M G (@ThisIsMagnetics) header
M G (@ThisIsMagnetics) profile picture

Forex Trader | Mentor 10 years trading experience |

Dar es salaam
Joined August 2021
Photo by M G (@ThisIsMagnetics)Photo by M G (@ThisIsMagnetics)Photo by M G (@ThisIsMagnetics)Photo by M G (@ThisIsMagnetics)Photo by M G (@ThisIsMagnetics)Photo by M G (@ThisIsMagnetics)Photo by M G (@ThisIsMagnetics)Photo by M G (@ThisIsMagnetics)Photo by M G (@ThisIsMagnetics)Photo by M G (@ThisIsMagnetics)
Wafanyabiashara waliobobea, NDIO wanapata faida katika biashara hii. Lakini kama kazi nyingine yoyote, mafanikio hayaiji kwa usiku mmoja. Biashara ya forex si rahisi kama ambavyo baadhi ya watu wanapenda kuaminishwa. Kama ingekuwa rahisi, kila anayefanya biashara ya forex angekuwa milionea, lakini hata wafanyabiashara waliobobea walio na uzoefu wa miaka bado hukumbana na hasara mara kwa mara. Inahitaji mazoezi mengi, uzoefu mkubwa, na nidhamu. Hakuna mbadala wa kufanya kazi kwa bidii, mazoezi ya makusudi, na kujifunza kwa dhamira ya kweli.
1
2
6
134
“The Law of Self-Education School teaches you how to survive, self- education teaches you how to win. Read, study, listen to mentors, learn skills no one taught you. Knowledge is the new currency, and the one who learns fastest earns the most.” Shule mara nyingi inakupa maarifa ya msingi ya kuishi na kufanya kazi, lakini kujielimisha mwenyewe kunakupa uwezo wa kwenda hatua ya juu zaidi. Unapojielimisha mwenyewe utasoma vitabu nje ya darasa, utajifunza skills zinazolipa mfano biashara, trading, sales, communication, AI, leadership. Utajifunza kutoka kwa mentors na uzoefu wa watu wengine, Hujiulizi “nilifundishwa nini?” Unajiuliza “nahitaji kujifunza nini?” Leo hii taarifa ni nyingi, lakini kinachotofautisha watu si upatikanaji wa taarifa, ni kasi ya kujifunza na kutumia walichojifunza.
1
5
192
“The Law of Self-Education School teaches you how to survive, self- education teaches you how to win. Read, study, listen to mentors, learn skills no one taught you. Knowledge is the new currency, and the one who learns fastest earns the most.” Shule mara nyingi inakupa maarifa ya msingi ya kuishi na kufanya kazi, lakini kujielimisha mwenyewe kunakupa uwezo wa kwenda hatua ya juu zaidi. Unapojielimisha mwenyewe utasoma vitabu nje ya darasa, utajifunza skills zinazolipa mfano biashara, trading, sales, communication, AI, leadership. Utajifunza kutoka kwa mentors na uzoefu wa watu wengine, Hujiulizi “nilifundishwa nini?” Unajiuliza “nahitaji kujifunza nini?” Leo hii taarifa ni nyingi, lakini kinachotofautisha watu si upatikanaji wa taarifa, ni kasi ya kujifunza na kutumia walichojifunza.
