BRIGHT MASAMBU (@brightmasambu) header
BRIGHT MASAMBU (@brightmasambu) profile picture

Fashion entrepreneur. Tailor. Luxurious custom suits. Sales enthusiast. Story teller. CONTACT: +255 715 661 763 [email protected]

Mbezi beach, Dar es Salaam
Joined March 2015
Photo by BRIGHT MASAMBU (@brightmasambu)Photo by BRIGHT MASAMBU (@brightmasambu)Photo by BRIGHT MASAMBU (@brightmasambu)Photo by BRIGHT MASAMBU (@brightmasambu)Photo by BRIGHT MASAMBU (@brightmasambu)Photo by BRIGHT MASAMBU (@brightmasambu)Photo by BRIGHT MASAMBU (@brightmasambu)Photo by BRIGHT MASAMBU (@brightmasambu)Photo by BRIGHT MASAMBU (@brightmasambu)Photo by BRIGHT MASAMBU (@brightmasambu)
Not all good in Europe are also good in Africa
In other news. Billionaires in western countries wanalose reputation na their wealth for cheating on their wives. Bongo you will be celebrated
127
Never mess na wabongo kwenye kauli
Room of Jeans wote kama mmemkataa.
146
Swali la msingi ni je katika huo mwaka mwingine utakaousubiri, utakua ukiingia darasani na wanafunzi wa mwaka husika ili ujiandae kutahiniwa nao?
Chuo cha UDSM kimeondoa Sup and special kufanyika mwezi wa Tisa kwahiyo uki sup paka mwaka mwingine wa masomo ndio utaenda kusapua na madogo wakati wanafanya semister examination.🤠 Na hili uendele mwaka mwingine wa masomo na hizo sup zako lazima uwe na GPA ya 2 kwenda juu hawacheki na mtu. Nasikia SUA hii system ipo toka 2023 lakini huwezi fananisha ugumu wa chuo cha kilimo na UDSM.
3
1
178
Naam tajrii hasa upate Egyptian linen
Huu wakati wa joto kali nguo zinazofaa ni cotton 💯 pamoja na linen… Ila hizi Polyester sijui Shifoni shifoni zinaumiza sana.
1
139
Oyaa 😂😂😂😂😂
Ukiona mtu kafikia hatua ya kuwa komandoo mheshimu sana anakuwa kapitia mafunzo mengi magumu na kavumilia mengi. 2015 nilikuwa na mwanangu mmoja anaitwa Chuma Miringe jamaa alikuwa ni mtu wa mazoezi sana mpole kiasi ila ukimchokoza dakika mbili tu anaweza badilika na kuwa kama simba mkali. Nakumbuka wakati ule lilitokea tangazo la nafasi za kujiunga na jeshi, Tulituma maombi wote tukaitwa mpaka kwenye usahili sema mimi sikutoboa kwa kuwa nyayo zangu hazikuwa na uvungu mwanangu Chuma Miringe akatoboa. Nikamtakia kila la kheri kuelekea kwenye mafunzo ya kuwa mwanajeshi, Jamaa alipotea ghafla walivoanza mafunzo lakini baadae alikuja kunitafuta kuwa anaelekea kumaliza kozi nitokee kwenye mahafali yake Msata pale . Nikafika siku ya sherehe jamaa nikaona kapewa zawadi mbalimbali ikiwemo zawadi ya kuwa mlengaji bora wa shabaha nikajisemea hakika jamaa kapambana sana. Haikupita muda mrefu akanambia tena anaenda kozi huko 92 nikamtakia kila la kheri akanambia hiyo kozi ni ya wanaume tu hakuna mwanamke huko. Nikamuuliza huogopi mbona hiyo inaonekana ya moto sana akasema haogopi kitu. Lijamaa likajiunga na hao 92 huko nikawa silipati hata kwenye simu hadi nikawa naogopa kuwa au jamaa ashaenda kwa Mungu Baba. Baadae sana akaja kunicheki kuwa tukutane nae Arusha pale , Aloo siku naonana nae jamaa sura ilikuwa imekomaa kama kisiki cha mpingo mwili umekuwa mdogo mdogo ila sasa umekomaa kama mbuyu. Nashangaa jamaa ana rasta kama bob marley ndevu nyingi kama osama, Nikajua jamaa alikimbia mafunzo akanambia kwa sasa yeye ni special force. Tukaingia kwenye bar moja kugida safari lager mdogo mdogo, jamaa hadi kuongea kumebadilika anaongea kwa sauti kama ya kukoroma hivi huku na kule kuna jamaa pale bar akamchokoza kwa makusudi na akamtukana matusi ya nguoni. Nashangaa jamaa limetulia tu