I Haisam (@iHaiasm) header
I Haisam (@iHaiasm) profile picture

It's Good To Be Bad!

🌍
Joined February 2014
Photo by I Haisam (@iHaiasm)Photo by I Haisam (@iHaiasm)Photo by I Haisam (@iHaiasm)Photo by I Haisam (@iHaiasm)Photo by I Haisam (@iHaiasm)Photo by I Haisam (@iHaiasm)Photo by I Haisam (@iHaiasm)Photo by I Haisam (@iHaiasm)Photo by I Haisam (@iHaiasm)Photo by I Haisam (@iHaiasm)
*Assalam Alaykum -Tajiri "Mimi sio kwamba nina shida kubwa sana ya Pesa "Lakini naomba nisaidie Shilingi Elfu 20 [20,000/=] 😄 Sijataka kwenda DM "Elfu 20 -15K nataka kumtumia Mama [Bi' Mkubwa Anunue Kipaja Cha Kuku -Mboga ya Usiku)] 5K nibaki nayo Mimi.... *Wahadha Salam.
#TajiriLaKihaya Ukiwa FOLLOWER wangu- usipate Shida ndogo ndogo Kama hizi wakati nipo!
1
1
1
153
Kaka @m_flavianho huu ndio Ukristo aliouacha Yesu? Ndio maana nakuambia Ukiristo ni DINI YA WAZUNGU" Yesu hakuacha hivi na alikuja kwa Makabila 12 ya Wayahudi tu na WaIsrael @AfricanoGooner @EsirEid Wazungu wame-shape Ukristo na kuifanya ni Dini ile ile ya kutoka Israel
I was a Roman Catholic for 30 years before getting saved, and I can tell you with 100% certainty that Catholics worship Mary as their lowkey savior. 100%. Anyone who tells you different is lying to you. Jesus gets the lip service, Mary gets the praise and worship.
1
1
1
95
🇹🇿Tanganyika now Tanzania - Welcome "Dar es salaam" – Zanzibar" Tourist "Royal Tour" I Love You
I'm from Germany and you?? 🙈♥️
45
Yesu Pia Alitumwa kwa Watu Waliopotea ili awafundishe na sio Wale Waliokuwa Wanajua... Soma Vizuri Injili
Nashindwa kuwaelewa hawa 😂
1
1
45
I LOVE YOU: I'm sorry, sweetheart, don't worry, you will be okay. Leave those people alone who are hurting your heart. I love you. Stay close to me so I can show you and give you peace of heart, a beautiful woman like you."
This Post is from a suspended account. Learn more
2
48
*The Truth be Told - hata kama Watu Wataumia *Islam: Is for Arabs *Christian: Is for Whites/Wazungu *Judaism: Is For Jews With Evidence -kutoka katika hivyo hivyo Vitabu vya Dini I Believe in God/Allah/Eloah/LORD but i do not trust in Religions
#TajiriLaKihaya Mara Nyingi nkiona mtu kaComment Haamini DINI yoyote… sijui DINI zililetwa na Wazungu na Waarabu kutupumbaza… Huwa naenda kwenye profile yake na Search… 90% huwa wameshawahi kupost wanatoka au wanaenda kanisani na si mara moja😅
3
1
4
4
2,693
Hapa Afrika na huku kwetu Tanzania "Ipo na Inafanyika" wewe ndio hujaona. Sasa hapa ndio Tutaongea Lugha ya kuelewana >Hiyo ni Dini ya Asili ya Wazungu/ Amerika ya Kaskazini [Pagan] wakai-Include na Dini ya Ukristo [Kwa maana hiyo hiyo ndio maana nasema hivi Ukristo ni Wa Wazungu
Mwenye ujuzi na hii kitu anieleze nimeshituka sana kusikia kuwa eti nisherehe. Hizi ni sherehe za nini? Wanamsherehekea nani maana mambo yamekaa kishetani? Miaka ijayo hii italetwa hadi Afrika hii tusipokuwa nakini.
2
69
Na Walifanikiwa katika hilo Ukristo ambao ni Dini hasa: ni ule tunaoita "Nasara" Nasara maana yake ni sehemu aliyozaliwa "Nabii Isa" YESU - NAZARETH hivyo watu waliomfuata yeye ndio wakaitwa Nasara -na wenyewe umepotea/ Ndipo Ukristo/Paganism Ukaingia kuchukua nafasi ya Nasara
1
21
Watu wakafundishwa vya Dini ya Nasara na wakavichanganya na hivyo vyao vya Kipagani. UISLAMU: kwa sababu hauna hayo Mambo "Tunauona ni Mzuri" Lakini pia Uislamu SIO DINI YA KIAFRIKA "Uislamu ni Dini ya WAARABU"
1
13
Mnapenda Sana Kuwasema Waislamu wana Mambo ya Kijinga Angalieni Jibu la Grok @AfricanoGooner @EliabuDanford
Israeli religious schools avoid the “+” sign in math because it looks like a cross. @grok 
True or false? Take your time.
