Pinned Tweet
Kwenye maisha lolote linaweza kukutokea, unaweza kupata usilolitarajia na unaweza kukosa ulilolitarajia.🤒
Kikubwa Imani.
Hivi mmeshawahi kujiuliza kwanini Wachina wanapenda kutembea na mafurushi ya hela cash?🤔🤔
Hawa jamaa huwa wako mbele ya muda aisee🙌
Playlist ya weekend ni Rhumba za Koffi Olomide tu...🎼🎙️🔊
🔸 Aspirine
🔸Ikea
🔸Destination
🔸Etoile D Etat
🔸Eputsha
🔸Silivi
🔸 TChernobyl
🔸Desespoir
🔸Non assistance
🔸 Medicin de nuit
🔸Boulevard
🔸Fouta djallon
🔸Choc
Benie retweeted
Replying to @iambenjaminor
Juzi nimeshuhudia ile accident ya Iringa,kuna namna moyo ulivunjika.
The scary part of life is that any day can be the last day you talk to somebody, Be careful how you treat people...✍️✍️
Wewe uliambiwa nini kuhusu huyu ndege?🐦
Mimi niliambiwa akichukua nywele zangu kwenda kujengea kiota kichwa kitanigonga daily...🤔
37
"Siku zote watu wenye hatia ndiyo huwa WAOGA, watu wasio na hatia siyo WAOGA"...✍️✍️
Tundu Lissu 2026