1
5
192
KWA NINI MASTURBATION INASABABISHA UCHELEWE KUWA CONSISTENCY KWENYE TRADING? Delay gratification kwenye trading ni uwezo wa kuahirisha raha ya muda mfupi ili upate matokeo makubwa ya muda mrefu. Trader anayeshindwa hili mara nyingi anakuwa addicted na instant dopamine, yani anataka kujisikia vizuri sasa hivi badala ya kusubiri process ikamilike. Hii psychology unaweza kuirelate sana na tabia ya masturbation, kwa sababu zote mbili zinafundisha ubongo kutafuta reward ya haraka bila uvumilivu. Mfano wa connection yake Masturbation inaweza kuzoesha ubongo kupata relief instantly. Stress kidogo unataka dopamine. Upweke kidogo unataka dopamine. Pressure kidogo unataka dopamine. Sasa Trading inahitaji opposite yake stress tolerance, patience, na uwezo wa kukaa bila reward kwa muda. Sasa ubongo ukiwa umezoea QUICK PLEASURE trader anaweza Kufungua trades ovyo kwa sababu hawezi kusubiri setup safi, Kuclose trade mapema ili ajisikie amepata kitu, Kuongeza lot size kutafuta emotional excitement. Ku revenge trade baada ya loss ili arudishe dopamine haraka. Kushindwa kuwa consistency kwa sababu hakuna stimulation ya haraka. Kwenye level ya psychology, tatizo sio masturbation yenyewe pekee, ni pattern ya instant gratification conditioning. Market inalipa watu wenye uwezo wa kusubiri, kudhibiti impulses, kuchelewesha raha na ku tolerate boredom. Trader mwenye discipline anaweza kukaa siku nzima bila trade kama setup haipo. Lakini mtu aliye addicted na stimulation ya haraka anaona ukimya ni mateso, hivyo anatafuta action hata kama hakuna opportunity. Ndiyo maana trading psychology ina overlap kubwa na self-control ya maisha ya kawaida ambapo chakula, wanawake, social media, gambling, masturbation na matumizi ya pesa vina-affect kubwa kwenye saikolojia ya trading Ukishindwa kudhibiti impulses nje ya chart, mara nyingi zinaonekana pia ndani ya chart. Kwa trader, delay gratification ni kama MUSCLE, Inajengwa kwa kufuata rules bila emotions, kukubali boredom, kusubiri confirmations na kuacha kuishi kwa dopamine ya haraka. Mtu anayeweza ku-control tamaa ndogo za muda mfupi, mara nyingi anakuwa stable zaidi emotionally kwenye market.
1
1
7
127
"Concentrate all your thoughts upon the work in hand. The Sun's rays do not burn until brought to a focus" - Alexander Graham Bell Miale ya jua ipo kila siku, lakini haiwezi kuchoma mpaka ikusanywe sehemu moja kupitia lens. Hata kwetu binadamu talent, ideas, motivation na intelligence havitoshi bila focus. Watu wengi wana uwezo mkubwa, lakini energy yao imesambaa kila mahali Leo biashara hii, Kesho skill nyingine, Wiki ijayo project mpya na sometimes wanalinganisha maisha yao na wengine. Focus ndiyo inatengeneza direction. Ukikosa focus, kila opportunity inaonekana muhimu na kila distraction inaonekana attractive. Lakini ukiwa na focus utaelewa Si kila kitu kizuri kinastahili attention yako. Maisha yanabadilika pale unapopunguza distractions na kuanza kuweka nguvu zako kwenye Skill moja, Mission moja na Goal moja kwa muda wa kutosha. Kwa sababu consistency kwenye direction moja hujenga momentum. Kwenye biashara, hii principle ni muhimu sana. Business nyingi hazifi kwa sababu idea ni mbaya. Zinakufa kwa sababu owner hana concentration. Wafanyabiashara wengi Wanabadilisha strategy kila mwezi, Wanataka kufanya kila biashara kwa wakati mmoja na Wanataka profit ya haraka kabla system haijakomaa. Lakini biashara hukua pale ambapo founder Ana focus kwenye value, Ana improve process moja continuously, Ana build reputation kwa consistency na Anaielewa market yake deeply Apple haikujengwa kwa kufanya kila kitu. Walifocus kwenye few things na kuzifanya exceptionally well. Focused business Huonekana professional, Huaminika, Hujenga strong brand identity na Hukua faster kuliko business inayojaribu kufanya kila kitu. Sasa kwenye trading, focus ndiyo kitu hutofautisha kati ya gambler na professional trader. Trader wengi wanashindwa sio kwa sababu hawajui strategy, bali kwa sababu Wanaruka kutoka strategy moja kwenda nyingine, Wanachange indicators kila week, Wanatafuta “holy grail strategy” na Wanatrade pairs nyingi bila kumaster yoyote. Lakini trader bora ni mwenye setup chache, rules chache, Anaielewa system yake deeply na Ana repeat process ile ile consistently. Kwenye trading, mastery haitoki kwenye kufanya mengi. Inatoka kwenye kufanya kitu kilekile kwa ubora mkubwa kwa muda mrefu. Focus pia inasaidia emotional control. Kwa sababu ukiwa focused hujilinganishi safari yako sana na wengine, Huvutwi na hype ya kila movement na Hupotezi energy kwenye noise za market Wengi wanakosea hapa kwa kutaka matokeo makubwa huku attention yao imegawanyika sehemu 10 tofauti. Energy iliyotawanyika huleta confusion. Energy iliyofocused huleta power. Mtu anayefocus kwa miaka miwili kwenye skill moja anaweza kuwazidi watu waliotumia miaka mitano wakihama hama direction. Mwisho wa siku Focus hujenga mastery, Mastery hujenga confidence na Confidence hujenga consistency results. Na results ndizo zinazowafanya watu waonekane “gifted”, wakati ukweli ni kwamba walikaa sehemu moja kwa muda mrefu kuliko wengine.