halikiwashi hadi nikatamani nimwambie si umfunde adabu huyu chali, Sasa yule chali alijichanganya kitu kimoja kikubwa sana alichukua safari lager ya jamaa akaimwaga chini. Oyaaa kumbe wale makomandoo wanafundishwa hadi kupandisha mizuka. Pale pale Chuma Miringe aliruka sarakasi fulani hivi nikashtukia tu yupo juu ya meza bro....Aliruka flying kick moja kama zile za don yen akapiga teke fulani hivi la karate likampiga yule chali kichwani. Kumbe chali ana gang ya watu kama ishirini hivi wakatokea kupambana na Chuma Miringe oyaaa...Chuma alikuwa anaruka mateke ya taikwondo kabisa kabisa teke moja lilikuwa linapiga hadi watu wawili. Afu hapo hatumii mikono ni mateke tu walichezea kipigo wale machalii kuna muda Chuma Miringe alikuwa anambaa ambaa na ukuta akirudi anarudi kama kimbola anawachukua teke wanarushwa juu na kuanguka kama viroba puuuh. Huwezi amini bila mimi kutuliza mizuka ya Chuma Miringe tungeokota meno mengi sana pale ndani. Ilibidi niite Chuma Miringeeeee....Utawauaaaaaa, Niliita kama ile Dj Mishizoooo....Utawauaaaa Ndio jamaa akapoa naona mikono inatetemeka tu, Machalii wote chini wanaomba tu misamaha. Badae tukiwa njiani nikamuuliza sasa ungewaua ingekuaje akasema mapigo aliyokuwa anapiga hayakuwa ya kuua yalikuwa ya kuwalegeza tu majanja. Baada ya miezi kadhaa jamaa tukapotezana nae mpaka leo sijui aliendaga wapi hatuwasiliani tena🫡
63
Akiwa na umuhimu utasave tu
I’m not saving any new phone numbers in my phone unless its work related😂 ni kukariri last 3digits and im good🙌🏽
1
158
Sio kila mtu ana ujasiri wa kua mkweli
Kuna siku nilikua juu ya mawe ile haswa ,nikampigia moja ya friend wangu ambae hua tunasaidiana na kushauriana mengi ,nikamuomba anisort 10k tu ,akanambia wife wake kasafiri na kaondoka na card but akitoka morning kwenda job atanisort kuna wakala atamuomba anitumie.
103
I am super humbled, @iamthatfemale I am all here for you
225
Joining other @Arsenal fans across the world to support our team to win their first ever #UCL 🏆
51
Naomba hii picha mjongeo kwa Whatsapp
Namna nimeingia kwa Mdosi leo 🏆
98
This is the polite reminder
Arsenal fans wenye mabosi mashabiki wa Man U kuweni makini huko maofisini kwenu. Mnaweza kutafutiwa sababu ndogo sana mkaumizwa.
1
32
Availability is more important than ability
38
Zanzibar ni destination kubwa ya utalii duniani na inapokea wageni wengi wanaoenda kutalii, uhitaji wa hotel hizo Zanzibar ni mkubwa kuliko Dar
Dar kuanzia kigamboni mpaka Bagamoyo ina Ufukwe mkubwa sana wa Bandari, na activities nyingi kuliko zanzibar… ila otea Zanzibar wana Hotel ngapi 3-5 stars zilizozalisha maelfu ya Ajira? 800 hotels
47
🤣🤣🤣🤣🤣
The dark side of it all is that unaanza biashara, jolly & passionate only to find out it's not making you any money 😂. Hapo ndio mchakato unapoanza, like where is the money? In Logistics? Entertainment/Events? Consultancy? FMCG? Real Estate? Before you know it ushakuwa Group.
65
Nyau la nje 🔥
Jitu la mtumba, hivi hapa tuliweka pesa ngapi wakubwa?
85
Itabidi nikuige asee
I discovered frying my bread in butter. Don’t know why it took me so long but I ain’t going back.
1
1
191
Waafrika hatupendani lakini ni wepesi sana kuwalaumu wazungu kwa matatizo yetu wenyewe
1
59
Hata mimi kaka
Aisee, nakuwa triggered kila nikiingia humu ndani…
1
119
Jocelyn yupi mkuu? Yupo humu?
Pumzika kwa Amani Jocelyn 🕊️ 💔
1
116
This is it 📌
"The issue is now clear. It is between light and darkness, and everyone must choose his side." G.K. Chesterton
2
410