Peace starts at the grassroots! โ๐พ๐๏ธ In Mtwara, we are equipping women with conflict resolution skills and leadership training to transform their communities.
@globalimpactt
#EmpowerCommunities
#GlobalImpactTransformation
#WPSinAction
#GITImpact
#Tanzania
#Mtwara
GLOBAL IMPACT TRANSFORMATION ENGAGES IN YOUTH CLIMATE DIALOGUE AHEAD OF COP31
@globalimpactt (GIT) was pleased to participate in the Youth Climate Roundtable hosted by Her Excellency Ambassador Nicola Brennan @IrlEmbTanzania alongside @WomenInClimate_ providing an important platform for dialogue on Tanzaniaโs youth priorities and meaningful participation in the upcoming UN Climate Change Conference (COP31).
During the engagement, GITโs Executive Director @MkomwaSylvia had a constructive conversation with Ambassador Nicola Brennan, exchanging perspectives on the importance of strengthening youth leadership, inclusive climate governance and meaningful collaboration in advancing climate action.
The roundtable also featured the presentation of the Tanzania Youth Position Paper for COP31 by @WomenInClimate_ Founder and youth representative @SylviabayK followed by insightful discussions on climate adaptation and resilience, climate finance, clean energy and just transition, gender inclusion, climate-smart innovation, technology and biodiversity conservation.
We appreciate the Embassy of @IrlEmbTanzania Ambassador Nicola Brennan and Women in Climate Tanzania for creating this important space for dialogue and collaboration.
Meaningful inclusive leadership, intergenerational collaboration and the active involvement of young people in shaping sustainable and resilient communities.
Young people must not only have a seat at the climate table; their voices, ideas and leadership must help shape the decisions that define our collective future.
#GlobalImpactTransformation #YouthClimateAction #COP31 #ClimateJustice #GITImpact
10
#Repost @nipashetz with @use.repost
ใปใปใป
Madereva bodaboda na bajaji mkoani Mbeya, wametambuliwa kuwa miongoni mwa makundi muhimu yanayoweza kusaidia kuimarisha amani na kuzuia migogoro katika jamii kutokana na mwingiliano wao wa kila siku na watu wa makundi mbalimbali.
Kutokana na nafasi hiyo, vijana wanaofanya shughuli hizo katika Kata za Iyela na Ruanda jijini Mbeya wamepewa mafunzo kupitia Mradi wa Vijana Peace Lab, yaliyolenga kuwajengea uwezo wa kutambua viashiria vya awali vya migogoro, kutoa taarifa kwa wakati na kuepuka kusambaza taarifa zisizothibitishwa.
Akizungumza wakati wa kuwajengea uwezo vijana wa kundi hilo, Mkurugenzi wa Empower Youth Prosperity (EYP) Dk. Ipyana Mwakyusa amesema wanashirikiana na Global Impact Transformation (GIT), Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) na Serikali kupitia Ofisi ya Rais, Maendeleo ya Vijana, katika ujenzi wa amani na mshikamano wa kijamii.
Amesema kupitia mafunzo hayo, washiriki wamejengewa uelewa kuhusu umuhimu wa kuheshimiana, kuvumiliana, kutumia mazungumzo kutatua migogoro na kutoa taarifa sahihi kupitia mifumo inayotambulika na mamlaka husika, badala ya kuchochea taharuki kwa kusambaza uvumi.
โUmuhimu wa kuwashirikisha waendesha bodaboda na bajaji unatokana na nafasi yao ya kukutana na watu wengi katika maeneo mbalimbali, hali inayoweza kuwasaidia kubaini mapema changamoto zinazoweza kuathiri utulivu wa jamii na kuchangia kuzitatua kwa njia za amani.
โMradi huo unalenga kuendeleza ushirikiano na Serikali za Mitaa pamoja na viongozi wa jamii tumekusudia kuwafikia vijana 10000 kutoka kila kundi ili wawe sehemu ya suluhisho katika kudumisha amani endelevu, amesema Dk. Ipyana.
Imeandikwa| Grace Mwakalinga
Tembelea epaper.ippmedia.com kusoma gazeti lako au wasiliana nasi ๐+255 745 -700 710 au 0677- 020 701 kwa maelezo zaidi.
@undptz
#NipasheDigital #NipasheMwangaWaJamii #miaka30yakupashahabari #NipasheDigital
21
๐ MONDAY VIBES | VIJANA PEACE LAB! ๐๏ธ
Who said peacebuilding has to be all serious? Sometimes, it starts with a smile, shared laughter, teamwork and meaningful connections!