2
4
121
Replace entertainment with education for 90 days. What you consume shapes your destiny. Spend less time watching people live their dreams and more time building yours 🤝
1
3
86
Hii ni tweet ya 2024, hapo ni kabla hatujaanzisha intelligence-floor✅ wala let’s impact millions podcast✅ Naona kazi ya kufanya serious investment inayo-match international standards tumeachiwa @intelligencefx pekee, Haipaswi kuwa hivyo, Nawasihi traders wengine msilale, jukumu ka kuiheshimisha industry yetu na kuchonga barabara kwa vizazi vijavyo ni letu sote, tuambizane changamoto ipo wapi tuweze kusaidizana
Bongo mpaka leo hatuna podcast serious ya financial market traders Bongo mpaka leo hatuna consistent Summit ya traders Bongo mpaka leo hatuna forex broker yetu Bongo mpaka leo hatuna forex prop firm serious Bongo mpaka leo hatuna financial market trading floor serious Changamoto kubwa ipo wapi ndugu zangu? Tujitathimini sana traders!!
13
16
147
10,827
#ElimikaWeekend “Welcome to Trading, Where You Pay for Every Single Mistake With Dollars, Not Apologies.” Hii statement inaelezea ukweli mchungu ambao traders wengi wanachelewa kuuelewa. Kwenye trading, market haisikilizi excuses, emotions, stress wala matumaini yako. Kila kosa lina gharama halisi ya pesa kwenye akaunti yako. Shuleni ukikosea unaweza kurekebishwa. Kazini unaweza kupewa warning. Lakini kwenye trading, kadri unapokosea mara nyingi ndivyo unapoteza capital. TRADING NI BIASHARA YA UWAJIBIKAJI. Watu wengi wanaingia kwenye hii biashara wakifikiri ni njia ya kutajirika haraka, ni kazi ya kubahatisha, ni signals business au ni maisha ya laptop na magari Lakini ukweli ni, Trading ni biashara ya maamuzi. Na kila decision unayofanya sokoni ina consequence. Ukiclick buy bila kufanya analysis, unapoteza pesa.Ukiongeza lot size kwa hasira/hisia unapoteza pesa. Ukikosa discipline unapoteza pesa. Market haitoi sympathy. KOSA DOGO LINAGHARIMU PESA HALISI Mfano, Trader ana account ya $500. Unaingia trade bila stop loss kwa sababu, unaona itarudi tu, Market inaenda opposite, Badala ya kutoka mapema unaongeza entry, unaomba market igeuke na una panic Mwisho Account inaungua. Kosa lilianza kama emotional decision ndogo, lakini gharama yake inakua pesa halisi. MARKET HAIPIGANI NA WEWE, INAKUONESHA UDHAIFU WAKO Forex huwa inakufungua ujue tamaa yako, wenge lako, ego yako, kukosa subira, emotional instability na lack of discipline. Ndiyo maana watu wawili wana strategy moja lakini mmoja anafanikiwa na mwingine anafeli. Tatizo sio strategy pekee. Tatizo ni psychology. TRADING SIYO KUWA SAHIHI KILA MARA Beginners wengi wanafikiri Nikijifunza strategy nzuri sitapoteza tena. Ukweli, Hata professional traders wanapata losses. Tofauti ni, professional anakubali loss mapema na beginner anapigana na market. Professional analinda capital, ana risk management na ana emotional control. Beginner anataka revenge trade, anataka kurudisha hela instantly na anaovertrade. KILA MISTAKE INA ROOT YAKE A. Overleveraging Kutumia lot size kubwa kuliko account inavyoruhusu. Matokeo una-panic, emotional trading na