KBS (@abeid87) header
KBS (@abeid87) profile picture
Tanzania
Joined May 2013
Photo by KBS (@abeid87)Photo by KBS (@abeid87)Photo by KBS (@abeid87)Photo by KBS (@abeid87)Photo by KBS (@abeid87)Photo by KBS (@abeid87)Photo by KBS (@abeid87)Photo by KBS (@abeid87)Photo by KBS (@abeid87)Photo by KBS (@abeid87)
#TajiriLaKihaya Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa)Anasema; Nao wake wana haki kama ambayo (ya waume zao) iliyo juu yao kwa mujibu wa shariy’ah. Na wanaume wana daraja zaidi juu yao.  [Al-Baqara: 228]   UISLAMU umempendelea saana mwanamke… Na zifuatzo ni Haki ya mke kutoka Kwa Mume:   1-Ni wajibu wa mume kumlisha mkewe kumvisha na kumtimizia mahitaji yake.     2-Mume ana haki kumfunza adabu mke anapohisi mke anamuasi.   3-Ni wajibu wa mume kumhifadhi mke kwa kila njia. Mume awe ndio mlinzi na msimamizi wa mambo yake na ndiye mwenye majukumu ya kumhudumia: Wanaume ni wasimamizi juu ya wanawake kwa kuwa Allaah Amefadhilisha baadhi yao kuliko wengine na pia kwa ambayo wanatoa katika mali zao. [An-Nisaa: 34] Nabiy (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) amesema: "Mwanamme ni mchunga (msimamizi) wa nyumbani kwake na ataulizwa kuhusu uchungaji (usimamizi) wake" [Al-Bukhaariy na Muslim] Hawa wazungu ndio wamekoja kututesea wanawake zetu- wanafanya kazi ngumu wanarudi nyumban wamechoka ,wanakua na mawazo, wanatia rushwa ya ngono makazin ili wapate kazi na kupendwa na maboss zao! Uislamu unamlinda mwanamke kwa wivu mkubwa saaana💯 Haki Za Mume Kutoka Kwa Mke:   1-Mke amtii mumewe na atambue kwamba ni amri ilotiliwa nguvu na Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa sallam) kwa kuwa amesema: "Ningeliweza kumuamrisha mtu  amsujudie binaadamu mwenzake, ningeliamrisha mwanamke amsujudie mume wake kwa jinsi haki ya mume ilivyo tukufu kwa mke wake" Tuhfat Al-Ahwadhi 4.323  kutoka Tafsiyr ya Ibn Kathiyr   2-Mke inampasa kumuitikia mumewe anapomhitaji kujimai naye. Kutomtimizia haja yake bila ya sababu inayokubalika katika Shariy’ah ya Dini ni kulaaniwa na Malaika kwa dalili: "Mume atakapomwita mkewe kitandani na mke akikataa, basi Malaika watakuwa wanamlaani huyo mke mpaka asubuhi". [Imepokelewa na Imaam Al-Bukhaariy]   3-Haimpasi mke kutoka nyumbani kwake bila ya idhini ya mumewe (hata kwenda kwa wazazi wake ila kwa makubaliaono).   5-Haimpasi mwanamke kumfanyia ujeuri, ufedhuli au usafihi mumewe. Atakapokuwa ni kinyume cha hivyo akamtii mumewe basi amepewa fadhila kubwa ya kuingia Jannah (Peponi): Kutoka kwa Abdur-Rahmaan bin 'Awf (Radhwiya Allaahu ‘anhu) kwamba Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: "Mwanamke atakaposwali Swalaah zake tano, akafunga Swawm mwezi wake (wa Ramadhwaan), akahifadhi sehemu zake za siri (asifanye uzinifu), akamtii mume wake, ataambiwa ingia Jannah (Peponi) kupitia mlango wowote autakao."  Swahiyh at-Targhiyb
Replying to @Labella_Mafia95
@EsirEid kuna malalamiko huku wanasema umejikita kwenye dini wakati MwenyeziMungu amewatukuza wanawake akawashushia surah nzima ya An Nisaa yenye aya 176 na akampa Maryam sura nzima yenye aya 98 still una wafanyia dhihaka wanawake! Je ni kweli ndugu? Kwani uislam unasemaje? Tunakumbushana tu maana tumeambiwa tukumbushane “na semeni na watu kwa wema,” The Qur'an teaches us to 'Speak Good to People'- not just muslims not just males 📌 Quran 2:83
46
67
6
239
29,529
Tanzania has constructed East Africa's longest bridge, Magufuli Bridge on Lake Victoria at a cost of $300 million. It has reduced travel time from 2 hours to 4 minutes. The 3.2km long bridge will boost trade with neighbouring countries, Uganda, Rwanda and Burundi.
