
Generally talk a lot about #M4C #KatibaMpya #ManchesterCity #HumanRights #ChangeTanzania π A Business man- -C.E.O of Next Zone Shine Wear Group.
Nairobi
Joined April 2014
- Tweets212K
- Following1.9K
- Followers27.9K
- Likes269K
MMAREKANI MWEUSI π°πͺπΊπΈ retweeted
FREE ,FREE TUNDU LISSU NOW KUTOKA MOZAMBIQUE MAPUTO.
ASANTENI SANA WATU WA MOZAMBIQUE
MMAREKANI MWEUSI π°πͺπΊπΈ retweeted
Ujumbe wa Tundu Lissu kupitia kwa @Advocate_Kisabo
"Nina matumaini kwa ajili ya kesho, lakini pia nimejiandaa kwa hali mbaya zaidi. Hivyo, ikiwa mambo yatakuwa mazuri, nitaelekea moja kwa moja Arusha kumchukua kaka yangu na kumrudisha nyumbani. Ikiwa mbaya zaidi itatokeaπ
MMAREKANI MWEUSI π°πͺπΊπΈ retweeted
Usiku wa leo utakuwa mrefu na mgumu sana kwangu. My strong feeling ni kuwa hukumu itakuwa mbaya. Na state organs zinajua, 'NDIO MAANA POLISI WANATOA VITISHO'
MMAREKANI MWEUSI π°πͺπΊπΈ retweeted
Maombi yawe mengi sana ikibidi Tufunge na kuomba kwaajili ya Mpendwa wetu kipenzi chetu na Ndugu yetu TUNDU A LISSU π
MMAREKANI MWEUSI π°πͺπΊπΈ retweeted
Balozi WA Marekani kasema kesho atakua rada kwenye viunga kwa mahakama.
Dear Wananchi MATENDO ya UOVU wa ma POLISI na ma TISS dhidi ya CHADEMA haujawa kuisha
So UPENDO uwe mwingi miongoni mwetu tuhakikishe tunarudi salama majumbani baada ya HUKUMU
HAKIKISHA mtu wa pembeni yako unamfahamu hata kama unaona amevaa sare za chama kua muangalifu
LEO saa 8 USIKU hadi saa 9 USIKU mtu yeyote unaependa HAKI tukune kwa MAOMBI muda huo omba kwa Mungu wako unaejua huwa anakujibu ili HUKUMU ya Mhe lissu itoke kwa HAKI na sio Hila za samia na genge lake
MMAREKANI MWEUSI π°πͺπΊπΈ retweeted
UJUMBE WA MH @TunduALissu kutoka UKONGA βNinaendelea kuwa na matumaini kuhusu kesho, lkn pia nimejiandaa kukabiliana na habari mbaya. Hivyo, ikiwa mambo yataenda vizur, nitaelekea moja kwa moja Arusha kumpeleka kaka yangu nyumban lakini ikiwa vinginevo basi mapambano yataendelea
MMAREKANI MWEUSI π°πͺπΊπΈ retweeted
Kuna kila dalili MAAMUZI ya mahakama kesho juu ya MHE Lissu lengo lake kubwa ni kutukatisha TAMAA wanachadema na wapenzi wa HAKI.
Kinachotakiwa ni nini ndugu zangu?
Tayari MHE Lissu katuambia hana shida na mateso ambayo WAKOLONI WEUSI wataendelea kumpa, sisi wafuasi wake tunatakiwa kubaki imara kutokumuangusha kwenye msimamo wake wa kudai haki.
Ni ukweli usiofichika kuwa LISSU hana kosa, ila wanafanya haya yote kwasababu ya misimamo yake ya kisiasa na kupigania haki kwenye hili taifa.
Hatuhitaji kuumia na maamuzi ya kesho zaidi ya kuendelea kukaza maana tupo mwisho.
MMAREKANI MWEUSI π°πͺπΊπΈ retweeted
Exceptionally long night for us since independence. Good lucky, Idol. #FreeTunduLissu
Kama hii miaka 5 itakuwa ni Hukumu kweli BASI Mhe. LISSU alikuwa sahihi π― kusema MAHAKAMANI HAKUENDEKI kwa sababu ROSTAM alishasema kweli π― kuwa MAHAKAMA huwa zinapewa MAELEKEZO na Serikali kuamua kesi
Huo MUHIMILI wa MAHAKAMA Kazi wanayo KESHO π
MMAREKANI MWEUSI π°πͺπΊπΈ retweeted
π¨ UJUMBE WA MHE LISSU LEO KUELEKEA HUKUMU YAKE KESHO.
Anaandika wakili KISABO.
Nimetoka Gereza la Ukonga kuzungumza na Mhe. Tundu Lissu. Yuko salama na anawasalimia wote.
Mhe. Lissu amesema:
"Bado nina matumaini makubwa kuhusu kitakachotokea kesho, lakini pia nimejiandaa kukabiliana na hali mbaya zaidi.
Ikiwa mambo yatakwenda vizuri, nitaelekea moja kwa moja Arusha kumchukua ndugu yangu na kumrudisha nyumbani.
Lakini ikiwa mambo yatakwenda vibaya, basi mapambano yataendelea.
Huo hautakuwa mwisho wa dunia. Itakuwa ni mwanzo wa sura mpya katika mapambano ya kudai haki na demokrasia katika nchi hii."
Akaongeza:
"Ninaendelea kupata nguvu na moyo wa kupambana kupitia kauli ya mpigania uhuru maarufu wa Kenya, Koigi wa Wamwere, ambaye aliandika kitabu cha historia ya maisha yake kinachoitwa I Refuse to Die: My Journey for Freedom, yaani Ninakataa Kufa: Safari Yangu ya Kupigania Uhuru."
Mhe. Lissu amemalizia kwa kusema:
"TL INSOUMIS" β TUNDU LISSU HASALIMU AMRI!
#FreeTunduLissu
MMAREKANI MWEUSI π°πͺπΊπΈ retweeted
Tomorrow we are all standing in solidarity with Comrade Tundu Lissu.
#FreeTunduLissuNow #FreeAllPoliticalPrisoners































