Mdada Creative Decor ๐Ÿ“๐Ÿ–Œ๏ธ๐Ÿ”จ (@immaculatepet14) header
Mdada Creative Decor ๐Ÿ“๐Ÿ–Œ๏ธ๐Ÿ”จ (@immaculatepet14) profile picture

Residential & Commercial Construction Electrical & Plumbing Gypsum, Tiles & Professional Painting Aluminium, Glass & Modern Finishes Your trusted 0685761032

Dar es Salaam, Tanzania
Joined December 2021
Photo by Mdada Creative Decor ๐Ÿ“๐Ÿ–Œ๏ธ๐Ÿ”จ (@immaculatepet14)Photo by Mdada Creative Decor ๐Ÿ“๐Ÿ–Œ๏ธ๐Ÿ”จ (@immaculatepet14)Photo by Mdada Creative Decor ๐Ÿ“๐Ÿ–Œ๏ธ๐Ÿ”จ (@immaculatepet14)Photo by Mdada Creative Decor ๐Ÿ“๐Ÿ–Œ๏ธ๐Ÿ”จ (@immaculatepet14)Photo by Mdada Creative Decor ๐Ÿ“๐Ÿ–Œ๏ธ๐Ÿ”จ (@immaculatepet14)Photo by Mdada Creative Decor ๐Ÿ“๐Ÿ–Œ๏ธ๐Ÿ”จ (@immaculatepet14)Photo by Mdada Creative Decor ๐Ÿ“๐Ÿ–Œ๏ธ๐Ÿ”จ (@immaculatepet14)Photo by Mdada Creative Decor ๐Ÿ“๐Ÿ–Œ๏ธ๐Ÿ”จ (@immaculatepet14)Photo by Mdada Creative Decor ๐Ÿ“๐Ÿ–Œ๏ธ๐Ÿ”จ (@immaculatepet14)Photo by Mdada Creative Decor ๐Ÿ“๐Ÿ–Œ๏ธ๐Ÿ”จ (@immaculatepet14)
Soap dishes Shower Jakuzi Choo Kama una plan ya kuweka hivi vitu kwenye nyumba yako hakikisha process zake unazianzia mwanzo kabisa wakati wa kusimamisha boma au baada tu ya kusimamisha boma
1
3
14
898
Muda wako ni mdogo,usiupoteze kwa kuishi maisha ya mtu/ watu wengine Morning from this side ๐ŸŒ„
1
4
245
Kwa nahitaji ya jiko lako,tupo ili tukutengenezee kitu bora kwa bei rafiki tu๐Ÿ‘
5
228
Hakuna kitu huwa kinauma kama mtu ajipige awezavyo afungue office yake/sehem ya biashara then ghafla tu iungue moto/kuvunjwa kuibiwa/au kutolewa kwa ghafla sehemu aliyowekeza
1
4
230
Mwanamke ni lango la ulimwengu wa roho,shetani alimuendea Eva/hawa na akauangusha ulimwengu. Mungu alimuendea Mariam na akaupata ulimwengu. Women! Be on guard โœ๏ธ
4
12
353
Ukileta kinyaa shinda njaa ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ™Œ
6
2
14
470
Katika pitapita zangu IG nikakutana na hii kitu weeeeeh๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ nasomaga za wanaume mara nyingi ila Leo nimeona hii ya wanawake itoshe kusema Mimi ni ka Malika kadogo aisee๐Ÿฅน๐Ÿฅน
2
2
394
Tufanye kuomba kuwa jambo la kawaida katika maisha yetu. Siku hizi watu hawana wivu tena na vitu vya mali pekee. Wanaweza kuwa na wivu kwa sababu ya haiba yako, namna watu wanavyokupenda na kukuunga mkono, pamoja na uwezo wako wa asili wa kuongoza. Ni vitu ambavyo pesa haiwezi kununua. #Morningfromthisside๐ŸŒ„
1
7
276
Ukimuuliza mwanaume kwanini ana cheat/ chepuka. Atakua na sababu 100 za kucheat as if anakila sababu ya kuhalalisha kosa lake kuwa Yuko sahihi. Kiufupi huwezi shindana na hii gender ๐Ÿšฎ Mungu alimuuliza Adamu umefanya Nini?badala ya kukiri kosa lake ila alianza kumlaumu hadi Mungu๐Ÿ˜€ kwamba ni huyu Mwanamke ulieniletea Wao kutupia lawama ni kawaida yao toka kuubwa
8
3
1
16
924
Ni tatizo kubwa sana Watu wenye akili huonekana wajinga kwa watu wa pumbavu
1
1
8
293
Hbd black beauty ๐Ÿ˜๐ŸŽ†
Happy Birthday to Me! ๐ŸŽ‚๐Ÿฅณ๐ŸŽ‰ May this new age bring me closer to my dreams, closer to success, and closer to the beautiful future God has prepared for me. My life will be a testimony, and my mouth will be filled with songs of joy and thanksgiving.
1
2
356