Through #VijanaPeaceLab, we are bringing young people and community members together to build trust, strengthen relationships and inspire collective action for peaceful and inclusive communities.
A little fun, stronger connections and a shared commitment to peace!
Happy Monday from the Vijana Peace Lab family!
@undptz @ProsperityYouth @globalimpactt
#VijanaPeaceLab #GITImpact #Peacebuilding #UNDP๐น๐ฟ
1
13
Our vision is to build informed, responsible and empowered communities where young people and local actors are not merely observers but active contributors to conflict prevention and sustainable peace.
The project is implemented by @ProsperityYouth (EYP) and @globalimpactt (GIT), with support from @undptz collaboration with the Government through the Presidentโs Office โ Youth Development.
#VijanaPeaceLab #EYP #GITImpact UNDPTanzania ๐น๐ฟ
1
33
๐๏ธ TUNATAMBULISHA MRADI WA VIJANA PEACE LAB โ MBEYA, TANZANIA!
#VijanaPeaceLab ni mradi unaolenga kuwawezesha vijana, waendesha Bodaboda na Bajaji, wasichana na wanawake kushiriki kikamilifu katika ujenzi wa amani, kuzuia migogoro, kusambaza taarifa kwa uwajibikaji na kutoa taarifa sahihi kwa wakati.
Utekelezaji wa mradi tayari umeanza katika Kata za Iyela na Ruanda,Mbeya kupitia mijadala shirikishi inayolenga kuimarisha uelewa, kukuza mshikamano wa kijamii, kupinga upotoshaji wa taarifa na kuhamasisha utoaji wa taarifa kwa uwajibikaji.
Mradi unatekelezwa na @ProsperityYouth (EYP) na @globalimpactt (GIT), kwa ufadhili wa @undptz kwa kushirikiana na Serikali kupitia Ofisi ya Rais โ Maendeleo ya Vijana.
INTRODUCING VIJANA PEACE LAB โ MBEYA, TANZANIA!
#VijanaPeaceLab An initiative designed to empower young people, boda boda and bajaji operators, girls and women to actively contribute to peacebuilding, conflict prevention, responsible information sharing and timely reporting.
Implementation has already commenced in Iyela and Ruanda Wards, through interactive training and community dialogues focused on strengthening awareness, promoting social cohesion, countering misinformation and encouraging responsible information sharing.
#VijanaPeaceLab #EYP #GITImpact #UNDPTanzania ๐น๐ฟ
2
92
๐๐ก๐ข๐ช๐๐๐๐๐ ๐ง๐ฅ๐๐ก๐ฆ๐๐๐ฅ ๐๐ก ๐๐๐ง๐๐ข๐ก: ๐ช๐ข๐ ๐๐ก ๐๐ ๐ฃ๐ข๐ช๐๐ฅ๐๐ก๐ ๐ช๐ข๐ ๐๐ก! ๐ฑ
Through our WELL Programme, we are demonstrating that the true impact of training lies not only in the knowledge acquired, but also in the knowledge shared.
Women from previous training sessions in Tandale and Manzese have now become trainers themselves, transferring their skills in alternative charcoal production to fellow women and girls within their communities.
This peer-to-peer learning approach is strengthening local capacity, promoting community ownership and creating a sustainable chain of knowledge where women are not just beneficiaries of training, but also trainers, mentors and agents of change.
By equipping women with practical skills and empowering them to pass on their knowledge, we are multiplying opportunities for economic empowerment and environmental sustainability.
One training creates knowledge. Knowledge shared creates many more opportunities.
This is how we build lasting impact: through women empowering women, one skill and one community at a time.
#WELLProgramme #KnowledgeTransfer #WomenEmpoweringWomen
๐ค Made with AI
Leadership, partnership and a shared commitment to advancing peace and inclusive development.
Our Executive Director, Sylvia Mkomwa, in a moment with H.E. Ambassador Liberata Mulamula, African Union Commission Special Envoy on Women, Peace and Security (WPS), reflecting the importance of collaboration, womenโs leadership and collective efforts to advance the Women, Peace and Security agenda across Africa.
At Global Impact Transformation (GIT), we believe meaningful progress happens when leadership, experience and collective action come together to build peaceful, inclusive and resilient communities.
Together, let us turn commitments into action and build a future where women are not only part of the conversation but are shaping decisions and leading change.
