Traves Senior (@TravesSenior) header
Traves Senior (@TravesSenior) profile picture

β€”PR, Marketing & Communication Officer β€”Founder, Zion Creative Agency ✝️ Born-again Christian πŸ’ͺπŸΎπŸ™πŸΎ ⚽ FC Barcelona β€οΈπŸ’™ πŸ€ #Dubnation πŸ’™πŸ’›

Dar es salaam, Tanzania
Joined November 2013
Photo by Traves Senior (@TravesSenior)Photo by Traves Senior (@TravesSenior)Photo by Traves Senior (@TravesSenior)Photo by Traves Senior (@TravesSenior)Photo by Traves Senior (@TravesSenior)Photo by Traves Senior (@TravesSenior)Photo by Traves Senior (@TravesSenior)Photo by Traves Senior (@TravesSenior)Photo by Traves Senior (@TravesSenior)Photo by Traves Senior (@TravesSenior)
1 Wathesalonike 5:14-18 Ni maombi yangu kwa Mungu wetu kuwa Kila utakayesoma ujumbe huu upate uwezesho wa kuyafanyia kazi maagizo haya ya muhimu kwetu kama watoto wa Mungu aliye hai. πŸ™πŸΎπŸ€— #nenolamungu #Godsword #kuomba #kushukuru #Tanzania #Kenya #Jesus #Biblia #Bible 1/3
1
3
258
Kwa unavyoitumia Mitandao, unatenda dhambi au la?πŸ‘€ Watu wanajengwa na kuwa bora zaidi kwa posts zako au wanaumia na kuharibika mitandaoni?πŸ€” Download copy yako kupitia Link hii snippe.me/pay/traves-books #Mkristonamitandaoyakijamii #Mkristonamitandao #socialmediaguide #Dhambi
1
1
59
USIRI ni nguvu na ulinzi dhidi ya mashambulizi na makwazo ya mitandaoni. Usipende ku-share kila kitu chako mtandaoni Bonyeza link hii πŸ‘‡ kupakua soft copy kwa Tsh 2000 tu snippe.me/pay/traves-books #Mkristonamitandaoyakijamii #Mkristonamitandao #Socialmediaguide #Mitandaoyakijamii
1
1
160
Traves Senior retweeted
Tajiri anazidi tu kutumia AI kwenye matangazo ya bidhaa zake. πŸ‘€ Wabunifu, waandishi, waigizaji, washawishi, mabalozi, na watengenezaji wa matangazo tutatoboa kweli?πŸ€” #Advertising #Matangazo #AI #Artificialintelligence #AzamTV #Bakhresa
1
1
90
Traves Senior retweeted
Uelewa wa sayansi ya hisia unapunguza bakora, ubabe na mabavu darasani na hivyo kuongeza uwezekano wa mwanafunzi kujisikia salama na kujifunza kwa ufanisi zaidi. #UshunuziElimu via @MwananchiNews
7
10
660
Tajiri anazidi tu kutumia AI kwenye matangazo ya bidhaa zake. πŸ‘€ Wabunifu, waandishi, waigizaji, washawishi, mabalozi, na watengenezaji wa matangazo tutatoboa kweli?πŸ€” #Advertising #Matangazo #AI #Artificialintelligence #AzamTV #Bakhresa
1
1
90
Traves Senior retweeted
For 450 years, the world's most-used map has made Africa look smaller than it really is. The UN just voted to change that. Al Jazeera’s Basel Ghazoghli breaks it down and goes back 450 years to show how the map was made β€” and why it stuck.
61
1,285
51
3,603
181,409
Traves Senior retweeted
Barca wana Kikosi kipana Kinatoka chuma kinaingia chuma
3
3
27
880
"They are favorites to win the Champions League, and I think Hansi Flick is the reason why." πŸ† @JOYPAULIAN explains why Hansi Flick's system will lead to success at Barcelona.
5
60
1
825
34,009
Traves Senior retweeted
Jina lako hutangulia mahali kabla wewe hujafika. Je, lako linakusemea nini kabla hujafika?
1
8
22
483
Traves Senior retweeted
Barcelona have scored five goals in all but one match this season 🀯 The highest-flying team in Europe right now πŸ”₯
216
3,381
230
31,872
413,314
"I don't think there's anything better than seeing Barcelona win the UCL in their way... It's a special football club that play a special brand of football." @Carra23 is enjoying Barcelona's electric start to the season πŸ”΄πŸ”΅
13
591
29
7,106
433,937
- هدف Ψ³ΩŠΩ†Ω…Ψ§Ψ¦ΩŠ πŸ”΄πŸ”΅
453
11,940
844
96,604
5,679,516
Traves Senior retweeted
Shida inakuja tunataka sana Pesa kukidhi mahitaji yetu ya kila siku. Lakini ukiwa Busy kuwa Bora kila siku wewe mwenyewe Pesa zinakufuata automatic. Kikubwa showup nini unafanya weka progress zako online alafu grow. Ila huo mchakato ni mgumu sana.
