Tanzia
Yusuph Gesase
Asante kwa maisha yake ya kuongeza uelewa kuhusu ugonjwa wa sikoseli
Tunaomba Mungu ampumzishe kwa amani
Tuombeane, Tupendane
@yusuphgesase
@scyfoundation
@muhimbiliuniver
1
106
Sickle Cell Programme, MUHAS retweeted
Brazil is proud to support Tanzania in its efforts to fight sickle cell disease. This week, Brazil and Tanzania signed a bilateral project to strengthen public policies aimed at caring for people with sickle cell disease in Tanzania. @ABCgovBr @minsaudeTanzania @sicklecellmuhas
Sickle Cell Programme, MUHAS retweeted
Kesho tarehe 12 Agosti 2024 (jumapili) kuanzia saa 10 jioni kwa saa za Tanzania Ubalozi umeandaa kipindi ambacho kitatoa fursa kwa wenye nia ya kuomba Scholarship ya Equity & Merit inayotolewa na Chuo Kikuu cha Manchester kupewa mbinu za kujiandaa ku apply fursa hiyo. Ili kushiriki katika kipindi hicho inatakiwa kujiandikisha kwenye anauni hapo chini. Aidha kipindi hicho kitarushwa mubashara katika youtube channel ya Ubalozi London.
docs.google.com/forms/d/e/1F…
Sickle Cell Programme, MUHAS retweeted
MUHAS @muhimbiliuniver brings to you study in USA information session.
Facilitated by representative from @usembassytz
And Dr Frank Minja @frankminja
⏱️12.30 PM
📍24 hours library, MUHAS
For those interested USMLEs youtube.com/watch?v=iTeCVB…
Register docs.google.com/forms/d/e/1F……
Sickle Cell Programme, MUHAS retweeted
Information session on how to apply for Manchester University Scholarship
Thank you @MbelwaK
Apply here :manchester.ac.uk/study/maste…
Register here :
docs.google.com/forms/d/e/1F…
Sickle Cell Programme, MUHAS retweeted
Waziri wa Afya Mhe. @ummymwalimu leo anatarajiwa kufungua na kuhutubia katika Mkutano wa Kimataifa wa Kujadili namna ya kukabiliana na Magonjwa Yasiyoambukiza Barani Afrika.
Mkutano huo umezikutanisha kwa pamoja nchi wanachama wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa Ukanda wa Bara la Afrika pamoja na Wadau a Sekta ya Afya kote ulimwenguni.
Mkutano huo wa siku tatu unafanyika JijiniDar Es Salaam katika ukumbi ya Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere
Sickle Cell Programme, MUHAS retweeted
Waziri wa Afya Mhe. @ummymwalimu leo anatarajiwa kufungua na kuhutubia katika Mkutano wa Kimataifa wa Kujadili namna ya kukabiliana na Magonjwa Yasiyoambukiza Barani Afrika.
Mkutano huo umezikutanisha kwa pamoja nchi wanachama wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa Ukanda wa Bara la Afrika pamoja na Wadau a Sekta ya Afya kote ulimwenguni.
Mkutano huo wa siku tatu unafanyika JijiniDar Es Salaam katika ukumbi ya Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere
Sickle Cell Programme, MUHAS retweeted
Replying to @roman_shao @XChilemba
Ukipata nafasi ya kurudi nyumbani, rudi
Quality of life is better 🙏🏿
Sickle Cell Programme, MUHAS retweeted
While I can’t be at #ASH23 this year, I am so, so proud of our incredible hematology fellow, @miriamAoseiMD for sharing the incredible work she has been doing and giving the world a preview of the amazing things she is going to continue to do in #HealthEquity and #SickleCell
Sickle Cell Programme, MUHAS retweeted
Tiba ya Vinasaba ya Ugonjwa wa Siko Seli
Hatua kubwa kwenye Historia ya kupata tiba.
Hatua hii imewezeshwa na tafiti.
