Na Ukicheka Na mtu Wangu Alafu After Some Days Aanze Kukutext Akikwambia Mkutane, Ujue Ni Mimi Nakuita Nikupige๐โ๏ธ
jichanganye๐๐โ๏ธ
Waliojichubua na hili jua na hili joto, Kuna harufu flan huaga wanatoa arrrgh sijui wanaolala nao inakuaje๐ฎ๐ฎ๐๐
Ogopa sana kumwambia mtu yeyote โHuna cha kunifanyaโ hata kama huyo mtu hana cha kukufanya kweli.
Kuna hii una gombana na mamtu harafu wewe ndio umezingu akikuita hili neno (vipi bro ) Aaaa !! mwanangu jua umezingua kinoma๐๐
Bro,Ulichukua uamzi gani pale besti ako mliekua mna heshimiana vizuri ukaja ukampimisha imani kidogo harafu akaka kunyima?? elewa swali jibu swali ๐๐
Nime mwambia na mpenda kaniambia Shukrani!! ๐๐ณ
Kwani ninyi huwa mnasemaje mbaka mna ambiwa nakupenda pia ๐๐
Bro to bro fanya yote ila usijaribu kuingua kwenye ๐za mwana mke alie jitengenezea life la kishua mwenyewe ni hivyo tuu ๐๐ค
Binti,Mungu ana kupea husband matilio kanyoka hana kipengele kabisa hakupi stress yeyote katulia ๐
Unakuja kupewa beki tatu msumbufu kama kifungashio!! asubuhi asubuhi utasikia dada me!! nataka kwenda nyumbani bibi ana umwaa sana apo una katoto mwaka moja ๐๐