margin call B. Kukosa Stop Loss Trader unaamini, Market itarudi. Lakini market hairudi kwa sababu wewe unataka irudi, ni calculated price movement ambazo unatakiwa kuzielewa. C. Trading kwa Hisia Vitu kama hasira, excitement, fear na revenge Emotion ikikuongoza, logic inakufa. D. Kutokuwa na Mfumo Trader unaingia trade, bila plan, bila setup au bila confirmation. Unakua gambler badala ya trader. FOREX NI BUSINESS, SIYO CASINO Casino unabet na unasubiri bahati. Trading unafanya analysis, unasimamia risk na unasubiri probability/opportunity. Watu wengi wanafeli kwa sababu wanatreat trading kama betting. CAPITAL NI SILAHA YAKO Ukikosa discipline, unapoteza capital. Ukipoteza capital, hauwezi kuendelea na biashara. Ndiyo maana rule muhimu sana huwa nawaambia traders. “Protect the account before chasing profits.” MARKET INAADHIBU TABIA MBAYA Ukiwa na greedy, impatient, emotional na inconsistent. Market itakuadhibu. Na adhabu yake ni drawdown. Forex inahitaji discipline, patience, consistency na emotional maturity WATU WENGI WANATAKA PROFIT KABLA YA UFAHAMU Hili ndio kosa kubwa. Beginners wanataka signals kwanza, wanataka funded account au wanataka profits kwanza. Lakini hawataki kujifunza structure/technical skills, psychology, risk management na patience. Uelewa lazima uwepo kabla ya earnings. “Are you ready to start?” Swali halimaanishi Uko tayari kutengeneza pesa? Linamaanisha uko tayari kupoteza? uko tayari kujifunza? uko tayari kuwa disciplined? uko tayari kuwajibika kwa maamuzi yako? Kwa sababu trading halisi sio kuwa excitement. Bali ni consistency under pressure. Forex inaweza kubadilisha maisha yako. Lakini kwanza mindset yako lazima iwe imara kuweza kufikia level ya kubadili maisha yako Trading itakufundisha patience, discipline, emotional control, risk management na self awareness
1
1
2
101
“Trading is not a get rich quick business.” Watu wengi wanaingia kwenye trading wakiamini ni njia ya kutengeneza pesa za haraka. Hilo ndio kosa la kwanza. Market haijalishi una haraka kiasi gani, ukiingia bila kuelewa movement, risk management, psychology, na mfumo wa market, matokeo yake huwa ni kupoteza pesa tu. Core approach ya kwanza sokoni inapaswa kuwa, kujifunza kuelewa market, sio kutafuta profit haraka. Profit ni matokeo ya kuelewa unachokifanya. Ukikurupuka kutafuta hela kabla ya kuelewa market uta-overtrade, utaingia trades kwa emotions, utaamini fake lifestyle za mitandaoni na utaumia psychologically pamoja na kupoteza fedha. Ukitaka kuwa trader kweli kwanza anza kujifunza market structure, risk management, discipline, patience na consistency. Baada ya hapo profit inaanza kuwa byproduct ya skills ulizo nazo na sio kubahatisha/bahati. Na kama itakua ndani ya uwezo wako, tafuta mentor mzuri. Mentor haimaanishi mtu wa kukupa signals tu, bali mtu anayekusaidia kuelewa market, kukuonyesha makosa yako, na kukupunguzia miaka ya trial and error. Kwenye whatsapp channel nimekuelezea vigezo utavyovifuata ili kupata mentor mzuri. Kwenye trading business kuelewa market ni asset kubwa kuliko kutengeneza profit ya siku moja.
