Day 12/100 Ya Kukukumbusha Kuiweka Biashara Yako Mtandaoni…
Usidhani Wateja Wote Wanajua Biashara Yako Kwa Sababu Tu Upo Mtaani Kwao.
Wateja Wengine Wanahitaji Kukuona Kwanza Mtandaoni.
Day 11/100 Ya Kukukumbusha Kuiweka Biashara Yako Mtandaoni…
Kama Unaweza Kupost Picha Yako Kila Siku, Lakini Unashindwa Kupost Bidhaa Zako, Kuna Kitu Hakiko Sawa Kichwani Mwako…Ahaaah!
Day 10/100 Ya Kukukumbusha Kuiweka Biashara Yako Mtandaoni.
Usisubiri Biashara Yako Iwe Kubwa Ndipo Uanze Kujitangaza. Hata Biashara Ndogo Inahitaji Wateja.
Na Wateja Wanahitaji Kuifahamu…Itangaze!
Day 9/100 Ya Kukukumbusha Kuiweka Biashara Yako Mtandaoni.
Kuna Watu Wanaweza Kuwa Wanahitaji Huduma Yako Leo, Lakini Hawajui Kama Upo.
Tatizo Sio Kwamba Hawahitaji Huduma Yako.
Tatizo Ni Hawakujui😂🫵
Sikuhizi Upendo Imekuwa Ishara Ya Unyonge…
Bro, Ukipata Mtu Wa Kumpenda Mpende! Maana Mafanikio Yetu Yamefichwa Ndani Ya Upendo.
Inashangaza Sana Kuona Kuna Wafanyabiashara wengi Hutumia Muda Mwingi Kutengeneza Bidhaa, Lakini Muda Mfupi Sana Kuelewa Wateja.
Waelewe Wateja Wako Kwanza.🫵
Day 8/100 Ya Kukukumbusha Kuiweka Biashara Yako Mtandaoni.
Unaogopa Kupost Biashara Yako Kwa Sababu Watu Watakuonaje ?
Lakini Kumbuka Huo Woga Hautokulipia Kodi Wala Kukuletea Wateja.
Day 7/100 Ya Kukukumbusha Kuiweka Biashara Yako Mtandaoni.
Mteja Hawezi Kununua Kitu Ambacho Hajui Kama Unacho.
Acha Kufanya Biashara Yako Kuwa Siri.
Iweke Mtandaoni! Ionyeshe! Fanya Watu Wengi Waijue!
Day 6/100 Ya Kukukumbusha Kuiweka Biashara Yako Mtandaoni.
Unaweza Kuwa Na Bidhaa Bora Kuliko Washindani Wako, Lakini Kama Wao Wanajitangaza Na Wewe Hujitangazi, Usishangae Wao Kujulikana Zaidi Yako.
Day 5/100 Ya Kukukumbusha Kuiweka Biashara Yako Mtandaoni.
Kila Siku Unatumia Internet Kuangalia Maisha Ya Wengine.
Je, Biashara Yako Inapata Faida Gani Kutokana Na Internet Hiyo ?
Day 4/100 Ya Kukukumbusha Kuiweka Biashara Yako Mtandaoni.
Usiwe Unalalamika Wateja Wamepungua Wakati Hata Hujawahi Kuwaonyesha Watu Wengi Unachouza.
Post Mtandaoni, Biashara Yako Inahitaji Kutangazwa!
Day 3/100 Ya Kukukumbusha Kuiweka Biashara Yako Mtandaoni.
Una Biashara,Una Bidhaa Na Una Huduma Nzuri.
Lakini Ukurasa Wako Wa Instagram Una Followers 12 Na Post Tatu Za Mwaka Jana.
Unataka Wateja Wakupate Kwa Njia Gan Labda ?
Day 2/100 Ya Kukukumbusha Kuiweka Biashara Yako Mtandaoni.
Kuna Watu Wanauza Bidhaa Kama Zako Na Wanapata Wateja Kupitia Mitandao Ya Kijamii.
Wewe Bado Unasubiri Watu Waje Dukani.
Utafanya Hivi Mpaka Lini ?
