Emmanuel Daniel retweeted
So kariakoo ghorofa wanajenga usiku na vibarua hawazidi 6... zege inamwagwa na machines ,,,, technology nyie 💔kazi hamna
Emmanuel Daniel retweeted
Denzel trainer kwaiyo ndio akataka kuingia Uwanjani kisa kam train Doumbia, kwamba zoezi la siku moja ndio kafanya afunge 😂
Angejua Agosto wenyewe wameoza, pesa ya kujikimu tu hawana
Emmanuel Daniel retweeted
“Ukiondoa Simba na Yanga, wachambuzi wengine hawana kazi. Hawana uwezo wa kuchambua mpira wamebaki kuziongelea Simba na Yanga tu.” David Molinga
Unakubaliana nae?
Emmanuel Daniel retweeted
Ukimpa Gabriel Jesus kipaza sauti aeleze tofauti ya kucheza na Saka & Odegaard dhidi ya kucheza na Yamal & Fermin Lopez, ataanza kulia kabla hata hajaongea.
Emmanuel Daniel retweeted
Hawa Barca hivi ndio wataenda kucheza na PSG 😄
Opponent anashikia break kwenye box mmhmh 🤔
Emmanuel Daniel retweeted
Wanavyocheza Barcelona Uefa Champions league wasahau. Hi High line yao itawaumiza sana
Emmanuel Daniel retweeted
Hawa waandaaji wa Show ya Fally Ipupa mbona wanapandisha Bei za Tiketi bila kutushirikisha wadau? 😂
Emmanuel Daniel retweeted
Hii kamata kamata mpya na teka viongozi wa cdm pande zote za nchi inaashilia nini? Walifanya ivyo mwaka jana kabla ya Oct 29…….kuna hukumu ya Lissu tar 6 , kuna tume jinahi…… Haya matukio yatasaidia kudumisha amani? Just asking myself
Emmanuel Daniel retweeted
Ukweli usemwe , wanawake wengi ni wachoyo na wanajificha kwenye kivuli cha “women are not providers” , sidhani kama ni sawa 😒
Emmanuel Daniel retweeted
Kitu kimoja ninachokipenda sana kwa Simba ni jinsi wanavyomtanguliza Mungu katika kila jambo. Kabla ya mechi wanasali, na baada ya mechi wanamshukuru Mungu, bila kujali matokeo.
Bila Mungu sisi si chochote. Kila kipaji, uwezo na ushindi ni kwa mapenzi Yake. Allahu Akbar! ❤️🦁
Emmanuel Daniel retweeted
Man city nilioina Sec half Against PSG imenitisha mno, kama watacheza vile no one can stop them wasibebe Epl.
Emmanuel Daniel retweeted
Kuna mpira unakuja kwa kasi wa juu Nuno Mendes alivyouuwa chini tena kwa half turn …. Mamiyake
Shaw anavunjika na unamkuta MOI😀


















