Corner King 👑 retweeted
Anatafutwa fundi Selemala mzuri, Madueke anahitaji kabati kubwa la kuwekea hivi vidude!⚪🔴
Corner King 👑 retweeted
Hakuna kitu kitamu zaidi kuliko kumwona Mungu akifungua njia, wakati ambapo hukujua jinsi ingewezekana.
“If the cheque is big, she’s there.” and “two-time Emmy loser”,
Jamie Carragher has a BAD mouth.😂😂
Kinachoshangaza sana kuhusu Mungu ni kwamba kuna nyakati sisi tunaomba kidogo lakini yeye anajibu kikubwa sana.
Corner King 👑 retweeted
Mwanzo nilidhani ni Paka wa mwana ameletwa tuu kumuona mgonjwa, mpaka hapo mwisho nilipoona mmoja anamng'ang'ania paka, kumbe nyau inetumika kitaalamu tuu 🤣





