Tanzania tunafurahia hatua hii.
@muhimbiliuniver
@sicklecellmuhas
TIBA MPYA YA UGONJWA WA SIKO SELI (SELI MUNDU)
Ugonjwa wa seli mundu ni ugonjwa wa kurithi wa damu unaohusisha umbo la seli nyekundu za damu, ambao unaweza kusababisha maumivu, uvimbe, maambukizi, na matatizo mengine.
Inasababishwa na mabadiliko katika vinasaba katika hemoglobini ya seli nyekundu za damu, ambayo hutoa maelekezo ya kutengeneza beta-globin, sehemu ya hemoglobin . Hemoglobin ni protini katika seli nyekundu za damu ambayo hubeba oksijeni mwilini .
TIBA MPYA ZA SELI MUNDU
Zynteglo na Lyfgenia ni tiba mbili za vinasaba (gene therapy) zilizoidhinishwa na Shirika la Chakula na Dawa la Marekani (FDA) kwa ugonjwa wa seli mundu.
Zynteglo ni tiba ya vinasaba inayotumia seli zenyewe za shina za mgonjwa kuzalisha seli nyekundu za damu zenye afya.
➡️Inatolewa kupitia kuingiza mara moja na inatarajiwa kugharimu karibu dola milioni 1.8 kwa mgonjwa.
Lyfgenia, kwa upande mwingine, ni tiba ya kuhariri vinasaba inayotumia teknolojia ya CRISPR kusahihisha mabadiliko katika kinasaba cha beta-globin inayohusika na ugonjwa wa seli mundu .
➡️Inatarajiwa kugharimu karibu dola milioni 2.2 kwa mgonjwa .
Tiba hizi zinafikiriwa kuwa “tiba kamili” kwa wagonjwa wa seli mundu.
➡️ Zina uwezo wa kupunguza mara kwa mara maumivu, kupunguza mahitaji ya kuongezewa damu, na kuboresha ubora wa maisha.
Hata hivyo, ni muhimu kuzingatia kuwa tiba hizi bado ni mpya na athari zao za muda mrefu hazijaeleweka vizuri Pia ni muhimu kutambua kuwa tiba hizi ni ghali sana na wagonjwa wetu hawawezi kumudu.
Tiba ya Vinasaba ya Siko Seli
#Tanzania inasherehekea hatua hii
Tiba ya Vinasaba ya Ugonjwa wa Siko Seli
Hatua kubwa kwenye Historia ya kupata tiba.
Hatua hii imewezeshwa na tafiti.
Tanzania tunafurahia hatua hii.
@muhimbiliuniver
@sicklecellmuhas
150
Gene Therapy for SickleCell approved in USA and UK
#Tanzania celebrates this historic step in the treatment of Sickle Cell Disease.
The approval of Gene Therapy for #SickleCell in 2023 (USA - Dec. UK - Nov).
#Science brings hope to many.
Asante, Shani, for sharing your story.
@muhimbiliuniver
@sicklecellmuhas
@bmhdodoma
1
105
#GeneTherapy for #SickleCell
"I received the new gene-editing drug for sickle cell disease. It changed my life." technologyreview.com/2023/12…
Science in Tanzania
Biotechnology Society of Tanzania
Meeting on Thu, 7 Dec 2023.
@BiotechnologyTZ
#Tanzania
Stakeholders Engagement Meeting and Annual General Meeting: Strategizing the future of #biotechnology in #Tanzania
Theme: "Biotechnology innovation and solutions for building better tomorrow"
📆 7 Dec. 2023 at COSTECH DSM.
🖇 bst.or.tz/
#BiotechnologyTanzania
Sickle Cell Programme, MUHAS retweeted
Watanzania waishio nchini Uingereza wahamasishwa kutumia fursa za uwekezaji zilizopo nchini Tanzania. Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji @InvestTanzania Ndugu @GileadTeri na Mkurugenzi wa ZIPA @ZanzibarInvest Ndugu Mashamba wakati wa mkutano na Wanadiaspora uliofanyika katika Ubalozi wa Tanzania London.
