adamlutta retweeted
Wewe mwenye chuki, ambae nikipost kitu unatamani kisipate engagement kuwa mvumilivu bado kidogo tu nakuachia mtandao wako wa X.
adamlutta retweeted
Kuna mtu kaniletea hii simu leo huku home anasema anaiuza(Haina vipengele according to muuzaji)
Mtanunua bei gani.? ana shida na pesa ya chaap
adamlutta retweeted
Ila hiyo ya kupewa Ice-cream kule Russia nimeipenda sana sana 😁😁
Nilimuona hadi Luto anaenda kupokea akawa kama haamini anachokiona 😂
adamlutta retweeted
Kama ungepewa nafasi ya kuchagua moja kati ya hizi flagship phones, ungechagua ipi na kwa sababu gani?
🔹 iPhone 17 Pro
🔹 Samsung Galaxy S26 Ultra
🔹 Google Pixel 11 Pro
🔹 vivo X300 Pro
adamlutta retweeted
Daah namuonea huruma sana carrick lakini ni anatakiwa tu kufukuzwa aje kocha mwingine























