nafasi tulipo na gape la points ambazo aseno wametuacha hata kuwacheka unashindwa ila hii week ilikua nzuri sana😀😀
1
54
ngoja tuone kama na kwetu itafanya kazi hawa tasaf walikuwa na wachezaj kama 13+ NT😁😁
hii penalty ingekuwa ni upande wa pili nauhakika wasingepewa na mbappe kajua ni ya mchongo kapiga kwa mashabiki😀😀
76
sasa ubora wa aseno uko wap kama anaombea mpinzani awe dhaifu ndio akutane nae😀😀
Desire Doue kwa hii injury inaonekana kapata ACL
Kvara tayari ana ACL
Dembele ana Hamstring
Hakuna wakati mzuri wakupiga Hawa PSG Kama msimu huu
Hili dirisha la January watalishambulia sana
Leipzig warapandisha sana Bei kwa Antonio Nusa
43
danyombeumo retweeted
Leeda wamewapelekea sana moto Chelsea
Najiuliza huyu Alonso aliwezaje kuchukua bundesliga Tena bila kufungwa 🤣
EPL ni ligi inaumbua sana



















