mKigoma ⚓ retweeted
Msikiti huu twaswali hivi hivi na durusi zaendelea hivi hivi ila wasi wasi wetu ni matone ya mvua kuharibu vitabu vyetu Hali si shwari nimepambana ninefikia hapa hivyo mwenye kuwa na chochote basi tupupie kheri hii kwa kufunika ili tupate utulivu wa IBADA
Mwenye mbao,bati nk
Wakili kahonga jezi aise Daaah!..
Yaani imefika mpaka ifakara 😂
mKigoma ⚓ retweeted
#TANZANIA: KAULI ZA VIONGOZI HAZINA UKWELI, KUWA MKWELI USAMEHEWE, KUENDELEA KUTEKA HAKUWEZI KUTUFIKISHA SEHEMU NZURI- SHEIKH MNGODO
Sheikh wa Shura ya Maimamu, Abubakar Mngodo leo Oktoba 29, 2026 ameungana na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu kuomboleza vifo vya wananchi waliouawa wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 nchini Tanzania amesema kauli zinazotolewa na viongozi wa serikali zimejaa uongo na kwamba hawataki kukubali kuwa watu waliuawa wengine waliuawa wakiwa majumbani, amewataka viongozi kukili ukweli ili taifa lipate uponyaji badala ya kuendelea kuteka watu wanaosema ukweli.
Zaidi: youtu.be/H23WIdF7MQY
mKigoma ⚓ retweeted
📍VIPI MTU ANALINGANIA NA HAJASOMA?!
🎙️ SHEIKH ABUL FADHL QAASIM MAFUTA
حفظه الله تعالى ورعاه
📡 ISAIDIE JAMII KUFIKIWA NA UJUMBEE HUU MUHIMU – at Dar es Salaam, Tanzania
mKigoma ⚓ retweeted
Hamtotanguliza kheri isipokuwa mtaikuta kwa Allaah
Basi changia ujenzi wa marqaz hii ya Ahmad ibn hanbal
Watu wa kilosa mtendeni b wapate pakusemea Haq
Pakufundushia Haq na pakumuabudia Allaah kwa Haq
Mahtaji yetu ni mengi hivyo hatudharau hata jero
No ya kuchangia
0769141414
mKigoma ⚓ retweeted
Hiyo ni KIBRI, ambacho ni Maradhi ya Moyo hatari mno kwa Wanadamu & Majini, Humpelekea Mtu kutokupenda kabisa Haki na mwisho wa Kibri ni Fedheha & Kukutanana na Ghadhabu za 'Allāh Jālla Jalâluhū'.
