30 mins session kila siku inatosha kukufanya kuwa na abc kwenye mishe umeamua kufanya online. Sometimes mtiti unaanzia kwenye kutaka kubadilisha vitu from 0 to 100 real quick. Weka efforts kidogo kidogo then una scale as time goes.
1
3
6
166
Traves Senior retweeted
πŸ‡¨πŸ‡©πŸƒπŸ½β€β™‚οΈ Kutana na DΓ©sirΓ© Kabengele: Mhandisi huyu wa DRC ametengeneza treadmill ya mbao inayotumia nguvu ya mtumiaji mwenyewe badala ya umeme au mota. Kupitia kampuni yake, Desire Tech, pia amebuni mfumo wa kubadili taka za plastiki kuwa mafuta na mashine nafuu kwa wakulima wadogo.
3
51
1
190
11,141
Traves Senior retweeted
Kalamu episode 37 @Kipanytv Youtube
2
10
121
11,360
Traves Senior retweeted
UTATU upi wa washambuliaji unaukubali zaidi hapa na unaona utakuwa na madhara kuelekea msimu wa 2026/27? πŸ€” #EPL #LALIGA #UCL #Football
1
1
259
Huu muonekano wa studio za Azam TV wakati wa michezo ya #LigiKuu sijauelewa. Wa msimu uliopita ni bora zaidi kwa mtazamo wangu.
1
103
Traves Senior retweeted
Mteja wako hataki kujua una utaalamu kiasi gani. Anataka kujua... Bidhaa au huduma yako imeshawahi kumbadilishia maisha mtu kama yeye? Mwonyesha ushahidi, sio matangazo tu.
1
2
4
254
Jenga tabia ya kujipongeza ukifikia lengo fulani. Maisha hatuishi ili kujitesa tu kufikia malengo. Siku moja moja jikumbushe kuwa unayotesekea ni kesho yako ndiyo ila wewe ndiyo mfaidi wa kwanza. Hata kama una-ona ni lengo dogo kiasi gani, ilimradi ulipanga na umetimiza ENJOY.
1
3
30
598
Traves Senior retweeted
Wangapi wetu tunajua majina ya babu wa babu zetu na mahali wapoiishi? Wangapi wetu tunawafahamu bibi wa bibi wa mama zetu? Kwenye kizazi hiki cha β€˜maendeleo mijini,’ haya yanaweza kuonekana ni maswali ya kipuuzi yanayochokoza mizimu. Hatupendi kufuatilia historia za familia zetu, hatupendi kujua koo zetu zimetoka wapi na zilifahamika kwa uwezo upi. Hatuna β€˜family tree.’ Kama kuna kitu kina umuhimu mkubwa katika maisha ya mwanadamu β€”na tunakipuuzaβ€”ni nguvu ya utambulisho (identity). Kujua kwa hakika wewe ni nani? Umetokea wapi? Utambulisho usiochimbua mizizi yake hauwezi kukamilika. Utambulisho wa mtu unajengwa kwa kuielewa vyema historia yake, ametokea wapi, mizizi yake ilijichimbia wapi, imepambana na kipi kuchipua na kipi kilikinusuru kizazi hicho na kukiacha kiendelee kuwepo? Sehemu ya matatizo yetu, kama watu binafsi na jamii kwa upana wake ni kukosa utambulisho thabiti unaotukumbusha sisi ni nani, tunaamini nini na tunatofautianaje na wengine. Kukosa utambulisho huo kunatunyima muono wa kina matatizo yetu, namna ya kuyatatua na hata sababu hasa ya kuyatatua. Kukosa uelewa mzuri wa historia zetu kunatufanya tuwe watu wa kuanza upya kila kizazi na kurudia makosa yale yale ambayo huenda tungeyakwepa kwa kuelewa vizuri safari ya vizazi vyeti vilivyotufikisha hapa. Naamini, hata nchi nyingi za Afrika hazijaweza kuwa mataifa yanayojitambua kikamilifu, kwa kukosa utamaduni wenye nguvu, historia inayoeleweka, na hivyo hayana itikadi inayozipambanua nchi hizo na kuzitofautisha na wengine. Huenda ni athari za ukoloni na sababu nyinginezo lakini nchi ambazo hata kuwa na sikukuu zinazowakumbusha watu wake utamaduni wao hazina, lakini sikukuu za dini za kigeni ndizo zinazoheshimika, huenda ni mkusanyiko wa makabila yasiyo na sifa za kuwa mataifa kamili. Kama ambavyo nyumba imara huanza na msingi imara na kwamba kina cha msingi huamua urefu wa jengo utakavyokuwa ndivyo umbali wa mwendo wa mwanadamu, unavyoamuliwa na uelewa wa historia yake. Unapokosa muunganiko mzuri na historia yako ni rahisi kuwa chochote kisicho na mizizi. Unaweza kuamini chochote na hata nguvu hasa ya kupigania jambo unalopaswa kulisimamia hutokuwa nayo. Kukosa historia inaweza kuwa mzizi wa makosa mengi yanayorudiwa rudiwa kizazi hadi kizazi. Hatuwezi kujua ukubwa wa kazi iliyopo mbele yetu ikiwa hatujui kwa hakika wale waliotutangulia walipambana na nini.
1
21
1
45
2,173