Dr. Philip Isdor Mpango (@dr_mpango) profile picture

The official account of the Vice President of the United Republic of Tanzania馃嚬馃嚳

Dodoma, Tanzania
Joined October 2021
Photo by Dr. Philip Isdor Mpango (@dr_mpango)Photo by Dr. Philip Isdor Mpango (@dr_mpango)Photo by Dr. Philip Isdor Mpango (@dr_mpango)Photo by Dr. Philip Isdor Mpango (@dr_mpango)Photo by Dr. Philip Isdor Mpango (@dr_mpango)Photo by Dr. Philip Isdor Mpango (@dr_mpango)Photo by Dr. Philip Isdor Mpango (@dr_mpango)Photo by Dr. Philip Isdor Mpango (@dr_mpango)Photo by Dr. Philip Isdor Mpango (@dr_mpango)Photo by Dr. Philip Isdor Mpango (@dr_mpango)
Dr. Philip Isdor Mpango retweeted
Nawatakia Heri ya Pasaka @dr_mpango
13
115
7,555
Dr. Philip Isdor Mpango retweeted
Tunawapongeza Wanawake
7
1
38
3,217
Dr. Philip Isdor Mpango retweeted
It is with great sadness that I learned of the death of one of the most influential political leaders of USSR/Russia, Mikhail Gorbachev. He will be remembered globally as an outstanding peacemaker and statesman. May his soul rest in eternal peace. Amen.
291
274
16
2,673
Dr. Philip Isdor Mpango retweeted
It is with great sadness that we learned of the passing away of former Angolan president Jos茅 Eduardo dos Santos. We have lost a brother, an African liberation fighter and peace maker.
259
297
26
3,118
Dr. Philip Isdor Mpango retweeted
I am deeply shocked and saddened by the tragic death of Shinzo Abe. The former Prime Minister of Japan was a giant on the world stage. My deepest condolences to his family and the people of Japan.
356
606
39
5,783
Dr. Philip Isdor Mpango retweeted
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango @dr_mpango, Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na Viongozi mbalimbali wa Serikali @venusnyota
18
31
5
269
Dr. Philip Isdor Mpango retweeted
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango @dr_mpango , Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na Makamu wa Pili wa Rais @venusnyota
26
60
4
387
Dr. Philip Isdor Mpango retweeted
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan awasili Zanzibar akitokea nchini Saudi Arabia mara baada ya kuhitimisha ziara yake ya Kiserikali nchini Oman, Mhe Rais Samia alipokewa na Makamu wa Rais Dkt.Philip Isdor Mpango @dr_mpango
14
38
135
Dr. Philip Isdor Mpango retweeted
Kheri ya siku ya kuzaliwa kwa Mheshimiwa Dkt. Salim Ahmed Salim, mtumishi mahiri wa umma wa Watanzania, Afrika na Dunia kwa zaidi ya miongo minne. Katika siku hii adhimu ya kumbukumbu ya miaka 80 ya kuzaliwa kwako, tunakushukuru kwa utumishi uliotukuka kwa nchi yetu.
469
486
28
4,520
Dr. Philip Isdor Mpango retweeted
My dear brother President @CyrilRamaphosa , I send you my well wishes for a speedy recovery.
578
411
28
4,517
Dr. Philip Isdor Mpango retweeted
Nakupongeza Mhe. Rais @DrHmwinyi kwa kutimiza mwaka mmoja tangu uingie madarakani kuwa Rais wa Nane wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Wazanzibar tuna imani na wewe na tunakutakia kheri katika kuijenga Zanzibar bora. Nakuahidi ushirikiano zaidi.
345
292
26
2,457
Dr. Philip Isdor Mpango retweeted
Baada ya majadiliano na viongozi wenzangu hapa Glasgow, Scotland ni matarajio yangu kuwa nchi zilizoendelea zitatekeleza ahadi zake za kutoa fedha kwa ajili ya kukabiliana na athari za kimazingira zilizoanza kujitokeza duniani ikiwemo Tanzania kutokana na mabadiliko ya tabianchi
775
440
65
3,553
Dr. Philip Isdor Mpango retweeted
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi nje ya Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma mara baada ya kuzindua rasmi kampeni ya Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya Uviko-19 leo
7
23
148
Dr. Philip Isdor Mpango retweeted
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango mara baada ya kumuapisha Jaji Omar Othman Makungu kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania leo tarehe 11 Oktoba, 2021 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
5
23
79