#GlobalImpactTransformation #AfricanUnion #WomenPeaceAndSecurity #WPS #WomensLeadership #Peacebuilding
๐ค Made with AI
1
46
WOMENโS LEADERSHIP IS NOT JUST ABOUT HAVING A SEAT AT THE TABLE; IT IS ABOUT SHAPING THE DECISIONS THAT DEFINE OUR COLLECTIVE FUTURE.
An inspiring moment at the Women, Peace and Security Parliamentary Conference, bringing together women leaders to reflect on the power of womenโs leadership in advancing peace, security and inclusive governance.
The discussions reinforced an important reality: women must be recognised not only as those disproportionately affected by conflict, but also as essential actors in conflict prevention, mediation, peace negotiations, decision-making and sustainable peacebuilding.
Womenโs leadership brings diverse experiences, perspectives and solutions that are critical to addressing the root causes of conflict and building resilient communities.
As we advance the Women, Peace and Security agenda, we must move beyond commitments and representation towards meaningful participation, influence and leadership at every level, from grassroots communities to national, regional and continental decision-making platforms.
When women lead, peacebuilding becomes more inclusive, representative and responsive to the realities of our communities.
#WomenPeaceAndSecurity #WomenInLeadership #WPSAgenda
GIT YASHIRIKI UFUNGUZI WA MKUTANO WA KIBUNGE WA WANAWAKE, AMANI NA USALAMA TANZANIA.
Timu ya @globalimpactt (GIT), ikiwa miongoni mwa wenyeviti wenza wa Muungano wa Wanawake, Amani na Usalama Tanzania #wpscoalitiontanzania imeshiriki katika ufunguzi rasmi wa Mkutano wa Kibunge wa Wanawake, Amani na Usalama (Women, Peace and Security Parliamentary Conference), unaowakutanisha viongozi wa Serikali, wabunge na wadau mbalimbali kutoka ndani na nje ya Afrika.
Mkutano huu ni jukwaa muhimu la kuimarisha ushirikiano, kukuza uongozi na ushiriki wenye maana wa wanawake katika michakato ya amani na usalama, pamoja na kuhimiza utekelezaji wa ahadi na maazimio yanayolenga kujenga jamii zenye amani, usawa na ustahimilivu.
Kupitia ushiriki wake, GIT inaendelea kusisitiza umuhimu wa kuhakikisha wanawake hawawi washiriki wa michakato ya amani pekee, bali wanakuwa pia sehemu ya kufanya maamuzi na kuunda mustakabali wa amani na usalama wa jamii zetu.
Amani endelevu haiwezekani bila sauti, uongozi na ushiriki madhubuti wa wanawake.
Karibuni Tanzania!
#GITImpact #WPS #WPSCoalitionTanzania #Peacebuilding
๐๐๐๐จ๐ก๐๐ ๐๐๐ก๐๐๐ก๐ ๐๐๐ ๐๐ญ๐๐๐๐ช๐ ๐ง๐๐ก๐๐๐๐!
๐ ๐๐๐ ๐ ๐๐๐๐๐๐, ๐๐จ๐ฅ๐ฆ๐ ๐ ๐ฃ๐ฌ๐! Safari inaendelea!
Jumamosi, wanawake na wasichana wa Tandale na Manzese walishiriki mafunzo ya kutengeneza mkaa mbadala kwa kutumia vitu asili. Mafunzo yaliendeshwa na wenzao waliohitimu mafunzo ya kuwa wawezeshaji (ToT), ambao sasa wanashirikisha ujuzi wao na wengine.
Vikundi hivi hutengeneza mkaa kwa matumizi ya nyumbani na pia kwa ajili ya kuuza ili kujipatia kipato. ๐๐๐ฟ๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ผ๐ป๐ด๐ฒ๐๐ฎ ๐ธ๐ถ๐ฝ๐ฎ๐๐ผ ๐ป๐ฎ ๐ธ๐๐ฐ๐ต๐ฎ๐ป๐ด๐ถ๐ฎ ๐๐๐๐ป๐๐ฎ๐ท๐ถ ๐๐ฎ ๐บ๐ฎ๐๐ถ๐ป๐ด๐ถ๐ฟ๐ฎ!
Hadi sasa, tuna vikundi ๐ด katika mikoa mbalimbali, ikiwemo Tanga, Mtwara, Pwani na Dar es Salaam. Lengo letu ni kufikisha idadi ya vikundi ๐ญ๐ฌ ifikapo Desemba 2026.