1
2
95
Pesa ina sheria zake na moja ya hizo sheria ni nidhamu ya pesa. Respect Money
5
89
Kuna mwana kanipigia simu, ananiambia “Kaka, kumbe watu wanachangamoto” nkamuuliza kwanini!? “Daaah, yani nimemsikiliza @ThisIsMagnetics nimetamani kulia” Nkamwambia, wewe una daiwa kodi ya laki 5 tu unaongea peke yako barabarani😂😅
1
2
10
886
Sema Vijana Huwa hatupendani qmmmke. ADUI NAMBA MOJA WA KIJANA NI KIJANA MWENZIE. Hii rangi yetu sijui imelaaniwa na nani🙌🙌💔 #CHUKI
25
5
3
48
9,372
Na Harakati Zake Huo Ujasiri Sio Poa Aisee Na Kijana Kafanya Ayo Yote Akiwa Chalii/Umri Mdogo Itoshe Kusema Homeboi/Mbena yule ni mwanaume kweli kweli kila la kheri kwake nnaamini atafika mbali zaidi Cc @gabyconscious @chapo255 @MkulimaKante
1
1
5
473
Sijui Sana Kuhusu Forex Ila Ukisikiliza Ile Interview Ya Magnetics Francisco Utagundua Mwana Ni Mwanaume Kweli Kweli Uwezo Wa Ku Handle Challenges Zote Na Deni Kubwa Toka Kwa Wawekezaji Mpaka Akaamua Kuondoka Kwenda Nje Ya Nchi Na Baadae Akarudi Akiwa Stable Na Akaeendelea #UZI
3
4
72
5,802
Build a monthly budget and obey it like a law. Money respects structure. If you keep guessing, you'll keep struggling. Track your spending. Plan your saving. Invest consistently.
2
99
Je ni sawa kutumia AI/Robot katika Trading? Kwanza, trading sio tu analysis ni mchanganyiko wa psychology + risk management + execution. Robot (EA/bot) inaweza kufanya vizuri kwenye sehemu ya analysis, kwa sababu inategemea data, indicators, na rules zilizowekwa. Haina uchovu, haina kusahau, na inaweza kufuatilia markets 24/7 bila kukosea kiufundi. Hapo hakuna tatizo. Lakini tatizo linaanza pale unapoiamini robot kwenye execution kamili ya trades bila human intervention. Sababu kuu ni hizi kwa mtazamo wangu. Soko halina consistency ya kihesabu (Market is not static) Robot inafanya kazi kwa rules zilizopangwa (if X then buy, if Y then sell). Lakini market ni dynamic inabadilika kutokana na news, manipulation, sentiment, na liquidity shifts. Wewe kama trader unaweza kusense mazingira kubadilika (mfano abnormal volatility au fake breakout), lakini robot itaendelea kufuata rule hata kama mazingira yamebadilika. Emotional intelligence ni edge kubwa kwenye trading. Ni kweli emotions zinaweza kuwa weakness kwa beginner, lakini kwa trader aliyekua matured, emotions zinakuwa tool ya decision-making. Mfano: - Siku unazohisi market haiko clean, unaepuka ku-trade. -Unapogundua umeanza tamaa unapunguza risk * Unajua leo focus haiko sawa, unaamua kutotrade Robot haina uwezo wa kujitambua wala kujirekebisha based on internal state. Risk management sio formula tu, ni judgment. Robot anaweza kuweka SL na TP, lakini Je, leo ni siku ya high-impact news?, Je, liquidity iko low (mfano session ya Asia)? Na Je, market structure imechange? Human trader ana adjust risk kulingana na mazingira. Robot haitafanya hivyo isipokuwa iwe explicitly programmed na bado haiwezi cover kila scenario. Over-optimization (curve fitting problem) Robots wengi wanaonekana kufanya vizuri kwenye backtesting, lakini Wanakuwa optimized kwa data ya nyuma na Wanashindwa ku-adapt kwenye future market conditions Hii ndio maana watu wengi wanaona robot inafanya vizuri kwa muda mfupi kisha ina-crash. Responsibility & accountability Ukiruhusu robot ifanye kila kitu, unakuwa umeondoa responsibility yako kama trader. Na hii ni hatari kwa sababu Hujifunzi skills, Huwezi kuboresha mfumo wako katika trading na Unakuwa dependent kwa kitu ambacho hujaelewa fully. Kama utatumia robot/AI inapaswa kuwa assistant, sio decision maker. Itumie kwa Alerts, Data analysis na Trade ideas. Lakini final execution ibaki kwa binadamu, hasa kama bado haujafika level ya ku-understand market deeply. Robot ina logic lakini haina intuition na kama unahitaji trading iwe career ya muda mrefu unahitaji vyote.
