
Environmentalist🌴Chairperson @wasterecyclertz CEO @zaidirecyclers I Evangelist @takaniajira F/ Member @TanzaniaSA looking to invest in a genuine startup
Tanzania
Joined June 2009
- Tweets6.3K
- Following4.9K
- Followers2.1K
- Likes6K
Pinned Tweet
Wow, this just came as a surprise, by the way this is our first high-level recognition in Tanzania 🇹🇿. We thanks God, our Zaidi team, all our supporters, the team who prepared this event, the government 💚💙❤️♻️🇹🇿
@takaniajira @zaidimotoex #ZaidiApp #WastePickersApp #TPSDAY2022
Eng. Allen M Kimambo retweeted
Eng. Allen M Kimambo retweeted
Mkurugenzi Mkuu wa NEMC, Dkt. Immaculate Sware Semesi, ameipongeza Kurugenzi ya Tafiti za Mazingira kwa mchango wake katika kufanikisha mchakato wa kupata ithibati ya GCF, akiwataka watumishi kuendelea kufanya kazi kwa weledi na ushirikiano ili kuimarisha mafanikio ya Baraza.
Eng. Allen M Kimambo retweeted
NEMC inashiriki katika Mkutano Mkuu wa 12 wa AFROSAI-WGEA ulioandaliwa na Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) unaohusu Ukaguzi wa Mazingira. Mkutano huo umeanza Oktoba 26 hadi 30, 2026 katika ukumbi wa Pan African Postal Union International Conference Centre (PICC), jijini Arusha.
Eng. Allen M Kimambo retweeted
NEMC na IUCN zasisitiza kuimarisha ushirikiano katika Uhifadhi wa Bahari na rasilimali zake kwa matumizi endelevu pamoja na kukuza Uchumi wa Buluu. Msisitizo huo umetolewa wakati wa kuhitimisha Jukwaa la Taifa la Usimamizi wa Bahari lililofanyika Dar es Salaam, Oktoba 16, 2026.
Eng. Allen M Kimambo retweeted
NEMC kwa kushirikiana na IUCN zimeandaa mkutano wa Tanzania Ocean Governance Forum unaofanyika Oktoba 15–16, 2026, Ramada Hotel, Dar es Salaam ukiwakutanisha wadau kutoka taasisi za serikali na zisizo za kiserikali kujadili usimamizi na utawala endelevu wa bahari nchini Tanzania
Eng. Allen M Kimambo retweeted
Two Tanzanians got invited to meet King Charles and Queen Camilla tonight.
Eng. Allen M Kimambo retweeted
Ziara ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni akikagua hali ya mazingira ya Mto Ng’ombe uliopo katika Manispaa ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam Oktoba 11, 2026.
#MazingiraYetuUhaiWetu
Eng. Allen M Kimambo retweeted
Powering Tanzania's Startup Ecosystem at the Africa Power & Energy Expo! 🚀🚀
TSA was honored to attend the opening ceremony as a VIP guest with Minister of Energy Hon. Dr. Juma Zuberi Homera. Massive policy shifts are opening unprecedented doors for clean tech startups.
TSA is bringing global innovations with local startup opportunities - unlocking potential in IoT, FinTech, smart metering, and clean energy solutions.
@wizarayanishati @jzuberihomera
@EXPOGR
#tsw #tanzaniastartup #startup #startupfounder
Eng. Allen M Kimambo retweeted
Kutoka Vodacom Tanzania 🇹🇿 hadi London Stock Exchange! 🚀
Ian Ferrao @ianferrao aliiongoza @VodacomTanzania kuingia sokoni, na leo ameiongoza Airtel Money kwenye IPO ya £5.3 BILLION!
Proud of Ian! 👏🏾
Inspiring kuona kampuni nyingine ya teknolojia ya Afrika ikiingia kwenye masoko makubwa ya dunia.
