ThePlug _ retweeted
Umekaa tu umetulia then mtu mnaonana naye uchi anakukol kuambia anakutumia 100k uende ubuy kitu hauna 😭😭😭😭😂😂
Nishai fanya kazi Kwa store ya masoda hapo Narok and life was good back then , Nilikuwa naingia kazi asubuhi hivi Kwanza before anything najipiga coke Na fanta mbili zinanipea gas,hapo najua kukula Ni Adi usiku sasa juu ulikuwa unalipwa 200 per day so hiyo ilikuwa ya nyumba Na















