabebwa tu 📌 kama ni mkwara tutajua 🤝
1
713
Kuna siku nimesema makampuni mengi yananitafuta nifanye affiliate huyu niliyem quote hapa akawa anasema uongo, kuna muda watu wengine unawaacha tu hauwajibu maana ukiwajibu wanasema una dharau madogo acheni ujuaji 🤫
1
591
Mamlaka zinazohusika na usafiri wa Anga Tanzania zinatakiwa kuwa makini there is something bad i see kwenye ndoto 😭😭😭😭😭
1
4
724
Je nathan kimaro ni nani?? Je amewezaje kuyafanya yote hayo?? TUTAFAKARI na usondoke bila kuifollow @Samalentips kama kuna taarifa unatamani tuifatilie unaweza kutuambia tukajiuliza kwa pamoja 🤝
1
22















