My64impala๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ (@comanchechiefIV) header
My64impala๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ (@comanchechiefIV) profile picture

You piss me off I piss you off! Be fair even to the ones you don't like! The enemy of my enemy is my friend!

Off I-88 & Orchard Rd
Joined October 2020
Photo by My64impala๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ (@comanchechiefIV)Photo by My64impala๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ (@comanchechiefIV)Photo by My64impala๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ (@comanchechiefIV)Photo by My64impala๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ (@comanchechiefIV)Photo by My64impala๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ (@comanchechiefIV)Photo by My64impala๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ (@comanchechiefIV)Photo by My64impala๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ (@comanchechiefIV)Photo by My64impala๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ (@comanchechiefIV)Photo by My64impala๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ (@comanchechiefIV)Photo by My64impala๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ (@comanchechiefIV)
Bado @AirTanzania haijafaulu kiusalama kuweza kurusha/kutua ndege zake EU. Sasa wewe @MsigwaGerson njoo na ufafanuzi wako wa kisenge. ๐Ÿคฌ๐Ÿ˜ก๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ share.google/1tJXyso3YTE3ihpโ€ฆ โ€“ at Zionsville, IN
3
1
6
387
My64impala๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
Pumzika kwa amani ANGEL, Ndoto zako zimezimwa kama mshumaa na Dola katili ya Samia. Sisi tuliobaki tutaendelea kudai HAKI yako bila kuchoka, Waliohusika na kifo chako ipo siku watawajibishwa. Mwenyenzi MUNGU akupokee kwake Mbinguni, Afariji Familia na kuwapa moyo Mkuu.๐Ÿ’”
24
85
6
369
13,386
My64impala๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
Replying to @StoneSaphia
Na kwenye majina ya watu huwezi kuta mtu anaitwa Alhamis au Jumamosi ila ni jumanne pekee huitwa.
1
1
6
1,150
My64impala๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
This child did not choose to die. Samia decided to end her life. It will never end well. The blood of this young lady, killed by Samia, will catalyze the change to fight injustice. Samia will never settle; she will never find peace in her heart; she will continue suffering until her doomsday. @AmnestyEARO @amnestyusa @hakeemjeffries @WLCongress
1
7
1
15
486
My64impala๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
Protesters shout โ€œAbolish ICEโ€ at Homeland Security Secretary Markwayne Mullin who is testifying before the House Homeland Security Committee.
10
37
721
My64impala๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
From this day tume feki ya Chande ikaanza kufanya kazi behind the curtain. Samia and her goons could no longer allow the public to hear witnesses narrates on live Television the horrors and killings civilians were subjected by government security forces during #MO29
1
1
24
My64impala๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
๐Ÿ’” Bibi alipigwa risasi akiwa sebuleni kwake siku ya mauaji ya October 29, kisha akapelekwa mochwari akiwa bado hai! Akiwa huko, alikuta mochwari imejaa miili ya watu iliyolazwa sakafuni. Wauaji hawakubaki mitaani, waliwafuata watu hadi majumbani mwao. ๐Ÿ’” @SuluhuSamia unataka na Chadema bure hawa ndoo watu unatakiwa ukaridhiane nao
2
26
1
42
2,802
My64impala๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
Maryland Governor Wes Moore meets with Black Democratic Governors-elect
10
62
11
563
37,599
My64impala๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
Watakuja kukunanga mno
As a new wife, Iโ€™ve come to realise that men are actually very simple creatures! ๐Ÿ˜ญ Their primary needs are very simple: SEX, FOOD & PEACE OF MIND! ๐Ÿ˜‚ Every other thing is secondary. Omo! ๐Ÿ˜ญ
1
1
41

