Kim Jonny1 (@captainkimtz) header
Kim Jonny1 (@captainkimtz) profile picture

i love God my family fans of @Fcbarcelona @Manutd @azamfc

Dar es Salaam, Tanzania
Joined October 2021
Photo by Kim Jonny1 (@captainkimtz)Photo by Kim Jonny1 (@captainkimtz)Photo by Kim Jonny1 (@captainkimtz)
MATHAYO 7:3 3 Basi, mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe huiangalii?
3
4
sea never dry, man don cry 👊🏿
Ukichunguza kwa ukaribu asilimia kuwa ya watu wanaokukatisha tamaa, wao pia wamekata tamaa. Unaposhauriwa jambo chunguza, chunguza, chunguza tena. Wanasema akili za kuambiwa changanya na zako. Ukishindwa kuchanganya na zako. Utachanganyikiwa mbeleni good morning my people🌷
Hakuna uvivu unaogharimu sana kama uvivu wa kufikiri.
1
1
MAKOSA 7 ya Kuepuka Unapouza Bidhaa Kwenye WhatsApp STATUS Yako... . ....Kama Umekuwa ukipost bidhaa kwenye WhatsApp status yako kisha watu wakaishia Kuview Tu bila Kununua basi kuna uwezekano unafanya kosa mojawapo kati ya haya 7 . [MADINI TIME]👇🏻
278
1,187
72
2,504
mbona vivulushi vinapanda bila taarifa na mlisema kuna utaratibu maalumu kwani mnatuchukuliaje sie ety ajira hamtoi maisha mnapandisha @TCRA_Tz
watu hawata kukumbuka kwa ulicho wafanyia ila watakukumbuka kwa ulivyofanya wajihisi , uligusaje hisia zao #hisiazajohn
Kim Jonny1 retweeted
Hii ni kubwa sana
106
352
54
1,046
Kim Jonny1 retweeted
BADILI MAMBO 6 HAYA WANAWAKE WATAKUFWATA For Men only ~ Watu kama Julius Caesar, Theodore Roosevelt, James Bond, Thomas Shelby bila kumsahau Vladimir Putin ~Watu hawa wanaitwa Alpha Males ~ Wanaume wengi wanahitaji kua kama hao, na wanawake wengi wanahitaji kuwa na watu hao
119
659
25
1,454
and let us consider one another to provoke unto love and to good works: Hebrews 10:24
2
Kwenye nchi ya vipofu, mtu mwenye jicho moja ni mfalme
2
kwenye nyakati ngumu unazopitia usijione mpweke mja bali mwite mungu yu hai atakusaidia na yote yatapita we are happy again 🌷
2
nipo humble sana kuomba msamaha kwenye kosa ambalo nimetenda pia ni mwepesi sana kusamehe mtu akinikosea mala nyingine huwa napotezea tu but kama ukiona nimekukosea au nimekufanyia kitu ambacho hujapenda na sijakuomba radhi kwa muda basi jitafakari kozi sijaumbwa na moyo wa chuki
2
omba mungu akupe mwenza kwenye upendo na sio mapenzi God is good
2
kujifunza hakuna mwisho kwaio usiogope kuwa mjinga ila ogopa kuwa mpumbavu
2
Sometimes to win a race you have to stop running.”
2
huwezi tumikia mabwana wawili, kwaio utachagua kati ya mungu na pesa nice sunday you all
2
baniani hatukanwi 🌷
3
Usipo tambua giza, huta fahamu kuhusu nuru
3
Nakujua sikujui haifanyi nikuamini 🎵
1
3