APRM Tanzania (@aprm_tz) header
APRM Tanzania (@aprm_tz) profile picture

African Peer Review Mechanism Tanzania is a specialized agency of the African Union & a pioneer self-monitoring tool for promoting good governance in Africa.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined April 2023
Photo by APRM Tanzania (@aprm_tz)Photo by APRM Tanzania (@aprm_tz)Photo by APRM Tanzania (@aprm_tz)Photo by APRM Tanzania (@aprm_tz)Photo by APRM Tanzania (@aprm_tz)Photo by APRM Tanzania (@aprm_tz)Photo by APRM Tanzania (@aprm_tz)Photo by APRM Tanzania (@aprm_tz)Photo by APRM Tanzania (@aprm_tz)Photo by APRM Tanzania (@aprm_tz)
Wishing you Merry Christmas and a Happy New Year 2026 #aprmtanzania #aprm
1
41
Katibu Mtendaji wa APRM Tanzania, Bw. Lamau August Mpolo, amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Vyuo Vikuu mbalimbali nchini Tanzania katika ofisi za APRM Tanzania zilizopo Jengo la Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, jijini Dar es Salaam.
1
3
225
Kikao kazi kati ya APRM Tanzania na Watumishi kutoka Kampuni ya Talanta International Limited chini ya Dkt. Josaphati KWEKA - Mshauri Kiongozi anayefanya zoezi la ukusanyaji wa takwimu kwa ajili ya kuandaa Kiashiria cha Utawala Bora cha APRM ( APRM Governance Index - AGI)
23
APRM Tanzania inaungana na Watanzania wote katika maadhimisho ya kumbukizi ya kifo cha Hayati Mwl J.K Nyerere.
14
Wawakilishi kutoka MCB Capital Markets - Mauritius, Mr. Rony Lam, Mkurugenzi Mkuu (CEO) wa MCB Capital Markets, na, Mr. Anish Goorah, Makamu Rais Mwandamizi wa Masuala ya Fedha (SVP – Corporate Finance) wa MCB Capital Markets ambao ni washauri wa miamala (transaction advisors) wa
1
98
APRM katika kuanzisha Wakala wa Utathmini wa uwezo wa nchi kukopesheka Barani Afrika (African Credit Rating Agency -AfCRA), wakiwa na watumishi wa Mamlaka ya Soko la Mitaji na Dhamana (CMSA). Hii ikiwa ni sehemu ya ziara ya washauri hao yenye lengo la kukutana na wadau mbalimbali
1
31
A productive meeting between Mr. Lamau August Mpolo, Executive Secretary of APRM Tanzania, and Managing Director of CRDB, Mr. Abdulmajid Mussa Nsekela. #GoodGovernance #Collaboration #Progress #partnership
1
8
391
The APRM CEO joined the 2025 Chairpersons and CEOs Forum in Arusha from August 23–26, themed "Creating Sustainable Business Synergies in a Global Competitive Environment – The Role of SOEs." Opened by H.E. Philip Isdor Mpango, Vice-President of Tanzania, the Forum convened over
1
3
6
404
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mh. Balozi Said S. Mussa ameupokea ujumbe wa Wataalamu wa Masuala ya Uwezo wa Nchi kukopesheka Kimataifa (Credit Ratings) kutoka Sekretarieti ya APRM.
1
3
200
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mh. Balozi Said S. Mussa ameupokea ujumbe wa Wataalamu wa Masuala ya Uwezo wa Nchi kukopesheka Kimataifa (Credit Ratings) kutoka Sekretarieti ya APRM.
5
84