1
4
142
Nilifanikiwa kusoma kitabu cha RICHEST MAN IN BABYLON, Story ya Dabasir ilikua inafanana kwa kiasi fulani na changamoto zangu na ilinisaidia sana kupata inspiration ya kunijenga ukomavu wa kuliface tatizo hasa kwenye upande wa madeni. Aliondoka nchini kwake baaada ya kuwa pamoto ila kuna siku akawaza kwanini nikae kama mkimbizi kwenye nchi ya watu wakati naweza kurudi nyumbani na nikamaliza tatizo langu. Alivyodecide kurudi home na kukutana na wadeni wake alikutana na personalities/aina tatu ya watu waliokuwa wakimdai. The angry/Demanding creditors: Hawa ni wale waliochukizwa sana na yeye kukimbia na wapo aggressive kurudishiwa hela zao haraka. Hawa ndio aliowaogopa sana. The dissappointed/Mocking Creditor: Hawa hawakuwa violent, ila ni wale ambao hawakuwa convinced kuwa huyu amerudi kutulipa au lengo lake ni kutulipa, hawakua tena na imani nae kuwa ataweza kulipa. The reasonable/Hopeful Creditor: Mfano yule Mathon, ambae kitabu kilimuweka kama pivot figure. Sio tu alikua anahitaji pesa yake lakini alikua ni creditor ambae alielewa ugumu wa situation, Alim-challenge Dabasir ku-act like a man, akimpa matumaini na guidance inayotakiwa kutengeneza mpango wa kulipa madeni yake kuliko kumuadhibu. Baada ya DM nyingi, na naamini kuna watu bado hawajapata courage ya kuni-DM ambao wanapitia tatizo kama la kwangu la madeni na wanahitaji kwa moyo wa dhati kulipa, I reccomend kitabu hiki, unaweza ukapata more lesson kuliko vichache nilivyoelezea hapa. Mimi naweza nisikupe ushauri wa moja kwa moja, ila naamini hiki kitabu kitaweza kukupa insight zaidi!
7
137
“Ku-close trade manually ni kosa kubwa kama trader” Kiuhalisia, tatizo haliko kwenye manual close, tatizo liko kwenye sababu inayokufanya u-close mapema. Kuna scenarios mbili tofauti: Manual close kwa sababu ya emotions (hii ndio kubwa la kuepuka). Sababu hii ndio inasababisha trading psychology inaharibika: Unaona profit kidogo, unaogopa market itarudi na unafunga mapema. Au Trade inaenda negative kidogo, una panic na unakata loss kabla ya plan. Unakosa imani na analysis yako Hii inaonyesha, Huna trust na mfumo wako, Unaongozwa na fear/greed na Huna discipline ya kufuata TP/SL Manual close kwa sababu ya strategy (hii ni PRO move) Hii ni pale ambapo Market structure imechange (invalid setup), News imetoka unexpectedly, Liquidity imechukuliwa tofauti na expectation au Una lock profit strategically (partial close / trailing logic) Hapa unakuwa umefanya Decision based on data, sio emotion na Unakuwa flexible bila kuvunja mfumo Hili sio kosa hii ni skills! Tatizo si “manual close” ila lack of discipline + emotional interference. Ukifuata plan yako, Uli-set TP/SL iheshimu na Kama utaclose mapema iwe ni rule-based, sio feeling-based Kama unataka ku-level up psychology yako, jiulize katika kila trade: “Nimeclose kwa sababu plan yangu imeniambia, au kwa sababu nimehisi vibaya?” Hapo ndio utajua uko upande gani wa trader.
