Jamii Voice (@jamiivoice) header
Jamii Voice (@jamiivoice) profile picture

VOICE OF JAMII

Joined August 2020
Photo by Jamii Voice (@jamiivoice)Photo by Jamii Voice (@jamiivoice)Photo by Jamii Voice (@jamiivoice)Photo by Jamii Voice (@jamiivoice)Photo by Jamii Voice (@jamiivoice)Photo by Jamii Voice (@jamiivoice)Photo by Jamii Voice (@jamiivoice)Photo by Jamii Voice (@jamiivoice)Photo by Jamii Voice (@jamiivoice)Photo by Jamii Voice (@jamiivoice)
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Serikali na Sekta Binafsi (PPP Centre), David Kafulila, amemjibu aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, kuhusu ukosoaji wake wa sera ya Ubia kati ya Serikali na Sekta Binafsi (PPP), akisema dhana hiyo haimaanishi kuuza nchi.
1
1
1
148
"Tusipokee fedha za kutuangamiza. Tunatafuta fedha ili tulinde utu na tuboreshe ustawi wa Mtanzania, si kupata fedha zenye masharti yanayohatarisha maadili yetu, kizazi cha sasa na kijacho. Lazima tulinde utu wetu na mustakabali wa Taifa letu kwa gharama yoyote ile." Dkt. Mwigulu
2
2
3
29
2,111
HABARI: Luhaga Mpina, amevikosoa baadhi ya vyama vya upinzani nchini akivituhumu kukubali matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, licha ya kile alichodai kuwa Watanzania wengi waliuawa wakati wa uchaguzi huo, na sasa kushiriki katika wito wa usuluhishi na maridhiano.
7
19
424
Aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina, amesema hukumu ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ya kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la uchochezi baada ya kuachiwa huru katika shtaka la uhaini, inaibua maswali kuhusu uhuru wa Mahakama nchini.
16
94
2,942
HABARI: Mbunge wa zamani wa Jimbo la Kisesa (CCM), Luhaga Mpina, amehoji iwapo Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Sylvester Antony Mwakitalu, anatumika kisiasa, akitolea mfano wa watuhumiwa wanaoshikiliwa kwa muda mrefu bila upelelezi kukamilika.
3
24
117
3,936
HABARI: Vilio na majonzi vimetawala leo Novemba 23, 2026, katika kijiji cha Nkoasenga, Kata ya Leguruki wilayani Arumeru mkoani Arusha, baada ya kuwasili mwili wa Angel Wariaeli, aliyefariki katika Hospitali ya Taifa Muhimbili akiwa anaendelea kupatiwa matibabu.
1
13
720
HABARI: Wasifu wa Marehemu Angel Warieli Binti mwenye umri wa miaka 13 aliyefariki Dunia akipatiwa Matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kufuatiwa jeraha la kupigwa risasi Oktoba 29, 2025.
2
26
1,557
SIMANZI: Mwili wa Binti Angel Warieli aliyefariki Dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili umefanyiwa Ibada ya kuagwa leo Hospitalini hapo.
1
2
1
10
1,597
HABARI: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ameliagiza Jeshi la Polisi kuendelea kuchukua hatua stahiki dhidi ya watu wanaotumia mitandao ya kijamii na vyombo vya habari kusambaza maudhui yanayolichafua jeshi hilo.
34
3
3
32
10,875
HABARI: Hayo yamejiri leo wakati Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi wa Bwakila Chini Mkoani Morogoro.
2
22
1
192
22,942
HABARI: Mwananchi huyo kwa niaba ya wenzake wamefikisha kilio chao kwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba wakidai kuuzwa kwa mashamba yao kwa kiwanda cha Morogoro Sugar bila ridhaa yao.
16
2,671
“Jaji Mkuu GEORGE MASAJU anapaswa kufahamu kwamba; WATU WANAJADILI HUKUMU YA YESU NA HAWAKUWEPO MAHAKAMANI, LAKINI WANAMLAUMU PILATO. Kwa hiyo, kujadili HUKUMU YA TUNDU LISSU, siyo KOSA,” ameandika Madeleka.
1
29
90
1,207
HABARI: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema wananchi hawahitaji kuwa na elimu ya kiwango cha chuo kikuu ili kuelewa kama Mahakama zinatenda haki au la, akijibu kauli ya Jaji Mkuu wa Tanzania, George Mcheche Masaju, kuhusu ukosoaji wa hukumu dhidi ya Tundu Lissu.
4
70
1
285
6,870
HABARI: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema wananchi hawahitaji kuwa na elimu ya kiwango cha chuo kikuu ili kuelewa kama Mahakama zinatenda haki au la, akijibu kauli ya Jaji Mkuu wa Tanzania, George Mcheche Masaju, kuhusu ukosoaji wa hukumu dhidi ya Tundu Lissu.
4
16
56
1,319
HABARI: Wakili Peter Madeleka ameyasema hayo hivi karibuni kwenye M & S Podcast
20
135
3
773
30,410
HABARI: Mwanasaikolojia Maxmillian Mirihangu ameonya kuwa migogoro ya wazazi na kuvunjika kwa ndoa kupitia talaka kunaweza kuwaathiri watoto kisaikolojia na kihisia, huku baadhi yao wakikosa malezi na uangalizi wa kutosha.
4
5
747
HABARI: Waziri wa Ujenzi, Masanja Kadogosa, ameelekeza kusimamishiwa usajili kwa aliyekuwa Mhandisi Mshauri (Doch Limited) wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Tanga - Pangani (kilometa 50) iliyobainika kuanza kupata nyufa kabla ya kukamilika
1
1
15
2,760
HABARI: Katika makala yetu ya uchunguzi kuhusu wimbi la watoto wanaoishi na kufanya kazi katika mazingira hatarishi, tumebaini changamoto za malezi katika familia zinazohudumiwa na mzazi mmoja kuwa miongoni mwa masuala yanayojitokeza
1
9
976
HABARI: Jumanne Degera, aliyefungua kesi ya madai ya talaka dhidi ya Habiba Juma katika Mahakama ya Mwanzo Dodoma, amesema ameamua kutaka kuvunja ndoa hiyo kutokana na madai ya kukosa utulivu na kufanyiwa vitendo vya ukatili ikiwemo kupigwa na mkewe akishirikiana na watoto wake.
8
1,125
HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kufikia mwaka 2028 hadi 2029, Katiba mpya au iliyorekebishwa itakuwa tayari. Ameyasema hayo leo Novemba 20, 2026 wakati akifungua mkutano mkuu wa mwaka 2026 wa maofisa waandamizi wa Jeshi la Polisi
9
3
909