1
2
98
"I apologize for the interruption." Umeona sasa hapa Unawazungumzia "Waebrania" Lakini wewe kwenu ni Bukoba, Kyaka huko... Kwanini Uwasome Waebrania -kwenye ishu ya Dini" Ndio maana nasema Hizi Dini -Tumezivamia tu kaka 'Sio Zetu'
Kujua maana ya Imani nilitenga muda wa miezi 6, kujua practical faith, ile waebrania 11 kuielewa kiroho na kimatendo miezi sita nasoma, naomba mpaka nikafahamu jinsi ya kuiweka kwenye matendo. Bila kufuatilia vitu Roho Mtakatifu hakufunulii, ni mara chache sana. Akina Paulo walifatilia mambo. Wasomaji wakubwa.
2
198
Eh! ULAYA ya Morogoro Labda
Kinachotokea Ulaya ni mpango wa miaka 100, project Al-mashru [14 page document was drafted found in Switzerland], ulioasisiwa na Muslim brotherhood. Lengo ilikuwa ni kupenya na kueneza Ushawishi wa dini ya kiislamu kwa njia za kijamii na za kisiasa Ulaya yote. Hatimaye Dunia nzima. Miongoni mwa watu mashuhuri kwenye haya mawimbi ni Qaradawi, mkuu wa Taasisi Dunia nzima. Amekufa mwaka 2022 ndiye aliyetengeneza mpango wa kuivamia Ulaya kwa kutumia Ideologies[proselytizing] kupitia democracy. Mto umeanza. Na wataichukua Europe kwa muda kidogo ndipo upepo mwingine utakuja.
2
129
Kaka -Nilishawahi kukuambia kwamba "Sisi Waafrika Tumevamia Mambo ya Watu" Tunatakiwa Kuyaishi Maisha Yetu "Lakini tukaamua kuwafuata Waarabu' Wazungu' Wayahudi!
Utachagua wewe sanamu la kuabudu🫵
1
1
143
Ishu ni VITA Kaka -Haiangalii Nani wakati wa Kupigana (Basi ilikuwa na Africans au ni Jews)
Mipakani mwa gaza na israel kuna kibutz( izi ni agriculture villages ambazo most of student wanatrain uko kilimo). Casualties za kwanza baada ya hamas kuingia zilianza kutokea uko. The bus station niliokua natumia nikiwa nasoma uko waliuliwa more than 30 people. So ningekua na mm
1
90
Rest in Peace Mwamba" lakini kama ni kweli alikuwa anajihusisha na Ishu za Vita [Kwa maana ya kuwa alikuwa mpiganaji Vita katika Ukanda huo wa Gaza na alikuwa ni Miongoni mwa IDF >Huwezi kuwalaumu Hamas] kutafsiri Maneno yangu inabidi Uwe na Mtazamo
Hawa makuma wa Hamas walimuua wajina kikatili sana kmmk 😡
1
1
199
Mheshimiwa Waziri Mkuu Ndugu @mwigulunchemba1 Naomba kusema jambo kuhusu Madereva/ Leseni na Utaratibu KWANZA kabisa tunaposoma Vyuoni huwa kuna kuwa na Inspector wa Polisi kutukaguwa kwamba tumesoma na kuelewa kwa Nadharia na Vitendo (Darasani na Kuendesha Gari) na pia.../2
1
1
2
56
Kama kushtakiwa kulingana na Kosa husika -na ndio maana kuna Faini pia ziliwekwa na Jeshi la Polisi zile za Cheti cha Kosa ni Elfu 30 na zaidi. Ama: Kama hizo Point 15 za Leseni zikiwepo basi kama Dereva akifanya Kosa la Kukatwa Point 3 ziwe na Muda wa Kuisha "Mfano Point 3.../6
1
1
10
Zimekatwa katika Leseni yangu "Endapo sikuwa na Kosa ndani ys Mwezi/ Miezi 3 basi zile Point 3 zilizokatwa katika Leseni yangu zinarudi na kubaki tena Point 15.
1
8