Katika mkutano huo Ndugu Teri aliwafahamisha wanadiaspora kwamba wanayo pia fursa ya kujisajili katika Kituo cha Uwekezaji kama mawakala wa uwekezaji ili waweze kutambulika rasmi na kupewa msaada wa kituo hicho katika harakati zao za kuvutia wawekezaji kutoka nje.
Aidha, wanadiaspora hao walijulishwa mabadiliko ya sheria ya uwekezaji ambayo yamewarahisishia watanzania kusajili miradi yao ya uwekezaji kutokana na kupunguzwa kiwango cha mtaji unaotakiwa kusajili mradi.
Sickle Cell Programme, MUHAS retweeted
The Royal Society intends to deliver a new mid-career Fellowship, funded by a £250 million Government endowment. The Faraday Discovery Fellowships, launching in 2024 will support scientists to pursue discovery-led ground-breaking #STEM research: #RSGrants royalsociety.org/news/2023/1…
Sickle Cell in #Tanzania
Congratulations Dr Stella Malangahe
#Haematology and Blood #Transfusion
Bone Marrow #Transplant
#SickleCell in #Tanzania #Africa
#BenjaminMkapaHospitalDodoma
@bmhdodoma
@muhimbiliuniver
#MeetTheWinners
Dr. Stella Malangahe was awarded the "Doctor of The Year Award" at the 10th Anniversary of Tanzania Health Summit on 4th October 2023.
Dr. Malangahe is an Assistant Director in the Department of Haematology and Oncology at Benjamin Mkapa Hospital (BMH). She holds a Degree of Medicine (2011) from the Catholic University of Healthy and Allied Sciences, formerly known as Weill BUCHS, and a Master of Medicine in Haematology and Blood Transfusion (2017) from the Muhimbili University of Health and Allied Sciences in Tanzania.
Soon after joining BMH in 2018, Dr. Malangahe managed to start the Hematology department which offers a range of specialised haematological services to almost 5 regions (Dodoma, Singida, Iringa, Manyara and Tabora) through provision of specialised care; both outpatient and inpatient services.
Dr. Malangahe also led a team that performed the 1st(Allogeneic) Bone Marrow Transplant in 3 patients with Sickle cell disease in Tanzania. This makes Tanzania the 1st country in East and Central Africa and the 6th in Africa to excel in such a rare and needy curative type of medical intervention worldwide. All transplanted patients are no longer sickle cell disease patients ( they are sickle cell disease - free).
Dr. Malangahe hopes to continue bringing an endless smile to her patients by expanding this curative services to first, other haematological diseases such as Aplastic anemia and acute leukemia and later to other non-haematological disorders that require Bone marrow transplant treatment.
The winner of this award gets:
1️⃣Recognition on all THS platforms
2️⃣Trophy & cash prize of $500
3️⃣Travel & accommodation( if resides outside Dar)
4️⃣Complimentary early conference registration
Congratulations to Dr. Malangahe on this well-deserved award! #MeetTheWinners #THS2023 #THSHealthAwards
Siko Seli kwenye Hospitali za Halmashauri
Asante sana @wizara_afyatz
Hatua kubwa #Tanzania
Hatua kubwa #Afrika
NDANI YA MIEZI SITA HOSPITALI ZOTE ZA HALMASHAURI ZIWE ZINAPIMA UGONJWA WA SIKOSELI KWA WATOTO WANAOZALIWA - WAZIRI UMMY
Na. WAF - Dar es Salaam
Waziri wa Afya Mhe. @ummymwalimu amezitaka Hospitali zote za Halmashauri nchini kuwapima ugonjwa wa Sikoseli watoto wote wanaozaliwa katika Hospitali hizo ili kujua Hali zao mapema na kuanza matibabu.