Africa is just getting started! 🌍🔥
Eng. Allen M Kimambo retweeted
Mzee wa Minyama @mshambuliaji anaelekea Morogoro kuungana na @asasrallyteam kwenye Mashindano ya Mbio za Magari. Ushindi unatarajia kuwa mkubwa kwa @asasrallyteam
Eng. Allen M Kimambo retweeted
NAFASI YA MWANANCHI KATIKA UTUNZAJI WA MAZINGIRA
#TunzaMazingira
#LindaTaifa
Eng. Allen M Kimambo retweeted
Daktari Bingwa na Dada wa Kitawa, Sr. Dkt. Sarah Kahumbya Deogratius, ambaye ni Mkurugenzi wa Hospitali ya Kardinali Rugambwa, Tanzania, ametangazwa kuwa mshindi wa Tuzo ya Else Kröner Fresenius ya Ushirikiano wa Maendeleo katika Tiba kwa mwaka 2026.
Tuzo hiyo imetolewa kwa kutambua mchango wake katika kuimarisha utambuzi na huduma za kifafa kwa watoto wenye ulemavu nchini Tanzania.
Tuzo hiyo inayotolewa kila mwaka na Taasisi ya Else Kröner- Fresenius-Stiftung (EKFS), inalenga kutambua watu na miradi yenye mchango mkubwa katika kuboresha huduma za afya katika nchi zenye rasilimali chache.
Kwa mwaka 2026, tuzo hiyo imejikita katika huduma kwa watu wenye ulemavu na ina zawadi ya Euro 250,000, sawa na takribani dola za Marekani 286,975.
Taasisi hiyo imemtangaza Sr. Dkt. Deogratius kuwa mshindi wa mwaka huu kupitia mradi unaolenga “Kuimarisha Utambuzi na Huduma za Kifafa kwa Watoto wenye Ulemavu nchini Tanzania”, baada ya kupendekezwa na Evangelisches Krankenhaus Alsterdorf (EKA), taasisi ya afya kutoka Ujerumani.
Sr. Dkt. Deogratius ni Mtanzania, Dada wa Kitawa wa Shirika la Masista wa Mtakatifu Theresia wa Mtoto Yesu la Jimbo Katoliki la Bukoba, daktari wa tiba na mtaalamu wa afya ya jamii, ambaye ameunganisha wito wake wa kitawa na taaluma ya udaktari pamoja na uongozi katika sekta ya afya.
Ana Shahada ya Udaktari na amefanya masomo ya uzamili katika afya ya jamii na tiba ya magonjwa ya ndani. Pia amesajiliwa na Baraza la Madaktari Tanganyika.
Tangu alipoteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Tiba wa Hospitali ya Kardinali Rugambwa jijini Dar es Salaam mwaka 2016, Sr. Dkt. Deogratius amehusika katika kuimarisha utoaji wa huduma za afya katika hospitali hiyo, ikiwemo kuboresha huduma za uchunguzi, uendeshaji wa famasia na huduma za tiba za kibingwa.
Chini ya uongozi wake, hospitali hiyo imeendelea kujenga uwezo wa kutoa huduma kama kituo cha rufaa cha kikanda, huku kazi yake ikipanuka pia katika kuwahudumia watu wenye ulemavu, hususan watoto na watu wazima wanaoishi na kifafa.
Ushirikiano kati ya Hospitali ya Kardinali Rugambwa na Evangelisches Krankenhaus Alsterdorf ya Hamburg, Ujeruman
Eng. Allen M Kimambo retweeted
I had a chance to visit the The Bagamoyo Special Economic Zone and Eco Maritime City. It is a flagship development project designed to transform Bagamoyo into a major industrial, trade, and logistics hub along the Indian Ocean. Anchored by the planned Bagamoyo Port, the project envisions a large-scale special economic zone (SEZ) integrating manufacturing, warehousing, and export-oriented industries with modern infrastructure. Together, these initiatives aim to attract foreign investment, boost Tanzania’s role in global supply chains, and create jobs while positioning Bagamoyo as a strategic gateway for East and Central Africa’s trade. @InvestTanzania @Ofisiya_Rais_MU.
