Not a Good Idea though!!.......
PPP HAIFUTI REA WALA TANESCO. Kifupi REA saiv inapewa pesa kulipa wakandarasi kusambaza umeme. Kwa PPP , REA watatakiwa kupata wawekezaji wa kusambaza UMEME kwa mtaji wao na kuwepo mfumo wa malipo. PPP inapunguza matumizi ya kodi na mikopo kwa kila mradi. Elimu ya PPP iendelee!
18
Chezea SSM wewe..??
VIDEO:
Makatibu wakuu wa @ccm_tanzania, @ChademaTz @ACTwazalendo , CUF na NCCR MAGEUZI wamtoa machozi mwandishi @chiefodemba ,aongea kwa uchungu
57
Replying to @TuliaAckson
2
Venezuela has a lot of Fuel & Gold reserves!!! Be carefull of USA!!
Raia wa Venezuela wameandamana nje ya moja ya Kambi za Jeshi la nchi hiyo baada ya rais aliye madarakani Nicolás Maduro KUIBA uchaguzi kwa kujipatia 51% ya kura zote.
Wananchi wameliomba Jeshi LIMPINDUE rais au kumfukuza kabisa. #Law #Constitution
125
Sleeping Lion!!!.......8th August, 2024.
“A lion sleeps in the heart of every brave man.” — Turkish Proverb #Simbaweek #Nguvumoja 🦁
13
Sold out!!
Msigwa ataendelea kujibiwa na Vijana wa Bavicha kwani ndio wanamfahamu! Hawezi kujibiwa na viongozi wa Taifa kwani hajatoa hoja yenye uzito unaostahili hiyo attention! Tumemsikia Leo akiomba ajibiwe na viongozi wakuu @freemanmbowetz @TunduALissu na @jjmnyika.Hana hadhi hiyo!
20
Huwezi jua BKB wamempa nini!!
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akizungumza na Wananchi wakati alipotembelea Soko la Kashai Mjini Bukoba amewaambia kuwa Mbunge wao, Stephen Byabato atashinda uchaguzi ujao na hakuna mwingine kwa kuwa matokeo ya Kura sio lazima ya kwenye boksi, inategemea anayehesabu na kutangaza
Wakati huohuo, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM-Taifa, Itikadi na Uenezi, Amos Makalla amesema kuwa CCM haihitaji mbeleko na itashinda kutokana na rekodi nzuri ya kuwaletea Wananchi maendeleo na kuwa inaheshimu Demokrasia
Soma jamii.app/NapeBukoba
Video 1 Credits: Stein TV
#Siasa #Kuelekea2025 #JamiiForums #Governance
26


























