dlightTZ (@dlight_TZ) profile picture

d.light manufactures&distributes solar lighting&power products designed to serve more than 2 billion people without access to reliable electricity. πŸ“ž0800750079

Arusha, Tanzania
Joined May 2020
Photo by dlightTZ (@dlight_TZ)Photo by dlightTZ (@dlight_TZ)Photo by dlightTZ (@dlight_TZ)Photo by dlightTZ (@dlight_TZ)Photo by dlightTZ (@dlight_TZ)Photo by dlightTZ (@dlight_TZ)Photo by dlightTZ (@dlight_TZ)Photo by dlightTZ (@dlight_TZ)Photo by dlightTZ (@dlight_TZ)Photo by dlightTZ (@dlight_TZ)
πŸ”œ Mgeni Anakuja... Je tupo Tayari kwa bidhaa yetu mpya kutoka d.light? 🧑 Tuambie unadhani ni nini kinakuja! πŸ‘‡ πŸ“ž0800 750 079 | au πŸ’¬ WhatsApp 0755 532 162 πŸ“² @d.lighttanzania | | πŸ“˜ dlight TZ Limited #MgeniAnakuja #dlightTZ #NuruYaMaisha
68
πŸ“’ Tuko Sokoni! Karibu tukuhudumie upate bidhaa na huduma zetu karibu yako – kwa ubora, uaminifu na urahisi wa upatikanaji! 🌟 πŸ“ž Wasiliana nasi: Piga 0800 750 079 || WhatsApp 0755 532 162 πŸ“#dlightTanzania #UmemeWaUhakika #Tanzania #HudumaKaribuYako
221
πŸ’‘ X1000 Pro – Furahia mwanga wa uhakika nyumbani au kwenye biashara yako kwa kutumia mfumo wa sola unaojumuisha: πŸ”… Taa 5 🎯 Motion Sensor Bulb πŸ”‹ Inachaji simu ⚑ Paneli ya Watti 40 β˜€οΈ Masaa 10 ya mwanga mkali Tupigie πŸ“ž 0800 750 079 au kwa whatsApp 0755 532 162 #dlight
110
Furahia maisha ya kisasa na Itel A80 – Chagua smart, simu yenye storage kubwa, kamera maridadi, na muonekano wa kuvutia! #dlightitelA80 #SimuMpya #SelfieMamboYake #1billionlivestobetransformed #dlightTanzania
62
Tunawatakia akina mama wote duniani Siku ya Mama yenye furaha, upendo na mwangaza! Asante kwa kuwa taa ya maisha yetu. #SikuYaMama #dlighttanzania #motherday
28
d.light Tanzania tunawashukuru wafanyakazi wote kwa juhudi, bidii na mchango wao mkubwa katika kujenga jamii na taifa. Tunaungana na Watanzania wote kuadhimisha siku hii muhimu kwa heshima na shukrani. Kazi ni heshima! #SikuYaWafanyakazi #LabourDay2025 #dlightTanzania
31
πŸ“±MGENI SOKONI! βœ… Betri ya kudumu πŸ”‹ βœ… Hifadhi kubwa βœ… Muundo wa kisasa πŸ’Ž Pata yako leo na uanze safari ya teknolojia iliyo bora na ya kuaminika! #SimuMpya #TeknolojiaKwaWote #dlightTanzania #lipapolepole
20
dlightTZ retweeted
TAREA is proud to announce @dlight_TZ as official exhibitor during the upcoming Renewable Energy Week Event 2025 on 28th-29th May at JNICC Participating in this landmark event can provide significant strategic advantages. Register via link πŸ”— lnkd.in/eWrDpHCg
2
2
38
Happy Easter from d.light! Tunawatakia Pasaka yenye furaha, amani, na baraka tele kwa Watanzania wote! Pasaka Njema! #HappyEaster #PasakaNjema #dlightTanzania #NuruYaMaisha #EasterBlessings
26
d.light inawatakia Wakristo wote Ijumaa Kuu njema. Tuchukue muda huu wa kutafakari juu ya upendo, msamaha, na tumaini jipya." #IjumaaKuu #GoodFriday #d.lightTanzania #dlighttanzania #d.light
28
πŸ’‘ Umeme wa Uhakika! πŸ’‘ Kwa biashara yako sokoni au nyumbani – usikubali giza likuzuie kufanikisha malengo yako! Fanya kazi zako bila stress ukiwa na Mwanga wa Uhakika! πŸ“ž Wasiliana nasi: 0755 532 162 | 0800 750 079 πŸ“#dlighttanzania #UmemeWaUhakika #tanzania
145
πŸ§ πŸ“± Changamsha akili yako! Jibu ni ngapi? Taja jibu sahihi πŸ‘‡ Simu hizi bomba zinapatikana kwa mpango wa Lipa Pole Pole kupitia mawakala wetu wa d.light! πŸ“ž Piga 0800 750 079 ujipatie yako leo! #JibuNiNgapi #dlightTanzania #SimuZaKisasa #PayGo
1
39
πŸ“±βœ¨ Jiachie ki-style na Tecno Pop 9! Simu ya kisasa yenye uwezo mkubwa na muonekano wa kuvutia. Lipa pole pole kupitia mpango wetu wa Pay Go! πŸ“ž Piga 0800 750 079 leo ujipatie yako! #TecnoPop9 #dlightTanzania #LipaPolePole #SmartLiving
63
πŸ“ž Karibu tukuhudumie – tupigie sasa 0800 750 079 Huduma zetu tunakuhakikishia urahisi na uhakika!
290
πŸ“± Selfika na Itel A70 Leo – Lipa Kidogo Kidogo! πŸŽ‰ πŸ”‹ Betri imara πŸ“Έ Kamera bora kwa selfies πŸ’Ύ Hifadhi kubwa kwa picha, apps na nyaraka zako πŸ›οΈ Pata sasa kupitia wakala wa d.light aliye karibu nawe. πŸ“ž Wasiliana nasi kwa 0800 750 079 – Uanze safari yako ya kidigitali leo!
76
πŸŽ‰ Tunatambulisha rasmi mgeni wetu mpya β€” X1000 Pro! 🌟 Mtambo huu wa kisasa unakuja na taa 5 zenye mwangaza wa kuvutia, ikiwa ni pamoja na taa moja ya usalama yenye sensor ya mwendo (Motion Sensor Bulb) πŸ“ž Tupigie sasa kwa 0800 750 079
1
23
Tunawatakia Mapumziko mema ya Karume Day Watanzania wote
25
Habari Njema , Mgeni Wetu Mpya Imefika! Jiandae kwa Ubunifu Mpya 🧑🧑🧑🧑
35
Usikose mechi kali Wikiendi kwa sababu huna TV! πŸ”₯ Jipatie TV ya inchi 32 yenye HD kwa bei rahisi na uhuru wa kulipa kidogo kidogo. πŸ“Ί ⚽ Wikiendi hii kuna mechi kaliβ€”hakikisha unaziona LIVE nyumbani kwako!
18
Miliki Itel A70 leo na ulipe kidogo kidogo. Simu Bomba ya Nguvu, yakijanja na uwezo mkubwa Wasiliana nasi sasa kwa namba 0800 750 079 🧑
29