—————————————————-
Nilipata nafasi ya kutembelea Eneo Maalum la Kiuchumi la Bagamoyo. Huu ni mradi wa maendeleo wa mfano uliobuniwa kubadilisha Bagamoyo kuwa kitovu kikuu cha viwanda, biashara na usafirishaji kando ya Bahari ya Hindi. Ukiwa umejengwa kuzunguka Bandari ya Bagamoyo inayopangwa, mradi huu unalenga kuanzisha eneo kubwa la kiuchumi maalum (SEZ) linalojumuisha uzalishaji wa viwandani, maghala na sekta zinazolenga kuuza bidhaa nje kwa kutumia miundombinu ya kisasa. Kwa pamoja, mipango hii inalenga kuvutia uwekezaji wa kigeni, kuimarisha nafasi ya Tanzania katika minyororo ya thamani ya kimataifa, na kuunda ajira huku ikiiweka Bagamoyo kama lango la kimkakati kwa biashara ya Afrika Mashariki na Kati.
Eng. Allen M Kimambo retweeted
Huyu Jamaa inaonekana kwake ni kama mahabusu.
Hizi nyumba zinaficha mengi sana.
Eng. Allen M Kimambo retweeted
Buguruni ni kilomita 5 kutoka Posta na kilomita 3.7 kufika JNIA Airport, barabara ya mwendokasi imeshakamilika, barabara za mitaani, mifereji na taa zake zimeanza kujengwa, mradi wa viwanja vya michezo ya soka, basketball, Tennis, volleyball ushaanza pia, bado kuna nyumba za zamani za bei affordable, fikiria kununua sasa, kujiepusha na kwenda kuishi kisemmvule. Usiseme sikukuambia!
Eng. Allen M Kimambo retweeted
Bridging the Gap: Bringing Local Tech Innovations to Government Digitalization 🚀🚀
The Tanzania Startup Association (TSA) recently engaged in a strategic dialogue with the e-Government Authority (eGA) led by their Director General, Eng Benedict Ndomba, to unlock structured pathways for local tech startups to build, integrate, and deploy digital solutions within Tanzania’s public sector. During the session, eGA outlined the official evaluation framework including 11 specific evaluation criteria and established procurement/integration procedures that government entities use to assess, select, and adopt locally developed software solutions. For years, navigating public sector tech standards felt like a maze for early-stage companies.
TSA is changing that narrative:
1. Demystifying Compliance: Breaking down complex regulatory standards into clear, actionable guidelines so tech founders know exactly what eGA looks for.
2. Advocating for Inclusion: Ensuring local startups are seen as capable partners for national digital transformation, not just large traditional vendors.
3. Streamlining Collaboration: Creating a direct feedback loop between tech innovators and public institutions. When government standards meet local startup agility, everyone wins. . . .
@zahoro_muhaji @ega_tanzania @esther_mengi #startuptanzania #digitaltanzania #TSA #eGA #innovationinpublicsector #techecosystem – at Dar es Salaam, Tanzania
Eng. Allen M Kimambo retweeted
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yusuf Masauni, ameipongeza Bodi ya Wakurugenzi NEMC kwa utekelezaji wa majukumu ya Usimamizi na Uhifadhi wa Mazingira wakati wa ziara yake katika Ofisi za NEMC jijini Dar es Salaam Septemba 18, 2026
Eng. Allen M Kimambo retweeted
MAKAMU WA RAIS MHE. NDEJEMBI AAGIZA DAMPO LA PUGU LIBORESHWE, KERO ZA WANANCHI ZITATULIWE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, ameuagiza uongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam na Halmashauri zake kuhakikisha hali ya Dampo la Pugu inaboreshwa, huku akielekeza maeneo ya makazi yanayozunguka dampo hilo kupuliziwa dawa ili kuwalinda wananchi dhidi ya wadudu na kupunguza hatari ya magonjwa, hususan katika kipindi cha mvua.
Makamu wa Rais ametoa maelekezo hayo leo, Septemba 18, 2026, alipofanya ziara katika Dampo la Pugu linalotumika kukusanya taka za Mkoa wa Dar es Salaam ili kujionea hali halisi ya eneo hilo na kusikiliza kero za wananchi wanaoishi maeneo ya jirani.
Aidha, ameelekeza kuandaliwa kwa mpango kazi wa pamoja utakaoainisha hatua za haraka na za muda mrefu za kukabiliana na changamoto za uendeshaji wa Dampo la Pugu pamoja na kero zinazowakabili wananchi wanaoishi katika maeneo yanayolizunguka, ikiwemo kutopuliziwa dawa za kuua wadudu.
