Malengo ya Yanga ni kumfunga Simba na kutetea Ubingwa wake ndio maana ana chukua mtu anaye ijua Simba lakini Simba ana malengo tofauti na Yanga
๐จRekodi zinaonesha kuwa, haijawahi tokea Kocha mkuu kutoka Simba akaenda kuifundisha Yanga, Au kocha mkuu aliyewahi ifundisha Yanga akaenda Simba.
Kwa mara ya kwanza Yanga wameandika historia hiyo ya kusajili Faldu Davis ๐ฟ๐ฆ aliyewahi kuwa kocha mkuu wa Simba.
56
Dimitr Pantev asikae mbali na simu
Karibu Young Africans SC, Fadlu Davids
The most decorated and successful football club in Tanzania๐ฐ
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
1
64
Mwanangu hakuna rafiki anaye weza kuingizwa kwenye mipango ya kukusaliti katika hali yeyote ile, ukaona rafiki yako ana shirikiana na adui kukuumiza huyo ni ADUI wako, mpunguze kwenye orodha ya marafiki zako, Waswahili husema Mwanangu heri ya pengo kuliko jino bovu mwanangu.
1
3
100
Hakuna mtu aliye mkubwa kuliko taasisi. Bosi anakupenda pale tu unapomtengenezea faida.
Siku utakayofariki dunia ukiwa unatimiza wajibu wako, ndio siku thamani yako itakapoisha kwenye taasisi. Ila familia yako ndiyo itakayokukumbuka na kuona pengo lako siku zote za maisha yao.
53











