Sir.Ally🦅 (@StylishAMM) header
Sir.Ally🦅 (@StylishAMM) profile picture

🖤🏀🤍 Born rapper/STYLISH!#kivyetuvyetu @Oxide Record ⏺️ I love @Arsenal @simbaSCtanzania

Joined July 2021
Photo by Sir.Ally🦅 (@StylishAMM)Photo by Sir.Ally🦅 (@StylishAMM)Photo by Sir.Ally🦅 (@StylishAMM)Photo by Sir.Ally🦅 (@StylishAMM)Photo by Sir.Ally🦅 (@StylishAMM)Photo by Sir.Ally🦅 (@StylishAMM)Photo by Sir.Ally🦅 (@StylishAMM)Photo by Sir.Ally🦅 (@StylishAMM)Photo by Sir.Ally🦅 (@StylishAMM)Photo by Sir.Ally🦅 (@StylishAMM)
Sir.Ally🦅 retweeted
Kwahiyo huu ndio mwisho wetu nawaza kina Dada zangu na Kaka zangu @HildaNewton21 na @Sativa255 , Mwenyez Mungu awaweke hawa ndugu zangu na wanaharakati wote mbali, na Yale mashetani ya Samia ,popote ulipo bro Mwenyez Mungu awe nawe hii dunia zote TUNAPITA 🥺💔🙌
13
47
702
Sir.Ally🦅 retweeted
Since his abduction on 26th August 2025, @SamMugumya has today been paraded in a military court and charged with treachery. He couldn’t walk unsupported 😭😭😭😭😭😭😭 If Uganda is OUR MOTHERLAND, let it show us our father? Perhaps life could be better in our FATHERLAND #OhUganda #FreeSamMugumya
220
418
33
1,833
79,712
Kuna media yoyote au mwandishi binafsi 🇹🇿 ameuliza mamlaka na taasisi za jeshi 🇹🇿 kuhusu kutekwa kwa Twaha? Wapi alipo? na nini kinaendelea juu yake? Na wamejibuje? Au raia wa Tanzania akipata matatizo nje ya mipaka haliwi jukumu la jeshi la polisi kutaka kujua?
38
109
1
1,086
30,133
Sir.Ally🦅 retweeted
Sehemu ya alichokisema Askofu Bagonza akihojiwa na Wino Tanzania Novemba 16, 2026, kuhusu hali ya uhuru wa watu nchini akisema umefungwa, na kwamba ndio maana watu wanagombana na maoni badala ya kueleza upande wao. Fuatilia zaidi, shiriki jamii.app/BagonzaVitisho #JamiiForums #UhuruWaMaoni
2
53
185
4,289
Sir.Ally🦅 retweeted
Mimi SATIVA ikija kutokea NIMETEKWA KENYA wahusika wakuu ni JESHI LA POLISI LA TANZANIA. Hii Email nilitumiwa mwaka jana 9/11/2025 na dawati maalumu la "Doria mtandaoni" (Crime Desk). Na alietuma Email hii ni AFANDE "ASP JOHN KAAYA" alikuwa shahidi namba 4 kwenye Kesi ya UHAINI YA MH LISSU. Hii taarifa itunzwe kwa wivu mkubwa sana, najua hii nchi itakuja kukombolewa hata kama sitaona ukombozi wake ila hawa watu wanaotupoteza lazima wapate HAKI YAO. CASE CLOSSED.
48
295
9
1,444
105,042
Sir.Ally🦅 retweeted
#HABARI Wasiwasi umeongezeka katika mji mkuu wa Msumbiji, Maputo, huku idadi kubwa ya maafisa wa polisi wakitumwa mitaani kudumisha usalama, wakati kiongozi wa upinzani Venâncio Mondlane akifikishwa mahakamani, kuhusiana na maandamano yaliyosababisha vifo vya watu wengi baada ya uchaguzi wa mwaka 2024. Mondlane anakabiliwa na mashtaka kadhaa, yakiwemo kuchochea ugaidi na uasi wa kiraia, kufuatia maandamano yaliyosababisha vifo vya mamia ya watu, huku yeye akikana kuhusika na makosa hayo. Maandamano hayo yalizuka baada ya Mondlane kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais yaliyompa ushindi Daniel Chapo wa chama tawala cha Frelimo, akidai kulikuwa na udanganyifu na kuhamasisha wananchi kuandamana. Hali hiyo ilisababisha mamlaka kuimarisha ulinzi kutokana na hofu ya kuzuka kwa maandamano mapya. Kwa mujibu wa Amnesty International, ikinukuu mashirika ya kiraia nchini humo, zaidi ya watu 300 waliuawa wakati wa machafuko hayo, huku Polisi wa Msumbiji wakitaja watu 96 kufariki dunia, wakiwemo maafisa 17 wa polisi. #EastAfricaTv #TogetherTunawakilisha
22
16
6
256
16,321
Sir.Ally🦅 retweeted
shida iko hapa!