Akiwa katika dampo hilo, Mhe. Ndejembi ameonesha kutoridhishwa na kutofautiana kwa takwimu kuhusu kiasi cha taka zinazokusanywa na kupelekwa katika Dampo la Pugu kila siku kutoka maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Dar es Salaam.
Kutokana na hali hiyo, amezitaka mamlaka zote zinazohusika kukaa pamoja, kuhakiki na kuweka takwimu sahihi zitakazokuwa msingi wa kupanga na kutekeleza hatua madhubuti za kuboresha usimamizi wa taka jijini Dar es Salaam.
“Hatuwezi kutatua changamoto za eneo hili bila kuwa na taarifa na takwimu sahihi. Hawa wananchi mnaowaona wamechoka na stori; wanataka kuona kazi,” alisisitiza Makamu wa Rais.
Makamu wa Rais amesema wananchi wanatarajia kuona matokeo ya moja kwa moja ya hatua zinazochukuliwa na Serikali, hivyo amewataka viongozi na taasisi husika kuharakisha utekelezaji wa maelekezo yaliyotolewa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan za kuhakikisha kero za wananchi zinapatiwa ufumbuzi wa kudumu.
Makamu wa Rais amesema Serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni Serikali sikivu inayojali maslahi ya Watanzania na itahakikisha changamoto za watanzania zinatatuliwa kwa wakati.
Katika hatua nyingine, Mhe. Ndejembi ametoa siku saba kwa mawaziri wanaohusika na TAMISEMI, Maliasili na Utalii pamoja na Ardhi kufika katika maeneo husika na kutatua mgogoro wa muda mrefu unaohusu mipaka ya kiutawala na mpaka wa Msitu wa Kazimzumbwi, ambao umekuwa ukiwaathiri wananchi wa Pugu na maeneo ya jirani.
Changamoto hiyo imesababisha baadhi ya wananchi kutokuwa na uhakika kuhusu maeneo yao ya makazi kutokana na kutofahamika kwa mipaka ya kiutawala pamoja na mpaka wa Msitu wa Kazimzumbwi.
Makamu wa Rais ameelekeza mawaziri hao kufika wenyewe katika maeneo yenye mgogoro na, kwa kushirikiana na wananchi pamoja na wataalamu, kusoma ramani na matangazo rasmi ya Serikali (GN) ili kuweka wazi mipaka na kuwawezesha wananchi kutambua kwa uhakika maeneo yao.
“Waheshimiwa Mawaziri, nataka mfike wenyewe kwenye eneo hili kutambua GN za mikoa na mipaka ya Msitu wa Kazimzumbwi, kwani hii imekuwa kero ya muda mrefu. Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, anataka tutatue kero za wananchi; kwa hiyo naelekeza hili mkalifanyie kazi ndani ya siku saba liwe limeisha,” alisema Mhe. Ndejembi.
Awali, wananchi wa maeneo ya Mstafa, Viwege na Kinyamwezi walitumia fursa ya ziara hiyo kueleza changamoto mbalimbali zinazowakabili, zikiwemo athari zinazotokana na uwepo wa dampo, kutopuliziwa dawa za kuua wadudu katika maeneo yao, ukosefu wa maji kwa muda mrefu pamoja na migogoro ya ardhi.
Kwa upande wake, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila, ameahidi kusimamia kikamilifu utekelezaji wa maelekezo yote yaliyotolewa na Makamu wa Rais.
Miongoni mwa hatua zitakazotekelezwa ni kuboresha usimamizi wa Dampo la Pugu, kuweka utaratibu wa kila Halmashauri kutenga bajeti mahsusi kwa ajili ya uendeshaji wa dampo hilo, pamoja na kuimarisha upatikanaji wa vifaa na kuboresha miundombinu muhimu ili shughuli za dampo ziendeshwe kwa kuzingatia matakwa
Eng. Allen M Kimambo retweeted
kilimoAI is featured in Bill Gates’ “Heroes in the Field” series! I’m proud and excited that our simple AI tool, designed to help smallholder farmers detect crop diseases, is receiving global recognition @BillGates





















