1
2
119
TAARIFA RASMI KWA WAWEKEZAJI Ndugu wawekezaji, Natumaini mko salama. Ninaandika ujumbe huu kwa unyenyekevu mkubwa na uwazi, nikitambua kuwa kwa muda mrefu nimekuwa kimya kuhusu hali halisi ya uwekezaji uliokuwa chini ya usimamizi wangu. Kimya hiki hakikuwa sahihi, na ninawajibika kikamilifu kwa hilo. Katika kipindi cha shughuli zangu za forex trading na investment management, kulikuwa na upotevu mkubwa wa mtaji uliokuwa chini ya usimamizi wangu. Jumla ya upotevu huu unafikia takribani dola za Kimarekani 750,000 (USD 750,000). Hasara hii ilitokana mambo binafsi ambayo nimeeleza hivi karibuni kwenye podcast. Ninakiri wazi kuwa kama msimamizi wa fedha hizo, jukumu hili lilikuwa langu, na ninachukua uwajibikaji kamili bila kumlaumu mtu mwingine yeyote. Kwa kipindi cha takribani miaka sita iliyopita, nilichagua kukaa kimya nikijaribu kutafuta njia ya kurejesha fedha hizi kwa kuoperate private. Hata hivyo, nimegundua kuwa njia hiyo haikuwa sahihi, na uwazi ndio hatua muhimu ya kwanza ya kurekebisha hali hii. MPANGO WA MBELE! Ninafanya kazi na mshauri wa kisheria ili kuweka utaratibu rasmi wa kushughulikia deni hili kwa njia ya kisheria na inayolinda maslahi ya pande zote. Lengo ni kuendeleza mpango wa ulipaji wa deni (repayment plan) ndani ya muda maalum (legal proposed kipindi cha hadi miezi 48), ambao utawezesha kurejesha fedha kwa utaratibu unaoeleweka na unaofuatiliwa. Sambamba na hilo, nitaanza rasmi shughuli za wazi zinazolenga kuzalisha mapato kwa njia halali na endelevu, ikiwa ni pamoja na: - Mafunzo (training & mentorship) - Matukio ya kielimu (paid events) - Huduma nyingine za kibiashara zilizo wazi na zisizo na usimamizi wa fedha za watu moja kwa moja! Muhimu kufahamu kuwa kwa sasa sitapokea tena fedha za uwekezaji (investment funds) kutoka kwa mtu yeyote. HATUA INAYOFUATA Ndani ya muda mfupi ujao, nitawasiliana na kila mmoja wenu moja kwa moja ili: - Kuthibitisha kiasi husika - Kujadili mfumo wa ulipaji kadri ya ushauri wa kisheria. - Kuweka makubaliano rasmi ya kisheria Ninaelewa kuwa hali hii imeathiri imani, na sina matarajio ya kurejesha imani hiyo kwa maneno pekee, bali kwa vitendo vitakavyoonekana kadri muda unavyoenda. Naomba uvumilivu wenu wakati nikiweka mfumo sahihi wa kushughulikia suala hili kwa haki na uwazi. Asanteni kwa kunisikiliza. Fransisco G.C ([email protected])
1
2
16
406
Get brutally honest about where you are. Stop exaggerating your progress. Stop pretending you're okay. Clarity is the first step to transformation. You cannot fix what you keep lying about.
5
192