AKARO retweeted
Hapa Nilihisi Dalili za Kutapeliwa Nikamtupia Kijiti @EsirEid 😂😃😂😂
AKARO retweeted
Oya X wakamaria hawa wajuba (Paripesa) nimewakanda 1M, nimeenda kutoa michuzi yangu wananiambia ni watumie documents zangu kwenye email yao ya security
Nimewatumia kila kitu lakini bado wanaleta maZing Zong oya msaada hapa nafanyeje wakuu
Nb: sitaki kusikia arakati za 1xBet
AKARO retweeted
Video ya kwanza, unaona wananchi wawili walipigwa risasi wakiwa wanajiona wanakufa.
Video ya pili huyo wa pili akiwa amekata roho….
Huu ndio unyama uliofanyika Tanzania October 29-Nov 2 na chama cha Mapinduzi….
AKARO retweeted
Sema lile lijamaa liboya sana mnapoamua kutupa maudhui kama aya muwe na manjonjo manjonjo demu anatawala uwanja mara akupanulie mnyeo lipo linashangaa shangaa tu
0/0🚮🚮
AKARO retweeted
Huko CCM kuna vita kubwa sasa imeletwa kwenye mkamdamnasi! Hii kampeni dhidi ya Sifuri Tatu sikutegemea iletwe muda huu! Acha watoane maini 😂
#TutaelewanaTu
AKARO retweeted
Ahsante sana Kenya.
Nyinyi ndio mmebaki nchi inayoeleweka East Africa.
Msikubali nchi yenu ikose sheria na haki kama sisi.
FREE TWAHA
#BreakingNews
Mahakama ya Kenya imeitaka mamlaka husika kumfiksha Twaha Mwaipaya Mahakamani siku ya Jumatatu Novemba 02 saa 5 asubuhi akiwa hai ama la! #FreeTwahaMwaipaya
Asanteni sana Majirani @VOCALAfrica_ & Co kwa kumpambania ndugu yetu bila kuchoka
AKARO retweeted
#TajiriLaKihaya
Ni kweli, Mwakimi amewahi kunitafuta DM mara Nyingi saana zaidi ya Mara 100+, toka Mar,2024.
Tumechat saana na kusaidiana katika mambo mbalimbali zaidi ya mara 20. Though hatujawahi kukutana wala kuonana!
Hata hivyo, kuhusu kinachoendelea sasa, sina sababu ya kutoa hukumu wala kushangazwa na chochote. Kwangu mimi, kutoa msaada ni suala la nia na moyo wa mtu.
Hata kama mtu alikuwa anadanganya au hakusema ukweli wote, hilo halibadilishi ukweli kwamba wakati ule kulikuwa na nia ya kusaidia.
Mimi naamini Mungu humlipa kila mtu kwa nia yake na kile kilichokuwa moyoni mwake wakati akifanya jambo fulani. Wakati mwingine tunafanya mema kwa watu ambao huenda hawakuwa waaminifu kwetu, lakini hilo lisitufanye tujute kwa wema tulioufanya.
Maisha yana mengi ya kujifunza. Si kila mtu tunayemsaidia atakuwa vile tulivyomtarajia, na si kila jambo linalotokea linahitaji hasira, majuto au kelele za mitandaoni.
Mimi nalichukulia hili kama sehemu ya maisha. Sina cha kushangaa wala cha kuhuzunika.
Nia njema haipotezi thamani yake kwa sababu ya matokeo yasiyotarajiwa.
AKARO retweeted
Tanzania na Angola zakubaliana kuunganisha Bahari ya Hindi na Atlantiki kupitia reli
bbc.in/4yJA0MB
AKARO retweeted
Kesi imefunguliwa wiki hii
Imepangiwa Jaji Wiki hii
Imesikilizwa pande zote mbili wiki hii
Uamuzi umetoka wiki hii
Utekelezaji unapaswa kuanza wiki hii
Mkiambiwa wenzenu wamewazidi mnaanza kulalamika!
Mahakama zenu zinaweza kutoa haki kwa wakati?
#FreeTwahaMwaipaya
AKARO retweeted
Kazuri kenyewe kanamuonekana ila kichwa kinautaka umaalufu wa kulazimisha ila daaa katumika sana sio kwa maumbile yale 🙌🙌🙌
AKARO retweeted
Thank you so much majirani 🙏🏽🇰🇪😭
Yesterday we gathered in solidarity with the people of Tanzania, remembering lives lost and demanding justice. Across East Africa borders are increasingly failing to shield people from human rights atrocities, enforced disappearances, state violence and impunity. An attack on human dignity in Tanzania is a concern for the entire region. Our solidarity must transcend borders and our collective demand for truth, justice and accountability must grow louder.











