328
2,179
317
9,611
551,420
EACOP kwa nini tuulinde (Thread) Mpaka kufikia mwaka 2014, Uganda, Kenya na Rwanda ziliamua kuunda Umoja wao nje ya Jumuiya ya A.Mashariki kwa kile walichodai Tanzania ilikua ikiwakwamisha, 'Coalition of the willing' walijiita. Nia yao ilikua ni kupeana madili mbalimbali (1)
53
166
28
667
120,630
Make it part of your plans to memorize these Surah and Ayahs this Ramadan... THREAD
6
176
1
824
48,675
Retweet, it will help you.
46
3,011
17
6,277
231,183
KNOW WHAT YOU SAY DURING SALAT ( PAYER). ❤️This deserves an endless RT!!
40
1,735
12
3,289
223,262
Recite and Retweet
12
2,267
17
7,805
249,153
Hello,, kuna hii project hapa ya kuwasaidia watu wenye uhitaji waweze kupata japo iftar nao wakafarijika , Namba za kuchangia hizo apo lakini pia ukitaka kupeleka tambi ,sukari na vitu vingine wasiliana nao,Allahu Barik
4
35
73
5,686
How many Muslims are online to Retweet this S.A.W 🙏💜💞
237
4,397
49
18,987
679,547
You will never regret retweeting this ❤
86
27,213
91
34,345
1,705,949
It's time Africa created a system that does not depend on an individual to deliver development for its people but rather institutions and systems backed by positive legislation. #SWAiTEX
265
1,142
121
4,763
Whoever lied to you that “Wearing a trouser, long shirt and covering your hair with just a scarf” is a proper way of how a Muslim woman should dress. You all need to go back and ask again or read about a permissible Hijab to a Muslim woman.
13
26
3
177
You've been using social media to engage with fans and grow your brand? But you want to start using social media channels to make more visibility and sales? This is an excellent idea, let's meet this weekend on Saturday Call us 0656488927 or check us on DM
5
7
Join us this saturday on 27th August 2022, And learn about digital content marketing and the power of content marketing in business Place;Lai Marketing Agency Office Registration cost;Free(ten seats available) Click this link. https://nitter.gq/t.co/7AuAigZVmX – at Dodoma, Tanzania
2
2
Unapohitaji kufanya video production jijini Dodoma? Please Wasiliana nasi @Lai_Agency. Tuna gadgets nyingi kwa ajili ya video and photography.
3
21
59
Tunawasaidia wafanyabiashara wadogo, wa Kati na wakubwa katika kuwaendeshea biashara zao kupitia mitandao ya kijamii Ikiwemo Facebook, Instagram, Twitter na LinkedIn. Njia zetu ni za kibunifu na zenye matumizi makubwa ya tekinolojia. Wasiliana nasi 0656488927 #LaiMarketing – at Dodoma, Tanzania
1
13
15
Je wewe ni MBUNIFU upo #Dodoma na unatumia Teknolojia katika ubunifu wako? Kuna fursa kwa ajili yako. Wasiliana na si kwa taarifa zaidi. E: [email protected] M: +255788545146
1
3
Ever see a Hub factory in Lagos, Nigeria? Until today I hadn’t either.
4
5
39
Are you in #Dodoma? This is your opportunity to start and/ or grow your business. Take action NOW #entrepreneur @SIDOTanzania @tccia_official @Helvetas – at Dodoma, Tanzania
2
5
Video production Client : Emwa Rest House Dodoma Production: Lai Marketing Agency Gears Sony Alpha 7 iii with ( 24 - 70 lens) 5D Mark 3, with 24 - 105 lens) Gimbal : Ronin S Contact us today for corporate events, documentary, social media video post +++++ 0656488927 – at Dodoma, Tanzania
3
3