Msaada sio deni, endapo utapata changamoto usijipe kipaumbele cha kusaidiwa kwa mtu uliyewahi kumsaidia.
Ubinafsi, wivu na chuki ndivyo vimefanya tupoteze watu ambao ni msaada katika kuyafikia mafanikio yetu.
Inaumiza sana kuona bado kuna baadhi ya familia zetu zinaamini kwamba mtoto akifanikiwa zaidi ya kiwango wanachokitarajia wao ni mchawi au anahusishwa na imani za kishirikina.
1
385