๐ฆ๐๐๐๐ฅ๐ ๐๐ก๐๐๐ก๐๐๐๐๐! Jiunge nasi katika safari hii, wasiliana nasi kupitia [email protected]. ๐ค
#GITimpact
Ushirikishwaji Jumuishi ni Msingi wa Mabadiliko Endelevu. ๐ค๐
Tunaamini kuwa maendeleo ya kweli hayaachi mtu yeyote nyuma. Ndiyo maana tunazingatia ujumuishi katika programu zetu, kwa kuhakikisha kuwa watu wenye ulemavu wanapata fursa sawa za kushiriki, kujifunza, kukuza ujuzi na kunufaika na fursa za uwezeshaji wa kiuchumi.
Kupitia mafunzo yetu ya uwezeshaji wa kiuchumi tunashirikiana @fuwavita tukitambua uwezo, vipaji na mchango wao muhimu katika kujenga jamii yenye ustawi na uchumi jumuishi.
Tunaendelea kuendeleza fursa zinazowezesha kila mtu kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya jamii.
Maendeleo jumuishi ni maendeleo yanayomfikia kila mmoja. Hakuna anayeachwa nyuma.
#GITImpact #GIT #Ujumuishi #UwezeshajiWaKiuchumi
1
19
๐๐ฑ Hatua za Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi Zinaanzia Shuleni!
@globalimpactt tunaamini kuwa vijana wana nafasi muhimu katika kulinda mazingira na kujenga mustakabali endelevu. Ndiyo maana juhudi zetu za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi zinaanzia katika klabu za GIT mashuleni, ambako wanafunzi wanapata fursa ya kujifunza, kubadilishana mawazo na kuchukua hatua za vitendo katika kutunza mazingira.
Kupitia klabu hizi, tunawawezesha wanafunzi kuelewa athari za mabadiliko ya tabianchi na umuhimu wa kuchukua hatua kama vile kupanda na kutunza miti, kupunguza uchafuzi wa mazingira, kusimamia taka kwa njia endelevu na kuhamasisha jamii kuhusu utunzaji wa mazingira.
๐ค Ushirikiano ni msingi wa mabadiliko yenye tija. Tunashirikiana na wadau na washirika wetu katika kuimarisha elimu ya tabianchi, kubadilishana maarifa, kuendeleza ubunifu na kuwawezesha vijana kuwa sehemu ya suluhisho.
#GITImpact #ClimateAction #VijanaNaMazingira #KlabuZaShule
1
17
Taka ni Fursa!
Mkaa mbadala ni mojawapo ya njia nyingi za kubadilisha taka kuwa rasilimali zenye thamani. Kupitia W.E.L.L., wanawake na wasichana wanajifunza namna ya kutumia rasilimali zinazopatikana katika mazingira yao kubuni suluhisho endelevu kwa changamoto za kila siku.
Kwa ubunifu na ujuzi, tunaweza kupunguza taka, kulinda mazingira na kuendeleza fursa zinazochangia maisha bora katika jamii zetu.
Taka si mwisho wa matumizi, bali ni mwanzo wa fursa mpya!
#GITImpact #UtunzajiWaMazingira #Ubunifu #NishatiMbadala #MaendeleoEndelevu
Kupitia Mradi wa #SokaSalama Tunawekeza katika ulinzi, elimu dhidi ya Ukatili wa Kijinsia na mifumo imara ya kuripoti, ili kila mchezaji apate nafasi ya kukuza kipaji na kufikia ndoto zake.
#GITImpact #sokasalama #sokalawanawake #sokalawanawakenifursa๐ชโฝ๏ธ๐ฅ๐น๐ฟ
1
21
Kutoka kwenye Ahadi hadi Vitendo: Vijana Kuwa Kinara wa Mabadiliko! ๐น๐ฟ
@globalimpactt (GIT) inawakilishwa katika Mjadala unaoongozwa na Vijana kuhusu Afya ya Mama, Mtoto Mchanga na Mtoto, unaofanyika katika Jengo la PAPU Tower jijini Arusha. Afisa wetu wa Programu na Mawasiliano, @AnisaBiagio pamoja na Afisa wa Jinsia, #suraiya wanashiriki pamoja na vijana, wawakilishi wa serikali na wadau wa maendeleo kuimarisha ushiriki wa vijana katika maamuzi yanayohusu afya.
Mjadala huu unaangazia umuhimu wa kukabiliana na vifo vya kina mama na watoto wachanga vinavyoweza kuzuilika, mimba za utotoni, ukatili wa kijinsia na vikwazo vya upatikanaji wa huduma za afya ya uzazi na ujinsia. Changamoto hizi zinahitaji ahadi thabiti, sera jumuishi na hatua madhubuti zinazolinda afya, haki na ustawi wa vijana, kina mama na watoto.
