Yesaya | Nafundisha programming na akili unde (AI) kwa Kiswahili ๐Ÿ’ป Majadiliano ya TEHAMA, livestreams & Yesaya Software Podcast ๐ŸŽ™๏ธ TEHAMA Awards ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Dar es Salaam, Tanzania
Joined March 2011
Mwisho wa mfululizo: muktadha, hatua ndogo, usahihi, kanuni, uthibitisho. Hizo ndizo nguzo zangu za kufanya kazi na AI. Usiku mwema ๐ŸŒ™ #AI #Claude
2
29
Wazo la mwisho: AI haitachukua nafasi yako. Mtu anayejua kuitumia vizuri ndiye atakayefanikiwa zaidi. Anza leo, kwa kazi ndogo.
20
Nitaendelea kushiriki mafunzo kutoka kwenye miradi yangu. Fuatilia kwa zaidi.
1
28
Una swali kuhusu Power BI, kujenga ERP, au kutumia AI kazini? DM ziko wazi. Mimi pia najifunza kila siku.
1
30
Asanteni kwa kufuatilia mfululizo huu wa siku 7. Ni tweet ipi ilikugusa zaidi? Niambie hapa chini ๐Ÿ‘‡
24
Jioni njema. Tanzania ina vipaji. AI inatupa nafasi ya kujenga bidhaa za kiwango cha dunia kutoka hapa nyumbani. #TanzaniaTech
1
31
Kwa wafanyabiashara: huhitaji tena timu kubwa kupata mfumo mzuri. Timu ndogo yenye AI inaweza kujenga mfumo unaokufaa.
24
Kwa Developers: jenga mfumo wa ukaguzi (tests, phase gates, verification). Kasi ya AI ina maana tu kama ubora umelindwa.
30
Kwa Data Analysts: tumia AI kuandika na kueleza DAX na Power Query, lakini jifunze kwa nini inafanya kazi. Ufahamu huo utakusaidia siku AI itakapokosea.
20
Kwa Business Analysts: AI ni nguvu yako kubwa. Kugeuza mazungumzo ya mteja kuwa mahitaji yaliyo wazi sasa ni suala la dakika.
31
Ningeanza upya pia: ningepima performance ya Power BI mapema, badala ya kusubiri dashboard iwe slow.
29
Mchana mwema. Ningeanza upya, ningefanya nini tofauti? Ningeandika skills na requirements mapema zaidi, kabla ya code nyingi.
20
Kwa ufupi: Power BI ilinifundisha subira na data, ERP ilinifundisha nidhamu ya kanuni, mfumo wa nyumba ulinifundisha kujenga kwa ajili ya mtumiaji.
1
33
Mpaka #4: AI haibebi jukumu. Ukipeleka code au namba kwa mteja, jukumu ni lako. Tumia AI kama msaidizi, si kisingizio.
1
29
Mpaka #3: taarifa za siri. Usimpe AI data nyeti bila kufikiria, na usichapishe data za mwajiri au mteja kwenye makala zako.
32
Mpaka #2: AI inaweza kukosea kwa kujiamini. Ndiyo maana tests, ukaguzi na data halisi ni lazima.
27
Mpaka #1: AI haijui biashara yako wala watu wako. Maamuzi ya kipaumbele na scope ni yako.
20
Habari za asubuhi! Leo nashiriki pia mipaka ya AI niliyoiona. Ni muhimu kujua kile AI haiwezi kufanya. #AI
25
Funzo #5: thibitisha. Kila jibu la AI ni rasimu hadi ulithibitishe kwa tests, data au hesabu ya mkono.
26
Funzo #4: andika kanuni zako. Skills, requirements, definitions. AI na timu wote wanafaidika.
32