Una mzigo
MSAADA TUTANI
Nina account ya twitter X nataka ku-regain access. Sijaitumia toka 2013 naikumbuka password yake na username.
Ila nikitaka ku-log in baada ya kuweka password, X wanataka ni weke code ambayo wanaituma kwenye email yangu ya zamani ambayo ni rocketmail ambayo now sina access nayo.
Na rocketmail wenyewe ambao nadhani ni yahoo wamei deactivate account kwa sababu ya kutotumika muda mrefu na wamesema hawawezi ku activate kwaio option ni fungua account mpya.
Nimeingia X help center ni file report option wanazonipa haziendani na tatizo langu nika opt option ya forget password tatizo lingine wananitaka ni weke email iliyofungua account ambayo hai-exist kwa sasa ambayo ishakuwa deactivated na yahoo kitambo.
24
Bhaaaasi wamekwishaaa... Relegation confirmed
π¨ ππ₯πππππ‘π: Ivan Toney is on Manchester United's radar as a striker signing.
β @alex_crook
Mimi Sio Nyumbu ila huyu admin anakandwa na wachawi... Huu sio wakati wa kuropoka ropoka jombaaa πππ
1
47
Why Liverpool is very popular in ASIA Yaani Kwa nini sababu ni nini?
30




