8
93
1
426
10,867
Sir.Ally🦅 retweeted
Wanaccm wote njoeni hapa mmeacha chama chenu kimetekwa na wauwaji wakiongozwa na Jezebel Samia aliyeuwa watu wengi sawasawa na Adolf Hitler bila kusahau ma @tanpol mnaotumiwa kama toilet paper SIKIENI KWA SAUTI KUBWA OLE WA WAOVU
3
86
306
4,814
Sir.Ally🦅 retweeted
UJUMBE WA MUHIMU SANA HUU KWA WANACHADEMA KIPINDI HIKI. ASANTE MAKAMU @HecheJohn REPOST 200
33
524
6
2,101
34,945
Ushetani unaopangwa na wauwaji juu ya Lissu na Chadema……
91
372
8
2,148
127,065
Sir.Ally🦅 retweeted
Askofu Bagonza wa Kanisa la KKKT, Dayosisi ya Karagwe, aliyasema hayo Novemba 16, 2026, wakati akizungumza na kituo cha Wino Tanzania kuhusu taarifa za kutishiwa kuuawa, kupotezwa baada ya kutoa maoni yake. Nini maoni yako? Fuatilia zaidi jamii.app/BagonzaVitisho #JamiiForums #Uwajibikaji #HakiZaBinadamu
15
142
3
791
26,389
Sir.Ally🦅 retweeted
Kenya’s High Court directed security officials to produce Twaha Mwaipaya. National Police Service and DCI, comply with the court’s orders and produce Twaha before the court. Diplomatic missions in Nairobi, ask the Kenyan government and authorities to immediately produce Twaha. Three weeks of enforced disappearance is not acceptable! #FreeTwahaMwaipaya #EndEnforcedDisappearances
6
111
2
192
8,648
Sir.Ally🦅 retweeted
mahakama imevunja katiba ya mchi kwa kumpa @TunduALissu kosa ambalo sio aliloshtakiwa nalo baada ya kushisha kesi yake
2
44
169
2,476
Sir.Ally🦅 retweeted
Mpaka MAWE yataongea round hii. Sikiliza nondo za MCHUNGAJI KIMONDO kutoka MBEYA. Repost 200.
17
303
5
1,343
30,954
Wauwaji wanataka kupitisha katiba iliyopendekezwa na CCM 2015 kwenye ile tume ya katiba mpya……. Samia, Kikwete, Wambura, Mombo na Haji Othman (Chief of staff jeshi la wananchi) wanataka kujimilikisha nchi for the next 15 years.
127
474
10
2,657
199,318
Sir.Ally🦅 retweeted
Madeleka anauliza swali la muhimu sana hapa. Tuiamini tume huru ya uchaguzi (wakina MWAMBEGELE) au MAHAKAMA iliyoamuru Lissu afungwe Jela?
37
194
3
1,362
53,788
All hands on deck! We need everyone today to post #FreeTwahaMwaipaya Twaha has suffered a lot under Samia Suluhu already! Let us fight for his freedom #FreeTwahaMwaipaya Now!
4
126
5
259
9,376
Tunaelekea kwenye ushindi wa haki kwenye nchi yetu. Don’t take your foot off the gas…
35
293
1
1,834
88,968
Sir.Ally🦅 retweeted
Kumekuwa na jitihada kubwa za kutaka kuniteka na kunipoteza niwaambie @tanpol na usalama Mimi ni raia huru ambaye nimetumia hak zangu kikatiba kukosoa kushauri na kutoa maoni. Hayo yote Nimefanya wazi. Najua gharama za kupigania haki. Nipo Kwa kuyakabili hayo yote. Tutashinda.
13
99
367
6,228
Watanzania, Tumlinde @HecheJohn kwa wivu mkubwa dhidi ya wasaliti na machawa. Tusikubali Heche akawa demoralized. Lissu mara kadhaa kamwambia Heche hadharani “peleka moto”. Sasa ni kazi yetu sisi Watanzania kuhakikisha Heche harudi nyuma na wala hakati tamaa. Nguvu ya umma pekee ndio itakayo wawezesha Heche na Lissu kutushindia hii vita…..
33
390
8
2,177
82,012