#GITImpact #GlobalImpactTransformation #UongoziWaVijana #AfyaYaMamaNaMtoto #SRHR
1
19
@globalimpactt is honoured to have been engaged on the inaugural African Youth Climate Change Negotiations Training held in Dar es Salaam, Tanzania.
This initiative is a significant step towards empowering African youth with the knowledge and skills to actively participate in climate negotiations, influence decision-making, and contribute to shaping climate policies at national, regional, and international levels.
Meaningful youth participation is essential in addressing the climate crisis.@globalimpactt remains committed to promoting youth leadership, advancing climate justice, and supporting innovative, youth-led solutions for a more resilient and sustainable Africa.
#GITImpact #AfricanYouth #ClimateAction #YouthLeadership #ClimateJustice
11
๐ SAUTI ZA VIJANA, HATUA ZA TABIANCHI NA NJIA YA KWENDA COP31! ๐น๐ฟ
@globalimpactt (GIT) inajivunia kuwakilishwa na Afisa wetu @bleiz_.nchia katika Mkutano wa Kitaalamu wa Maandalizi ya COP31 (Pre-COP31 Technical Meeting), ulioandaliwa na @WomenInClimate_ kupitia mradi wa Vijana Pamoja, kwa ufadhili wa #irelandintanzania
Mwaka 2026 ni kipindi muhimu kinachodhihirisha uhusiano uliopo kati ya changamoto za mabadiliko ya tabianchi, upotevu wa bioanuai na uharibifu wa ardhi. Katika muktadha huu, mkutano huu unatoa fursa muhimu kwa vijana nchini Tanzania kujadiliana, kuweka mikakati na kuimarisha sauti yao ya pamoja kabla ya COP31, wakati wa mkutano huo na baada yake.
Kupitia majadiliano haya, vijana wanapata nafasi ya kuandaa matamko yao na kuimarisha ushiriki wao katika mijadala na maamuzi ya kimataifa kuhusu tabianchi, kuelekea mkutano wa COP31 utakaofanyika Antalya, Tรผrkiye.
@globalimpactt inaamini kuwa vijana hawapaswi kuwa watazamaji wa maamuzi yanayohusu mustakabali wao, bali washiriki hai katika kuunda sera, kutoa mapendekezo na kuchochea hatua madhubuti za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.
#GITImpact #VijanaPamoja #COP31 #HatuaZaTabianchi #MabadilikoYaTabianch
20
Some people donโt just inspire success; they transform hearts, renew minds, and help others discover what is truly possible.
Lisa and Doug, thank you for walking this journey with us from Cohort I to Cohort II through Inspiring Hearts. Beyond your incredible support and inspiring sessions, you are empowering young people spiritually to look beyond their limitations, embrace their purpose, and redefine the boundaries of success.
We are deeply grateful to have you as part of this vision. Together, we are building more than businesses; we are nurturing purpose-driven leaders ready to transform lives and communities.
This is only the beginning of another beautiful journey! We are excited for Cohort III next year and all the lives, dreams, and possibilities we will continue to nurture together. The best is yet to come!
#GITanzania #InspiringHearts #YouthEmpowerment #BeyondBoundaries
1
32
โฝSIKU YA MTOTO WA KIKE DUNIANI 2026 | SOCCER SALAMA
Soka ni zaidi ya mchezo; ni jukwaa la amani, usawa na uwezeshaji wa mtoto wa kike! ๐โจ
Katika kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Kike Duniani 2026, @globalimpactt (GIT), kupitia mradi wa Soccer Salama, kwa kushirikiana na Tanzania Women Football Association (TWFA), Tanzania Football Federation (TFF) na JKM Sports Park, iliunganisha nguvu na vipaji vya wasichana na wanawake vijana kupitia michezo, mazungumzo na ujumbe wa utetezi wa haki za mtoto wa kike.
Kupitia matembezi ya kuhamasisha amani na usawa pamoja na majadiliano, tulisisitiza umuhimu wa kulinda haki za wasichana, kuimarisha usalama wao, kupanua fursa za ushiriki katika michezo na kujenga mazingira yanayowawezesha kujiamini, kuongoza na kutimiza ndoto zao.
Linda haki zake. Wezesha ndoto zake. Mpe nafasi angโare! โฝ
#SoccerSalama #DayOfTheGirl2026 #GITanzania #GirlsEmpowerment
36






































































