ᥱ01 (@ercurry_) header
ᥱ01 (@ercurry_) profile picture

God Is Great/GTS.

else
Joined April 2024
Photo by ᥱ01 (@ercurry_)Photo by ᥱ01 (@ercurry_)Photo by ᥱ01 (@ercurry_)Photo by ᥱ01 (@ercurry_)Photo by ᥱ01 (@ercurry_)Photo by ᥱ01 (@ercurry_)
Rafiki yangu afya yake ilibadirika ndani ya siku mbili mwili wake akawa anatetemeka jana amepima kapewa dozi ila kingine ameambiwa aache kunywa juice hasa zile energy kaambiwa asinywe tena.
15
13
1
97
9,889
ᥱ01 retweeted
Ajari ya Titanic ya mwanza Leo 💔😳
17
35
4
245
36,412
Unauonaje huu mtego.
Replying to @ercurry_
Tena nawafanya kitoweo
2
1
52
Kuna muda nahisi ni Laana kuishi Africa.
34
ᥱ01 retweeted
Pumzika kwa amani Angle, moyo wangu umeumia sana kwenye hili 💔🕊
35
152
6
1,077
14,852
kuna manzi nilisomanaye chuo yule manzi alikuwa anasumbuliwa na vidonda vya tumbo usomaji wake ulikuwa wa tabu sana kuna muda ugonjwa ulikuwa ukikolea alikuwa analia mpaka anapoteza fahamu nilikuwa namuonea huruma sana.
4
1
1
13
290
Kwenye kutafuta haya matunda wengi tushashuka toka juu kwa mwendo usiofurahisha na kuacha makovu ya maisha! 😁.
32
31
1
117
3,935
ᥱ01 retweeted
Huyu jamaa amenitoa MACHOZI. Katumia lugha nyepesi sana kuelewesha watu. Usipomuelewa huyu jamaa basi. REPOST 200
27
512
3
1,951
51,889
Nimepata kazi ya kukaa kwa gari ionekane imejaa naanza kesho.
112
576
18
4,261
57,248
X wajuaji ,eti mwanaume akikwambia take care maana yake ni nini ?😂😂😂Kuna vitu sielewi aisee
91
71
22
272
16,378
Hata Msipotuchekea Tunaleta Hilo Li Grammy😁🫵
27
57
5
475
37,690
Android yangu natoka Tiktok naingia WhatsApp but bado video ya Tiktok inacheza kwa background
150
829
42
5,867
62,259
wewe jiulize tu, maisha yao yatakuwaje bila wewe!!.. kisha utagundua, watakula, wataenjoy na kuishi as if hukuwahi kuwepo, hivyo jipende, jijali na kufurahia maisha yako,..
22
41
2
344
8,812
Kudate mkaka wa miaka 30+ inabidi ujipange na ufunge mkanda wa ujasiri🙌 those uncles wako na hasira muda wote🥹💔
44
28
10
276
14,729
Viboki vimeondolewa shuleni nawaonea huruma walimu.
2
2
7
145
Mtoto kila siku anakula chips mara 3 kwa siku halafu mnacheka cheka tu ngoja tusubiri miaka 10 ijayo.
2
2
12
237
"babe ni sawa nililala kwake but hatukufak sana." 😭
70
426
20
3,089
42,770
ᥱ01 retweeted
Madeleka anauliza swali la muhimu sana hapa. Tuiamini tume huru ya uchaguzi (wakina MWAMBEGELE) au MAHAKAMA iliyoamuru Lissu afungwe Jela?
37
194
3
1,362
53,769
ᥱ01 retweeted
Mzee wetu Mhe @TunduALissu kila moment yake hua inafurahisha, Ni mzee ambae muda wote yupo happy Mwenyezi Mungu amlinde sana na kumpa moyo wa kuto kukata tamaa🙏
9
100
2
481
9,851
ᥱ01 retweeted
UJUMBE WA MUHIMU SANA HUU KWA WANACHADEMA KIPINDI HIKI. ASANTE MAKAMU @HecheJohn REPOST 200
33
524
6
2,098
34,871
Askofu Bagonza wa Kanisa la KKKT, Dayosisi ya Karagwe, aliyasema hayo Novemba 16, 2026, wakati akizungumza na kituo cha Wino Tanzania kuhusu taarifa za kutishiwa kuuawa, kupotezwa baada ya kutoa maoni yake. Nini maoni yako? Fuatilia zaidi jamii.app/BagonzaVitisho #JamiiForums #Uwajibikaji #HakiZaBinadamu
15
142
3
788
26,364