Waziri Ummy ameyasema hayo leo Octoba 2,2023 wakati akizindua kampeni ya kuelimisha jamii juu ya Magonjwa Yasiyoambukiza yaliyofanyika katika Hospitali ya Sinza - Palestina Jijini Dar es Salaam.
“Waganga Wakuu wa Mikoa mkalisimamie hili nataka Hospitali zote za Halmashauri nchini ndani ya Miezi Sita zipime ugonjwa wa Sikoseli kwa watoto wanaozaliwa katika Hospitali hizo kabla sijashuka vituo vya Afya”. Amesema Waziri Ummy
Waziri Ummy amebainisha kuwa zaidi ya asilimia 70 hadi 90 ya watoto wanaozaliwa na Sikoseli hupoteza maisha ndani ya kipindi cha Miaka Mitano ya mwanzo wa maisha yao kutokana na kutotambulika au kwa sababu ya unyanyapaa na kukosa elimu.
“Hali hii haikubaliki ni lazima tuchukue hatua za haraka ili kuokoa maisha ya watoto wachanga wenye ugonjwa wa Sikoseli kwa kuwatambua mapema ili kuhakikisha wanapata matibabu kwa wakati.
Waziri Ummy amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan anatoa fedha za dawa kwa asilimia 100 kila mwezi, fedha hizo wanaruhusiwa kuzitumia kwa ajili ya kununua mashine za kupima ugonjwa wa Sikoseli.
Katika hatua nyingine Waziri Ummy amesema ugonjwa wa Saratani umeongezeka kwa kasi Mwaka 2020 ambapo umeonesha vifo vipya zaidi ya Elfu 40 na vifo Elfu 26,945 ikiongozwa na Saratani ya Mlango wa Kizazi, tusipochukua tahadhari ugonjwa wa Saratani unaweza kufikia vifo Mil. Moja ifikapo Mwaka 2050
Akiendelea kufaganua kuhusiana na magonjwa Yasiyoambukiza, amesema magonjwa hayo ikiwemo Saratani yanachangia kwa asilimia 33 ya vifo vyote nchini Tanzania.
“Kwa upande wa nchi yetu takwimu zinaonesha magonjwa hayo yameongezeka kwa mara Tano hadi Tisa zaidi kati ya miaka ya 80 ambapo asilimia Moja tu ya Watanzania walikua na tatizo la Kisukari na 5% walikua na tatizo la Shinikizo la juu la Damu na sasa Kisukari 9% na Shinikizo la Damu 25%”. Amesema Waziri Ummy
Ili kupunguza tatizo la magonjwa Yasiyoambukiza, Waziri Ummy amewataka Watanzania kupunguza matumizi ya pombe kwa kuwa imekuwa sababu ya kuongezeka kwa magonjwa hayo nchini.
“Takwimu za mwaka 2023 zinaonesha ongezeko la matumizi ya pombe hadi kufikia matumizi ya wastani wa lita 10.4 kwa mwaka kwa watu wote wenye umri zaidi ya miaka 15 ambapo zinaiweka Tanzania kuwa nchi ya Tatu kwa matumizi ya Pombe”. Amesema Waziri Ummy
Mwisho, Waziri Ummy amesema takwimu za Ugonjwa wa Afya ya Akili zinaonesha kuwa wastani wa mtu Mmoja kati ya watu Wanne Duniani hupata maradhi ya Afya ya Akili kwenye maisha ambayo pia huchangia 21% ya ulemavu kwa mwaka.
Sickle Cell Programme, MUHAS retweeted
BREAKING NEWS
The 2023 #NobelPrize in Physiology or Medicine has been awarded to Katalin Karikó and Drew Weissman for their discoveries concerning nucleoside base modifications that enabled the development of effective mRNA vaccines against COVID-19.


