214
1,153
160
7,505
311,007
My64impala๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
Mungu amemrehemu hakufa ile Oktoba 29,2025, Mmepata adavatage sasa akiwa hospitalini MUMMALIZE akiwa Kitandani. Kwa kheri Angel ๐Ÿ‘‹๐Ÿ˜ญ MUNGU USINYAMAZE.๐Ÿ™
1
15
47
629
My64impala๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
Replying to @benfel67 @Mijeledi
Muuwaji ni Samia na genge lake. Acha kujitoa ufahamu. ๐Ÿšฎ๐Ÿ’ฉ โ€“ at Zionsville, IN
1
7
My64impala๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
Guys hii tume ya mara ya pili iliyoundwa imeundwa kwa mkakati wa kukusanya taarifa za mashahidi wote wa okt 29, 2025 na kuwauwa. Kaa chonjo, hakikisheni hamna mtu anayeenda kutoa ushahidi au malalamiko. Huu ni mkakati wa Serikali haramu
1
7
16
383
My64impala๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
Replying to @xlusako
Tumia mchana au asubuhi. ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚ โ€“ at Zionsville, IN
2
1
8
My64impala๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
Ujinga tu
Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju, anatarajiwa kuongoza maelfu ya Watanzania katika maombi maalumu ya kitaifa yatakayofanyika Novemba 20, 2026, City Park, Mbeya, kwa ajili ya kuliombea Taifa amani, umoja, upendo na mshikamano. Zaidi ya washiriki 500 wamethibitisha kushiriki.
6
8
325
My64impala๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
Replying to @MariaSTsehai
Meli iliyojengwa na Kampuni feki ya Bashite haiwezi kuwa na brake. Hii ni laana ya kuuwa Watanganyika 29 Oct kwa maslahi ya Abdul na Mama Yake. nitter.gq/TheCitizenTz/status/21โ€ฆ
The MV Mwanza passenger vessel struck a rock on Lake Victoria at around 10.30am on Wednesday while transporting stakeholders from the transport sector on a tour of the lake. instagram.com/reel/Df4ez3iO1โ€ฆ
1
6
314
My64impala๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
Replying to @MariaSTsehai
HIVI VITU VINATOKEA KWASABABU TUMEAMUA KUISHI NA INCOMPETENCE KUANZIA IKULU MPAKA KWA MFAGIA BARABARA.
3
5
1,062
My64impala๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
Replying to @StylishAMM
Kumbe ilibeba watetezi wa wauaji?
1
1
10
1,119
My64impala๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
Fursa imeongezeka! Lazima maandamano ya AFCON iwe kubwa kama makao makuu yatakuwa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‘Š๐Ÿฝ #NoJusticeNoAFCON
7
48
2
245
26,384
My64impala๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
Huyu mtendaji wa serikali hapo alikuwa anajadili nini kwa niaba ya Tanzania!? Hujawahil kutupatia ripoti! Mzee Kaguta ndo alitusanua! Nashukuru ume confirm kuwa Abdul ni mtendaji wa serikali ๐Ÿ‘Š๐Ÿฝ #TutaelewanaTu
Kwa vipindi tofauti, watendaji kutoka Tanzania na Uganda wamekuwa wakijadili utekelezaji wa makubaliano yetu. Leo, nikiwa katika ziara nchini Uganda, nimekutana na kufanya mazungumzo na mwenyeji wangu, Rais wa Uganda, Mheshimiwa Yoweri Museveni. Tumefarijika kuona hatua zilizopigwa katika utekelezaji wa makubaliano hayo, hususan katika sekta za biashara, miundombinu, nishati na usafirishaji. Nimemweleza na kuikaribisha Uganda kuungana na Tanzania katika juhudi za kuimarisha miundombinu ya usafiri na usafirishaji, ikiwemo upanuzi wa bandari, ujenzi wa meli, barabara, reli ya kisasa na usafiri wa anga, ili kurahisisha upatikanaji wa masoko ya kikanda na kimataifa. Aidha, nimempongeza Rais Museveni kwa hatua ya Uganda kuwa nchi ya kwanza kuanza ujenzi wa Ofisi za Ubalozi wake katika Mji wa Serikali wa Mtumba, jijini Dodoma, hatua inayotarajiwa kuhamasisha mataifa mengine kuwekeza katika eneo hilo.
1
13
67
7,888
My64impala๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
Replying to @smkami
HILI TAIFA LINAOMBEWA LIMEKUWAJE? AACHANE NA MAOMBI ANAPASWA AISIMAMIE HAKI
2
75